Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

kaka ni chaguo lako tu UIPENDE DUNIA UIACHE AKHERA AU UIPENDE AKHERA UIACHE DUNIA
 
Hawa watu bhana!

Allah akulipe kheri kwa kujaribu kumuelimisha.

Huenda ataelewa humo akikutana na kauli kama "Now, We, Edward, by the grace of God, King of the United Kingdom of Great Britain and Ireland and of the British Dominions beyond the Seas King, Defender of the Faith, Emperor of India, etc., etc., have arrived at the following decisions upon the questions in dispute, which have been referred to Our arbitration, ..."

Au kauli ya Magreth Thatcher "We have become a grandmother". Hahahahahaha.

Sijui ule u "great thinker" wa watu wa Jf uko wapi!
 
Nafuatilia huu uzi kwa karibu sana, mbaka sasahivi hapa naona mawakili upande wa utetezi kutoka uajemi wanaitana chemba mara ya 3 kujaribu kupangua nondo za mashahidi walioshuhudia kwa macho na kusikia kwa masikio yao, lakini mambo bado magumu sana.

Wazee wote wa baraza kutoka majukwaa mengine kule wamekaa kwenye mabenchi tu wanaangaliana.
 
YESU AMEZALIWA WAPI?

Hakuna andiko lolote katika Bibilia lililotaja sehemu alipozaliwa Yesu Yani (Lebor ya Yesu)

Luka 2 (KJV)
6 Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia,
7 akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng'ombe, kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni.

Hili andiko halisemi kama Yesu amezaliwa katika hori la ngombo linasema amevikwa nguo akalazwa katika hori tena amelazwa hapo baada ya Mariam kukosa nafasi nyumba ya wageni inamaana wangepata nafasi nyumba ya wageni hapo katika hori la ngombo wasingefika

Yani kama hospital hapo katika hori ni warding sehemu ambayo wazazi wanaenda kupumzika na watoto wao baada ya kutoka Labor

Sasa je Lebor ya Yesu ili kuwa wapi ? Kwa mujibu wa Quran Lebor ya Yesu ni chini ya Shina la mtende

Quran 19:23.
Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!

24.
Pakatangazwa kutoka chini yake: Usihuzunike! Hakika Mola wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!

25.
Na litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.


Usitoe mandiko kama magarazeti
nenda katika point ya msingi

Mungu muumba mbingu na aridhi (Allah) anasema Yesu amezaliwa chini ya Shina mtende wewe wewe unabisha Sasa toa uthibitisho unao onyesha sehemu alipozaliwa Yesu ( Lebor ya Yesu) ili tujue kuwa Quran imeandika uongo hata ikipelekwa Mahakamani itashindwa
 
Wewe ni kipi unachokijua zaidi ya kukaririsha madrasa na bakora juu...so pathetic.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hata kwenye Biblia imetumika Royal We,

“Then God said, ‘Let us make man in our image, in our likeness, and let them rule over the fish of the sea and the birds of the air, over the livestock, over all the earth, and over all the creatures that move along the ground.’” Genesis 1:26

Ila hawaisomi hio Biblia wanatumia tu Utashi wao
 
Akitokea muislam anayejibu kwa Hoja na kupangilia hoja zake kisomi nishtueni...Maana mpaka hapa ni kama waliokuja wote wameishia elimu ya madrassa tu.
Madrasa yenyewe wamekaririshwa huku wakila mboko..unadhani wana uwezo wa kujibu hoja za mleta uzi zaidi ya kupigania mtume wao muongo muongo mzeee wa hearsays.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kupitia hili bandiko na likes ulizopata nimefahamu ya kuwa wakristo muna uelewa mdogo sana dhidi ya uislamu na Qur'an
(Qur'an sio maneno ya Muhammad)

Tafuteni maarifa kwanza sio mnaruka juu juu tu

Halafu ukiwa unajifunza weka chuki kwanza pembeni ili upate maarifa alafu ndo uje na hoja za uhakika
 
Akitokea muislam anayejibu kwa Hoja na kupangilia hoja zake kisomi nishtueni...Maana mpaka hapa ni kama waliokuja wote wameishia elimu ya madrassa tu.
Madrasa yenyewe wamekaririshwa huku wakila mboko..unadhani wana uwezo wa kujibu hoja za mleta uzi zaidi ya kupigania mtume wao muongo muongo mzeee wa hearsays.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nadhani uhafidhina unakusumbua..wapi iliwekwa limit kuwepo kwa mitume na manabii..kwahiyo akitokea mtu mwingine mwema mwenye kutenda mayendo makuu ya ajabu hauwezi mpokea wala kumkubali kwasababu hajaandikwe kwenye vitabu vya waarabu na wayahudi??

Jitahidi kuwa na flexible mind utaishi kwa amani na uhuru zaidi kuliko hivi unavyoishi.

#MaendeleoHayanaChama
 
kaka ni chaguo lako tu UIPENDE DUNIA UIACHE AKHERA AU UIPENDE AKHERA UIACHE DUNIA
Issue ni wapi pa kweli au pote ni uongo.
Wakati mwingine naona kama vitu vya kusadikika.

Waislam nawakubali wana utamaduni mzuri hicho ndio kinaweza kunifanya kuingia huko.

Wanahubiri wanachokitenda na wanatenda wanchokihubiri ila sijui kama nitakuwa mfuasi mtiifu wa hizi dini nw niko sabath kujaribu kitafta hyo kweli nimetoka Roma, na kwa walokole
 
Unajua hata mitume ni wakina nan ? Nenda ukalewe😂😂😂
 
kabla nabii Muhammad hajapewa utume alikuwa akiabudu kama vile alivokuwa akiabudu Babu yake Nabii IBRAHIMU

2. Kabla nabii Muhammad hajapewa utume kitabu Cha nabii ISSA yaan YESU ndio kilikuwa kipo kinatumika kile Cha asili ila Kwa kuwa kilichezewa na wakati huo kabila la watu MAKKA walikuwa wamepindukia katika kuabudu masanamu kitendo ambacho kilimfanya nabii Muhammad kabla hajappewa utume kujiweka mbali na watu wa pale Makka na kwenda mbali kweny MAPANGO kuabudu yaan kupinga kuabudu MASANAMU
 
Kubishana kwenye huu uzi ni jambo ambalo linatakiwa kwenda kutazamwa yani mtoa mada kaingiza vitu ambavyo kiuhalisia havimake sense na huwezi pata hoja zenye mashiko unapotaka vitabu vya imani vijadiliwe kwa mtazamo wa kimahakama huu ni upuuzi wakuleta mzozo

Bible ni jumla ya vitabu vya Mungu ikiwemo Torat, injili na zaburi ambavyo vimesimuliwa na watu mbalimbali ambao waliamini kwaiyo ukiingia kwenye bible zimejaa hadithi za tangu kuumbwa kwa Adamu - Nuhu - na watu wengine maarufu waliosimuliwa katika maswala ya kiimani

Kwa uwelewa wa kawaida kipindi kirefu sana kimepita tokea kuumbwa kwa Adam hadi Nuhu apa hakuna kitabu kimetajwa wala kutelemshwa ilikua ni vizazi kurithishana simulizi na dini zilikua nyingi mixer wapagani kwaiyo kuna walioamini kuumbwa kwa Adam na wengine waliamini imani zingine

Kila kitabu kinabeba simulizi ya kitabu kilichopita anaye amini katika torati hatakiwi kuipinga zaburi na anaeamini zaburi hatakiwi kuipinga injili hizi update zilikua zinafanyika kutokana na aina ya generation na hao manabii wote waliokuwa wanapita huwezi kuwatenganisha wote walionekana kutoka kwa Mungu mmoja na walipashwa habari za waliotangulia kuna walioongea na God moja kwa moja na kunawaliotumiwa malaika lakini lengo lao linaonekana kabisa lilikua ni moja ila vizazi tofauti tofauti

Inapokuja kwenye kitabu cha quran hiki historia yake kwa ufupi ni maneno Mungu ambayo ameshushiwa Muhammad kupitia malaika na ukifatilia maandishi yake utagundua kuwa kuna ukumbusho unafanywa yani baadhi ya Aya Mungu anamwambia muhammed awaambie watu jambo la fulani lakini anampa historia labda ya manufaa au madhara waliyopata watu vizazi vilivyopita kabla ya generation yake, alikuwa akimuelezea kuwa kuna manabii waliopita kabla yake na historia zao sasa iki kitabu kiuhalisia ni chepesi sana kwa wale waliokiamini na hapa kuna maswali mengi yakujiuliza kwa ambao hawajakiamini..

Je itakuaje kama hiki kitabu ni cha kweli ?

Je itakuaje kama ni kitabu kinachofuata baada ya injili?
Apa tunaona ni kawaida ya Mungu kuleta manabii mbali mbali na vitabu tofauti tofauti

Je kila nabii anatumwa na Mungu wake ?

Lakini ukifatisha historia za hivi vitabu unaona mambo yao yanaendana

Swala lingine la kujiuliza ni je kama muhammad alitelemshiwa na God quran na simulizi mbali mbali za manabii waliopita itakuaje kama ni ya kweli aliyokuja nayo? Je tutaingia kweny kundi la jamaa wanyuma waliopinga injili, torat na zaburi kwa kuipinga qurani?

Mwisho wa yote hii thread yakiwaki huwezi peleka vitabu vya Mungu ukavikosoe mahakamani kwa sheria na mitazamo waliyotunga binadamu alafu upate majibu yakueleweka haiwezekani kuna vitu vimekaa kiimani tu


Ngoja niwaulize swali ndugu zangu.. ivi ikitokea sir God amemleta nabii mwingine izi zama zetu mwenye sifa kama za manabii waliyopita ivi tutamkubali kweli? Na izi akili zetu zilivochanganyikiwa[emoji28]



::JAMBO LA MSINGI KILA MTU AAMINI ANACHOAMINI KWA IMANI YAKE BILA KUMVUNJIA MWENZAKO HESHIMA AU KUMTUKANIA IMANI YAKE NA TUPEANI ELIMU KWA WEMA [emoji1666]peace
 
Jua kuwa dini ya uislamu hajaanzisha nabii Muhammad la hasha dini hii ni ya Mungu na ndio dini hii hii aliyomuusia BABA YETU ADAMU , IBRAHIMU ,NUHU DAUD na manabii wengine huko wotewalinyenyekea KIISLAMU
 
Injili nne za kina Luka, Marko, Matayo na Yohana. Zimeandikwa na nani ? Thibitisha kama hao wanaonasibishwa nazo ndiyo waandishi ?

Marko alimuona Yesu ? Aliishi zama za Yesu ? Aliwaona wanafunzi wa Yesu ? Hizi habari alizipata wapi ?
We jamaa ni mjinga Marko ni mwanafunzi wa YESU
 
Jua kuwa dini ya uislamu hajaanzisha nabii Muhammad la hasha dini hii ni ya Mungu na ndio dini hii hii aliyomuusia BABA YETU ADAMU , IBRAHIMU ,NUHU DAUD na manabii wengine huko wotewalinyenyekea KIISLAMU
Acha uongo kabla ya Muhammad kulikua hakuna dini inayoitwa uislamu, ndo maana hadija ndo mtu wa pili kuwa muislamu

Kabla Muhammad hajawa muislamu pale Maka walikua wanaabudu wachawi na Kaba kulikua na sanamu lao na kila mwaka jamii za kiarabu zilikua zinakutana kufanya ibada a k.a kuhiji
 
Kwa hiyo jamiiforum nayo inaongozwa ki-islamu we jamaa ni mjinga
 
Acha kudanganya watu hata akili ya kuhoji huna..hayo mavazi yalivaliwa huko middle east kwasababu ya hali ya hewa ya joto na jangwa..hivyo nguo kama kanzu zilikuwa zinavaliwa ili kupunguza kuweka mwili cool..sasa wewe mmatumbi wa dubai kavae kipendo chako njombe kama utatoboa na vazi lako la imani.

Mavazi ni tamaduni husika na wala sio imani...jitambue wewe usikaririshwe kila kitu ukabeba kama kilivyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huu upuuzi wa wajinga kuijadili Quran tukufu sijui utakoma lini. Yaani mpumbavu tu mmoja anajifanya anaijua Quran. Damn u. Clumsy fool
Na wewe unachokijua nini zaidi ya kukaririshwa huko madrasa huku ukila mboko...huna ukijuacho kaa ujifunze..hivi vitabu ni historia kama historia zingine.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…