Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua


Mkuu ulichoelezea ndio uhalisia wenyewe
 
QURAN 2:23-24
23."Na ikiwa mna shaka kwa haya tuliyo mteremshia mja wetu; basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.

24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao wanao kanusha. "


Haya nyie mnaosema Quran ni maneno ya uongo hebu tuleteeni japo sura moja tu inayofana na Quran; fanyeni hilo tu wajameni ndio tuwaamini!!! jibu ni hamuwezi na wala hamtaweza kamwe
 
Mimi nachoamini ni kwamba Mungu hatawaadhibu waje wake kisa sio muislam au mkristo. Nachoamini ni matendo tu na kila upande kutokashifu upande mwingine basi.

Ifike wakati mada za hivi watu muachane nazo. Kuna mambo ya msingi ya kujadili kama 'taifa la jamiiforums'
 
QURAN 22:72
"Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi utaona chuki katika nyuso za walio kufuru. Hukaribia kuwavamia wale wanao wasomea hizo Aya zetu. Sema: Je! Nikwambieni yaliyo mabaya zaidi kuliko haya? Ni Moto. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio kufuru, na ni marudio mabaya hayo. “


 
Mfia dini umepanik pole sana..kurwani ni mawazo ya muhamad ya kuunga unga ili kujitengenezea dini yake.

Ndio mana leo hii hakuna mkristo ambaye anaifahamu kurwani wala kuiihitaji kuisoma..ila hakuna mwislamu ambaye hajasoma biblia ili kupata rejea ya visa na matukio ya kuunga unga yaliyosimuliwa na mudi.

#MaendeleoHayanaChama
 
ROBERT HERIEL km hutoelewa hii komenti aisee wewe lazima utakuwa na dosari kichwani...


Uislamu Ni mfumo kamili wa maisha...yaan uislamu haujaacha kitu...

Uchumi wa kiislamu
Mabenki ya kiislamu
Serikali za kiislamu
Hospital za kiislamu(sio hizi za kiswahili mke wa mtu anachezea mkuyenge wangu Bila staha mwisho wa siku analiwa kimasihara)😂😂
Michezo ya kiislamu
Sanaa za kiislamu
Ndoa za kiislamu
Maisha ya kiislamu..nk...

Haya njoo kwa Wakristo Sasa na Bibilia Yenu ....atakayenionesha benki ya Kikristo na uchumi wa kikristo ..NABATIZWA LEO..

Ndio maana tunawaambia usilamu ndio dini ya Kweli...
 
QURAN 22: 46-47
46. "Je! Hawatembei katika ardhi ili wapate kuwa na nyoyo zao za kuzingatia, au masikio ya kusikilia? Kwani hakika si macho yanayo pofuka, lakini zinazo pofuka ni nyoyo ziliomo vifuani. 46

47. Na wanakuhimiza ulete adhabu (sasa hivi), lakini Mwenyezi Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa.(ameweka siku maalumu ya hukumu). Na hakika siku moja kwa Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu mnavyo hisabu nyinyi. (kwa hivyo adhabu haipo mbali)"
 
Heshima kwako mkuu
 
Tambua hamna biblia iliyosushiwa yesu kama unayo leta iyo imechukua vitabu vya torat na zaburi..na qur an ipo kweny series ya vitabu vya mungu lazima isadifu yaliyopita na kuendeleza taratibu za imma huu.
Ebu elezea vizri bila kufunikwa na illusions za udini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Pale unapomfikiria mungu kam binadamu
 
Brain washed
 

Tufanye unayosema ni kweli but hiyo bibble yako inasema uwongo kuhusu kifo cha Yuda kasome matendo na matayo utaona mchanganyo wa roho mtakatifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…