Halafu unataka kujadiliana na Mimi kuhusu hili jambo.Yesu Hakuwa Myahudi?😂😂😂
Unafikiri Wayahudi vitabu vyao wanaandika kama wanakimbizwa?
Yesu ukoo wake upo kwenye Biblia mpaka unatokea Kwa Adamu.
Unaweza Nipa ukoo WA Muhammad hata Kwa vizazi vitano kutoka Kwa Baba yake?
Nakupa miaka mia Bali mpaka mnakufa hakuna atakaye weza kuthibitisha ya kuwa Yesu alikuwa Myahudi.
Unajua kwanza Uyahudi ni dini na ni watu walio laaniwa ? Hili mosi.
Pili, umeonyesha wewe ni mjinga kiasi gani mpaka una DAI ya kuwa Yesu ni Myahudi, Uyahudi siyo kabisa kijana.
Tatu, Uyahudi una maana nne na zote Yesu haingii katika maana hizo.
Nne, kwahiyo Biblia imeandikwa na Mayahudi ? Kwanza Mayahudi hawamkubali Yesu una kubali Hilo ?
Tano, Wayahudi ni katika watu wasio tunza kumbukumbu miongono MWA watu, ili uone ya kuwa hawana akili, katika itikadi zao ni kuwa wanaamini ya kuwa binadamu wengine wote wameumbwa kwa ajili ya kuwatumikia wao. Haya ndiyo mafundisho waliyokuja nayo mitume ? Yaani Musa na Isa (Yesu).
Kuwepo kwa ukoo wa Yesu kwenye Biblia si hoja, hoja ni je kilichoandikwa humo ni Cha kweli na he mmekihakiki ?
Naanza hapa :
Naomba utuambie kwanini ukoo wa Yesu unatofautiana katika maandiko haya :
Mathayo 1:6 na Luka 3:31 na Luka 3:23
Kisha utuambie nani mkweli ?
Hili rahisi sana nakupa uzao wake huu hapa :
Muhammad bin ‘Abdullah bin ‘Abdul-Muttalib (ambaye aliitwa Shaiba) bin Hashim, (aliitwa ‘Amr) bin ‘Abd Munaf (aliitwa Al-Mugheera) bin Qusai (pia aliitwa Zaid) bin Kilab bin Murra bin Ka‘b bin Lo’i bin Ghalib bin Fahr (ambaye aliitwa Quraish na kutoka kwa huyo ndipo tunapata kabila la Quraysh) bin Malik bin An-Nadr (pia aliitwa Qais) bin Kinana bin Khuzaiman bin Mudrikah (pia aliitwa ‘Amir) bin Elias bin Mudar bin Nizar bin Ma‘ad bin ‘Adnan.