Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Yesu Hakuwa Myahudi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unafikiri Wayahudi vitabu vyao wanaandika kama wanakimbizwa?
Yesu ukoo wake upo kwenye Biblia mpaka unatokea Kwa Adamu.

Unaweza Nipa ukoo WA Muhammad hata Kwa vizazi vitano kutoka Kwa Baba yake?
Halafu unataka kujadiliana na Mimi kuhusu hili jambo.

Nakupa miaka mia Bali mpaka mnakufa hakuna atakaye weza kuthibitisha ya kuwa Yesu alikuwa Myahudi.

Unajua kwanza Uyahudi ni dini na ni watu walio laaniwa ? Hili mosi.

Pili, umeonyesha wewe ni mjinga kiasi gani mpaka una DAI ya kuwa Yesu ni Myahudi, Uyahudi siyo kabisa kijana.

Tatu, Uyahudi una maana nne na zote Yesu haingii katika maana hizo.

Nne, kwahiyo Biblia imeandikwa na Mayahudi ? Kwanza Mayahudi hawamkubali Yesu una kubali Hilo ?

Tano, Wayahudi ni katika watu wasio tunza kumbukumbu miongono MWA watu, ili uone ya kuwa hawana akili, katika itikadi zao ni kuwa wanaamini ya kuwa binadamu wengine wote wameumbwa kwa ajili ya kuwatumikia wao. Haya ndiyo mafundisho waliyokuja nayo mitume ? Yaani Musa na Isa (Yesu).

Kuwepo kwa ukoo wa Yesu kwenye Biblia si hoja, hoja ni je kilichoandikwa humo ni Cha kweli na he mmekihakiki ?

Naanza hapa :

Naomba utuambie kwanini ukoo wa Yesu unatofautiana katika maandiko haya :

Mathayo 1:6 na Luka 3:31 na Luka 3:23

β€Šβ€Š
Kisha utuambie nani mkweli ?

Hili rahisi sana nakupa uzao wake huu hapa :

Muhammad bin β€˜Abdullah bin β€˜Abdul-Muttalib (ambaye aliitwa Shaiba) bin Hashim, (aliitwa β€˜Amr) bin β€˜Abd Munaf (aliitwa Al-Mugheera) bin Qusai (pia aliitwa Zaid) bin Kilab bin Murra bin Kaβ€˜b bin Lo’i bin Ghalib bin Fahr (ambaye aliitwa Quraish na kutoka kwa huyo ndipo tunapata kabila la Quraysh) bin Malik bin An-Nadr (pia aliitwa Qais) bin Kinana bin Khuzaiman bin Mudrikah (pia aliitwa β€˜Amir) bin Elias bin Mudar bin Nizar bin Maβ€˜ad bin β€˜Adnan.
 
Pedophilia alivyoona wanamuumbua na mauongo yake akajiapiza
Soma
Muhammad said
I will expel the Jews and Christians from the Arabian Peninsula and will not leave any but Muslim. Sahih Muslim 1767a
Poa.
 
Bado nasubiri swali langu.

Muhammadi mnasema ni Nabii, ameleta fundisho gani Jipya ?
Hadi ajiite Nabii ?
Fundisho jipya kwa maana ipi mkuu? Inajulikana Muhammad kaja na Qur'an sasa sijaelewa unakusudia nini kusema fundisho jipya?
 
Yesu alisulubiwa , je issa alisulubiwa ?
 
Tutajie hapa hiyo Chain ya Ibrahiim mpaka kwa Yesu.

Kisha Kuna maswali nitakuuliza. Kisha nitakupa utajo wa Yesu ambao katika uzao ambao umetofautiana, Kisha uweke jibu ambalo sahihi. Shida wakristo si wasomaji.
Mathayo 1 (Biblia Takatifu)
Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―Β―
ΒΉ Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu.
Β² Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
Β³ Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;
⁴ Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;
⁡ Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;
⁢ Yese akamzaa mfalme Daudi.
⁷ Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;
⁸ Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;
⁹ Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia;
¹⁰ Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia;
ΒΉΒΉ Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.
ΒΉΒ² Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
ΒΉΒ³ Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
¹⁴ Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi;
¹⁡ Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo;
¹⁢ Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
¹⁷ Basi vizazi vyote tangu Ibrahimu hata Daudi ni vizazi kumi na vinne; na tangu Daudi hata ule uhamisho wa Babeli ni vizazi kumi na vinne; na tangu ule uhamisho wa Babeli hata Kristo ni vizazi kumi na vinne.

Kizazi kimoja ni miaka 100
Kuanzia ibrahimu mpaka yesu ni miaka 4200
 
Saudi Arabia makao makuu ya Uislamu mitaani kumechafuka wiki hii.
Wasaudi wanasheherekea Skukuu yao kubwa sana.

Halloween festivaa.
Majini yametapakaa kila kona live kabisa.

Mkimbilieni Kristo muokoe roho
zenu.
Yeye pekee ndiye. Njia, Kweli na Uzima.
 
Fundisho jipya kwa maana ipi mkuu? Inajulikana Muhammad kaja na Qur'an sasa sijaelewa unakusudia nini kusema fundisho jipya?
Nimekuwekea Mafundisho mapya ya Yesu Kristo hapo juu, ndio maana alikuja. Yapo na Mengine mengi mapya kabisa.
Ndio maana nimewaulizeni Muhammadi alikuja kufundisha fundisho gani jipya ambalo huko nyuma halikuwepo ?

Nataka nilijue hilo fundisho au mafundisho
 
Asante sana.
Tunamwomba na huyo Kisai, atuwekee chaini ya mtume wake Muhammadi.

Chein ya Uzao toka Ibrahimu hadi Muhammadi. Kama ulivyo tuonesha wewe. Tujue kumbe naye ni wa Uzao wa Ibrahimu.

Maana Mungu wa Ibrahimu alimuahidi Ibrahimu kuwa Manabii wote watatoka katika Uzao wa Ibrahimu

Mwanzo 17:6
Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa, na wafalme watatoka kwako.

Kwako Kisai,
 
Musijisahaulishe Waislamu
Kuwa Halloween festival inaendelea katika viunga vyote vya Saudi Arabia ukiwemo Mjini wenu Mkuu Maka.

Leo nimekesha kuangalia Halloween Festival katika mitaa yote ya Maka na Madina huko Saudi.

Ha...ha...ha
Sijawahi kuona huu ushetani toka nizaliwe.
Mziki unapigwa watu wanakatika vibaya mno, wadada wametupilia mbali hijabu zao.
Majini na Mashetani yametapakaa kama upupu mitaani.

Halafu aje Mmakonde wa Buza kupinga hii kitu.

Saudia imeionesha dunia sura yao halisi.

Hadi nikalikumbuka hili andiko la Masihi wetu Mtakatifu Sana.

(Yohana 10:7
Basi Yesu aliwaambia tena, Amin, amin, nawaambieni, Mimi ndimi mlango wa kondoo.

8 Wote walionitangulia ni wevi na wanyang'anyi; lakini kondoo hawakuwasikia.

9 Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.

10 Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele.

11 Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.)
 
Kaka katika Uislamu hamna sikukuu kama hiyo HALLOWEEN FESTIVAL NI SIKUKUU YA MARUHANI labda kwa kifupi ijue kidogo

Siku ya Maruhani - Halloween
. Washington D.C
Jana ililkuwa ni "Siku ya Maruhani" nchini Marekani. Siku hii ijulikanayo kama "Halloween" husherehekewa kila tarehe 31 Oktoba, na ina historia ndefu.
Siku ya Maruhani ilianzia huko barani Ulaya kiasi miaka 2,000 iliyopita ikifungamana na imani za kishirikina. Wazung walipoyavamia mabara ya Amerika walihamia pia na utamaduni mila, desturi, dini, na silka zao - na sema upendavyo. Miongoni mwa hayo ilikuwa ndiyo hii siku ya Maruhani ambayo jina lake la asili ni "Samhein".
Sherehe za Maruhani Photograph by treasuredragon/iStock.
Tuyaachie ya historia kwa wanahistoria, lakini kwa ufupi hii iliaminika kuwa ni siku ambayo pepo, majini, maruhani, mazimwi na mizimu au mizuka ya watu waliokufa hurejea hapa duniani katika maeneo yao ya asili na kujichanganya na watu waliohai.
Maudhui kuu ya siku hii ni kutisha, kuadhibu na mauti, ingawaje katika enzi zetu za leo imekuwa ni siku kuu ya watoto zaidi kuliko watu wazima. Sherehe zake hufanyika kuanzia familia, mitaa,
 
Hivi kwa mji kama wa Maka, mji wenu mtakatifu kutapakaa maruhani kila kona huoni kama ni kitu cha kutisha ?
Sio kutisha tu bali Nchi ya Kislamu kuruhusu hilo tamasha la majini na mashetani.

Halafu mimi nimezungumzia Halloween ya Saudi Arabia, Nchi takatifu ya Uislamu. wewe unaniletea habari za Marekani.

Mbona mnapenda sana kila kitu kuitupia Marekani,
Ni kwanini hasa ?

Au unataka kuniambia Waarabu wamewarithi Wamarekani ?

Halloweeni ilikuwepo uarabuni kabla ya Muhammadi lakini hutaki kuelezea historia yake, unakimbilia Marekani.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mpaka kitabu Cha nabii isaya unataka kiwe Cha Allah ,. Be serious
 
Ndio maana mkuu nikasema Muhammad kaja na Qur'an sasa labda ungesema kuwa kwenye Qur'an yaliyomo yote yalikuwepo kabla hakuna kipya.
 

Uyahudi ni Taifa pia ni Dini.
Wayahudi, uisrael na uebrania ni kitu kimoja.

Waliomsulubisha Yesu ni baadhi ya Wayahudi na sio Wayahudi wote.
Kwani hata wanafunzi wa Yesu ni Mayahudi.

Uthibitisho Yesu alikuwa Myahudi;
Yohana 4:7
Akaja mwanamke Msamaria kuteka maji. Yesu akamwambia, Nipe maji ninywe.

Yohana 4:8
Kwa maana wanafunzi wake wamekwenda mjini kununua chakula.

Yohana 4:9
Basi yule mwanamke Msamaria akamwambia, Imekuwaje wewe Myahudi kutaka maji kwangu, nami ni mwanamke Msamaria? (Maana Wayahudi hawachangamani na Wasamaria.)

Wewe unasema Yesu Hakuwa Myahudi unaongea Kwa misingi ipi?

CV ya Yesu Kwa Ufupi,
Yesu Mwanaume
Taifa, Myahudi/muisrael
Dini; myahudi
Age: 33
Kabila: Yuda
Mahali alipozaliwa Bethlehem ya uyahudi.
Mahali aliposulubishwa; Yerusalemu, Golgota.
Kitabu alichotumia, Torati, Zaburi, Chuo cha Nabii isaya, Chuo cha Nabii Tina n.k.

Haya tukirudi kwenye hoja yako ya Muhammad na uzao wake, Nipe Nukuu kutoka katika Quran tukufu inayoonyesha hiyo Chain.

Kisha tutarejea kwenye hoja kuu ya Uzi. Maana mpaka sasa hakuna aliyejitokeza kujibu hoja, badala yake mnaanzisha hoja mpya.
 

Unaposema Wayahudi wamelaaniwa unaelewa unachokisema?
Robo tatu ya wahusika katika Quran ni mayahudi alafu unasema wamelaaniwa hivi unafikiri Kwa kutumia nini?

Musa Myahudi,
Yusuf myahudi
Daudi myahudi
Yesu myahudi
Zekaria myahudi
Yonaa/yunus myahudi
Yohana/Yahaya myahudi
Suleiman myahudi
Manabii karibu wote Wayahudi alafu unasema wamelaaniwa alafu muda huohuo Muhammad wako ameiba visa vyaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Vitabu vya Kiyahudi vipo vingi, Talmud ikiwa ni miongoni mwazo.

Nimekupa mfano wa vitabu vya kiyahudi ambavyo hata Waswahili wanavyo ikiwemo Mtume Muhammad aliwahi kuvisoma Ila yeye akavifanyia plagiarism, Torati, Zaburi na Injili vyote ni vitabu vya kiyahudi.
Achana na hivyo vingine ambavyo hujawahi hata kuviona.

Rudi kwenye hoja kuu, ujibu hoja mojamoja uzipangue.
Unakuwa Kama hujui mambo ya mijadala bhana
 
Hakuna chain ya ibrahimu mpaka Muhammad hili swali lazima atalikwepa
 


Isaiah 21:13


The burden on Arabia. In the forest in Arabia shall you lodge, you caravans of Dedanites.
Isaya 21:13
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.

Endelea kusoma mpaka Aya ya mwisho utaona hakuna unabui wowote wa Nabii anayetabiriwa atakayetokea Arabuni.

Alafu lazima uelewe Kwa nini kulikuwa na ujio WA manabii.
Ukishaelewa hilo ndio utaelewa kuwa Muhammad Hakuwa nabii au Mtume isipokuwa ni mtumishi wa mungu Kama walivyo wakina Ellen G White wa Kanisa la Usabato, au kina William Miller, au Martin Luther,
Huwezi ukakopy maandiko ya wenzako alafu ukayaita yako Mzee Baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…