blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Ndiyo na kuuliza alikufa au hakufaSio nilitaka ni kwamba imeandikwa , tena na kusisitizwa kwa neno HAKIKA
Adam aliambiwa 'ukila hilo tunda hakika utakufa'
Swali
Kwani walipokula kuna yeyote alikufa hapo ???
Paulo anasema anakufa kila siku , ndio alikufa?? 1 Corinthians 15:31?
Ndiyo na kuuliza alikufa au hakufa
Toa jibu Adam alikufa au hakufa?Ndiyo huelewi au ubishi
Toa jibu Adam alikufa au hakufa?
Toa jibu alikufa au hakufa?Kama alikufa alikujaje ulimwenguni ??
Na Paulo anaposema nakufa kila siku ndio kweli kila siku alikufa ??
Toa jibu alikufa au hakufa?
Quran inasema Roho ni nini?Hawakufa kimwili walikufa kiroho , spiritual death , kama hiyo aliyosema Paulo kuwa anakufa kila siku
Kama ukijua Adam alifanya nini wewe itakusaidia nini ktk kuandika historia yako.Ndio ujue Koran ni kipeperushi, hakina majibu Adamu alifanya Nini
Na pia nilikuuliza yakub alikuwaje Israel na Israel maana yake Nini Koran imeshindwa kujibu
Na Kuna verse kibao ndani ya Koran zinamuacha msomaji haelewi
Mfano hii Aya ukisoma unajiuliza Muhammad iliharamisha nini? Koran Haina majibu
Koran 66:1"Ewe Nabii! Kwa nini unaharamisha alicho kuhalalishia Allah?
Quran inasema Roho ni nini?
Uovu ni pamoja na kuabudu sanamuUOVU ulitokana na nini?
Lengo la huu uzi ni kupima kati ya Quran na Biblia kwahiyo tafadhali wacha Biblia na Quran zitoe majibu. Swali QURAN INASEMA ROHO NI NINI?kwani unaiamini Quran ?
Biblia inasemaje kwani ???
Tumesha hitimisha Koran ni kipeperushi hakina details za kutosha mpaka itegemee vyanzo vingineKama ukijua Adam alifanya nini wewe itakusaidia nini ktk kuandika historia yako.
Ni vizuri Ujue misingi ya Quran kuwa hiki si kitabu cha historia, si kitabu cha sayansi, si kitabu cha biologia.
Bali mambo yote yamedodoswa ili sisi tupate kuyafanyia utafiti.
Sasa Mimi si mwana historia. Lkn ukiitaji kwa nia ya kujifunza utapata majibu.
Na unaweza kuanzia hapa.
Kuhusu alichoharamishiwa mtume unaweza kupata ktk vitabu vya historia ya nabii.
Nadhani nitakuwa nimekujibu. Sasa na wewe jibu maswali yangu niliyokuuliza.
Kwa mfano mungu alikuja kwa maumbile ya mzungu muafrika.
Ukiambiwa alikuwa muafrika utakubali
Swali Asili ya Uovu ni nini yaani wapi Uovu ulitoka ? tafadhali zingatia swaliUovu ni pamoja na kuabudu sanamu
Lengo la huu uzi ni kupima kati ya Quran na Biblia kwahiyo tafadhali wacha Biblia na Quran zitoe majibu. Swali QURAN INASEMA ROHO NI NINI?
Tumesha hitimisha Koran ni kipeperushi hakina details za kutosha mpaka itegemee vyanzo vingine
Siliza wewe ndiyo umeleta haya mambo ya Roho wakati kwenye Quran hakuna hicho kitu, na Allah ansema, waislamu hawana elimu ya Roho ila kiduchu tu. Al-Israa 85.Utapimaje kitu wakati unabase upande mmoja ??
Tuambie huo upande wako unasemaje kuhusu roho ??
😂😂🤣 Koran inataja taja majina tu Haina detailed information,
kwahio Kama hajawahi kuongea nao hivyo vitu walivyo kua wanaandika walitumwa nanani waandike?Allah hajawahi andika kitabu, waandishi wa vitabu ni maswahaba wa Muhammad ambao wanadai Allah aliwaambia.
Kumbuka huyo Allah hajawahi kuongea na Muhammad wala hao maswahaba
haomaswahaba hivyo Visa walivijua vipi? au walikua nauwezo kumshinda Allah namuhammad?Muhammad Maswahaba zake tayari hivi visa walikuwa wanavijua Kwa sehemu hivyo walivikopi na kuvihariri tuu
Sasa Paulo anaposema anakufa kila siku , ni kweli alikuwa anakufa kila siku?Siliza wewe ndiyo umeleta haya mambo ya Roho wakati kwenye Quran hakuna hicho kitu, na Allah ansema, waislamu hawana elimu ya Roho ila kiduchu tu. Al-Israa 85.
Biblia inasema hivi
Mungu Ni Roho, nao wamwabuduo, imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.
Yohana 4:24.
Wewe unasema Roho ndiyo iliyo kufa wakati Roho haifi. Kuliko upuyange tu bora uulize usaidiwe.