Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Watoto huko madrasa wanakariri Quranπππ
Umevuta bangi Kali Mkuu.
Yaani unasema tusikariri Quran, umelogwa weweππ
Shida ipo ndani ya boga lakoYani wewe demu kila post unatukana , umeachika au ni mke wa nne au shida nini?
Nimeomba any reference ya hizo sheria haujanipa halafu unamaanisha nini unavyotumia neno "tuta...." na wakati wewe ni member wa kawaida ?Sheria ya Jamii Forum hakuna kutajana majina halisi.
Hata kama unamtambua anayetumia ID flani, usi mu expose.
Tutakufungia kwa kuvunja kanuni
Kwani huzioni sheria za Jamii Forum zilipoandikwa. Unaitumiaje platform bila kujua kanuni zake.Nimeomba any reference ya hizo sheria haujanipa halafu unamaanisha nini unavyotumia neno "tuta...." na wakati wewe ni member wa kawaida ?
Ukitaka kujua maana ya ujinga waangalie wakristo wakijadili juu ya Dini.Hao sio waarabu ili wawe manabii wa Allah.
Nabii wa Allah ni Muhammad, Kwa sababu Mungu wa waarabu anaitwa Allah.
Na Mungu WA Wayahudi anaitwa Yehova/Yahweh/Jehova au Kwa kiswahi ni NIKO AMBAYE NIKO.
Andiko lenu limesema Yesu Kristo mwana wa Daudi.Daudi alimzaa Suleiman kwani ni uongo, Suleiman akamzaa Rehoboam na chain inaendelea
Hakuna chain mliyotoa naisubiri. Chain yenu imekatika.Chain umepewa Ila unajitoa ufahamu ndo maana Mungu wa Israel Yahweh anamchakaza Allah kule Israel
Ndiyo maana nikasema hivi hakuna Chain hapa, Yusufu wa kwanza ndiyo huyo aliye muoa Mariam ?Ukoo wa YESU huu hapa
Luka 3:23
<br>Na Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa amepata umri wake kama miaka thelathini, akidhaniwa kuwa ni mwana wa Yusufu, wa Eli,
Luka 3:24
wa Mathati, wa Lawi, wa Melki, wa Yana, wa Yusufu,
Luka 3:25
wa Matathia, wa Amosi, wa Nahumu, wa Esli, wa Nagai,
Luka 3:26
wa Maathi, wa Matathia, wa Semei, wa Yusufu, wa Yuda,
Luka 3:27
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,
Luka 3:28
wa Melki, wa Adi, wa Kosamu, wa Elmadamu, wa Eri,
Luka 3:29
wa Yoshua, wa Eliezeri, wa Yorimu, wa Mathati, wa Lawi,
Luka 3:30
wa Simeoni, wa Yuda, wa Yusufu, wa Yonamu, wa Eliakimu,
Luka 3:31
wa Melea, wa Mena, wa Matatha, wa Nathani, wa Daudi,
Luka 3:32
wa Yese, wa Obedi, wa Boazi, wa Salmoni, wa Nashoni,
Luka 3:33
wa Aminadabu, wa Aramu, wa Hesroni, wa Peresi, wa Yuda,
Luka 3:34
wa Yakobo, wa Isaka, wa Ibrahimu, wa Tera, wa Nahori,
Luka 3:35
wa Serugi, wa Ragau, wa Pelegi, wa Eberi, wa Sala,
Luka 3:36
wa Kenani, wa Arfaksadi, wa Shemu, wa Nuhu, wa Lameki,
Luka 3:37
wa Methusela, wa Henoko, wa Yaredi, wa Mahalaleli, wa Kenani,
Luka 3:38
wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu.
Sasa unanipaje ambazo waandishi wake hawajulikani Mzee ? Au unataka tufikiri kitoto kama mnavyofikiri nyinyi ? Yaani andiko lenu lolote ili niliamini lazima lokidhi vigezo hivi :Mbona ushapewa Aya kwenye Biblia lakini naona unakaza fuvu.
Kumbuka wasomaji na wafuatiliaji ni wengi hivyo usiwaangushe wanaoamini Quran.
Maana unapewa Aya unakataa sasa unataka tukupe Stori za kina Joti?
Wewe ni mgalatia haumjui Mungu wa kweli na ndio maana katika post zako unataja miungu mingi mingi sijui Mungu wa Musa sijui Mungu wa wakristo ,sijui Mungu wa waislamKwa mujibu wa Quran Ibrahimu alikufa akiwa na miaka mingapi?
Ibrahimu Mungu wake Hakuwa Allah!
Ibrahim hajawahi kufika Saudia Arabia,
Na Allah hajawahi kufika Jerusalem Kwa wakati ule labda nyakati hizi Allah ndio kafika
Yusuf si wako wengi kama ilivyo Muhammad wako wengi wanaoitwa Muhammad nimekuja gundua una upeo mdogo sanaNdiyo maana nikasema hivi hakuna Chain hapa, Yusufu wa kwanza ndiyo huyo aliye muoa Mariam ?
Yusufu wa mstari wa 3:30 ni yupi ?
Yakobo alimzaa Yusufu huyu simuoni katika Chain.
Endelea kusubiria hivyo hivyoHakuna chain mliyotoa naisubiri. Chain yenu imekatika.
Kuelezea sio tatizo ni kweli imevielezea ila haina maana kuwa Qur'an ni mkusanyiko wa hivyo vitabu kama inavyosemwa kwa Biblia kuwa biblia ni mkusanyiko wa vitabu. Qur'an imeeleza vitu vingi sana.Quran imeelezea vitabu ambavyo tayari vilikuwepo.
Jipya la Quran ni lipi?
Au hujui kila kitabu kinalengo lake kuu?
Sijui kwanini mnabishana hili suala dogo sana, Muhammad kaja kipindi ambacho hivyo visa vyote vishatokea hivyo vinajulikana kwahiyo hakuwa akielezea kama kitu kipya kama ambavyo kuna kisa cha toka kuumbwa Adamu huko na hakuna aliyekuwepo iweje shida Muhammad kuelezea hivyo visa vyengine ndio ije hoja ya kwamba hakuwepo huko?3. Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoshushwa kwa manabii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti tofauti, wakati Quran licha ya kuwa na vitabu vingi lakini vitabu vyote ameshushiwa Muhammad.
Embu shangaa, kisa cha Adamu kashushiwa Muhammad, kisa cha Nuhu kashushiwa Muhammad, kisa cha Ibrahimu kashushiwa Muhammad, kisa cha Yakobo na Yusufu kashushiwa Muhammad, kisa cha Waisrael kashushiwa Muhammad, mpaka kisa cha Yesu. Na visa vyote hakuwepo!ππ
Upande wa Biblia
Ila wenzake Kisa cha Musa aliandika mwenyewe Musa, kisa cha Ayubu aliandika mwenyewe Ayubu, kisa cha Daudi aliandika Daudi mwenyewe, Kisa cha Yona kaandika Yona mwenyewe, kisa cha Yesu waliandika watu wake wakaribu (wanafunzi waliomshuhudia), kisa cha Daniel kaandika Daniel mwenyewe.
Basi kama hivyo waislamu na wakristo wangefanana mambo yao kama ibada zao n.k maana si hakuna fundisho jipya alilokuja nalo Muhamnad kwamba yote kakopy ?Andiko jipya la Quran kuwasaidia ni Majini kupitia Sura ya majini.
Hayo mengine, hakuna jipya
Kafanya yake kvp? Hebu fafanua yapi aliyoyafanya yake?Alivyo fanya Muhammad sio poa alitakiwa atoe acknowledgement
Yeye kafanya Plagiarism
Kaiba maandiko ya watu kafanya yake
Neno kuiba si sahihi, mfano Qur'an inapinga suala la Yesu kufanywa Mungu na inapinga kwa Yesu kusulubiwa hivyo utaona kwenye kisa cha Yesu Qur'an inasahihisha yale yaliyopotoshwa na kueleza yaliyo sahihi. Sasa kama lengo lingekuwa ni kuiba tu hivyo visa basi vingeelezwa tu kama vilivyo kwenye biblia.Issa, Musa, Daudi, yusufu, yakobo, N.k ni waarabu?
Kama umefika Chuo kikuu basi utajua Dalili au sifa za Plagiarism.
1. Kachukua wahusika wa Wayahudi
Kamtoa Musa kwenye Torati ya Wayahudi kamuweka kwenye visa vyake vya Quran kisha kafanya modification
Kamchukua Daudi na Suleiman kwenye Zaburi kampachika kwenye kitabu chake cha Quran.
Kamchukua Yesu akampa jina Issa kwenye Injili akamuweka kwenye Quran yake.
Kachukua Yona kwenye Visa vya manabii wa kiyahudi, akamuita Yunus na kumuweka kwenye Quran.
2. Kaiba Visa vya Wayahudi alafu kafanya modification.
Mfano, kisa cha Yesu/Issa
Kisa cha Yusufu
Kisa cha Musa na Kina Daudi.
Kitu pekee nilichoona Muhammad hajafanya Fair ni kumuacha kumuiba Mungu WA Wayahudi aitwaye Yehova ambaye ndiye aliyesimamia shoo zote tangu Ibrahimu mpaka Yesu, akamuweka mungu wake wa kiarabu aliyekuwa anamuabudu pale kwenye Alkaba aitwaye Allah.
Hizo sheria za Umma wa akina Ibrahim ziko wapi?Nimecheka sana, Uislaamu maana yake ni kujisalimisha kwa Allah kwa kumtii na kumpwekesha yeye peke yake pasi na kumshirikisha na yoyote na chochote.
Hika ilikuwepo na Ibrahim alihiji na ndiyo mjenzi wa Ile nule Msikiti wa Makka.
Tofauti iliyo kuwepo baina ya mitume Hawa ni Sheria ila Imani Yao ni Moja.
Uislamu umegawanyika sehemu juu mbili, Uislamu wa ujumla huu ni Ile Imani na Uislamu khasa ambao aliokuja nao Mtume kwa maana ya Sheria tofauti.
Hata Musa alikuwa ana Hiji na anafunga na alikuwa ana Sali kwa mujibu wa Sheria yake aliyo pewa na Allah.
Kuhusu suala la Shahada, Shahada yetu ya Leo haiwezi kuwa sawa na ya walio pita sababu kila umma ulipewa utaratibu wake na Sheria zake.
Kadhalika zaka walitoa.
Neno kuiba si sahihi, mfano Qur'an inapinga suala la Yesu kufanywa Mungu na inapinga kwa Yesu kusulubiwa hivyo utaona kwenye kisa cha Yesu Qur'an inasahihisha yale yaliyopotoshwa na kueleza yaliyo sahihi. Sasa kama lengo lingekuwa ni kuiba tu hivyo visa basi vingeelezwa tu kama vilivyo kwenye biblia.
Na chengine hivyo visa sio hadithi za kuburudisha bali vina mazingatio ndani yake hivyo Qur'an imevielezea hivyo visa ili watu kupata kujifunza maana ni mambo ambayo yameshatokea ni visa vya manabii na waja wema na Muhammad ni katika manabii.
Qur'an imeeleza vitu vingi hivyo visa ni katika sehemu tu ya vitu vilivyomo kwenye Qur'an, sasa hoja za sijui kukopy au kuiba najiuliza iweje tena ajabu mtu anasema Qur'an hakuna jipya imekopy biblia kisa hivyo visa tu.