Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #81
Mume Muhammad alikuwa ni mtu mwerevu sana.
Mwenye kumbukumbu nzuri na uwezo wa kusimulia hadithi alizozijua kutokana na kusafiri safiri kwake miji tofauti kibiashara.
Akiwa safarini Alisikia hadithi nyingi za dini zilizokuwepo kipindi hiko kutoka kwa Mayahudi (walioishi Arabuni wakati huo) na za Kikristo (kutoka kwa safari zake za kwenda Syria ki biashara) na akaunganisha hadithi alizozisikia kutoka kwenye dini tofauti hadi kwenye dini mpya aliyoianzisha ya kiislamu yenye hoja ya Mungu mmoja na yeye mwenyewe kama Mtume.
(Ni kama story za utani za kumsema nyerere enzi zile akiona kitu kwenye tv anakuja kusema ameoteshwa kwamba Marekani kimetokea hiki.. sababu watu wengine hawana tv wanaamini kaoteshwa kweli)
Alifanikiwa kuitumia dini hii mpya kufikia malengo mawili, moja la muda mfupi na moja la muda mrefu.
Malengo yake ya muda mfupi yalikuwa ni ya kumfanya yeye kuwa Chief Man in Arabia jambo ambalo alifanikiwa kulipata hadi wakati wa kifo chake na, baada ya kifo chake, warithi wake walifanikiwa kufikia
lengo lake la muda mrefu la kuwafanya waarabu waitawale dunia kwa kutumia advantage waliyonayo ya uislam na lugha ya kiarabu isambae dunia nzima na waarabu wawe watu muhimu kwenye jukwaa la kimataifa
Ukisoma vizuri quran story zilizopo kwenye quran zinazungumzia mazingira ambayo mohammad aliyajua tu (kwa kufika ama kusikia story zake). Mazingira ya mbali hayapo kwenye quran Maana alikuwa hajawai kufika na hakuwai sikia story zake.. maana ni mbali na uarabuni
Mfano matunda yaliyotajwa , wanyama waliotajwa kwenye quran, ndege waliotajwa kwenye quran, vyakula na mengineyo ni vya mazingira midle east tu ambayo mohammad aliyaona ama aliyasikia kwa watu jiran zake
The Qur’an really speaks only of the animals found in the Arabian lands (midle east) , and only the plants and fruits that grow in that geography.”
Also Foods known in the ( midle east) Arabian lands such as figs, grapes, pomegranates, dates, olives, honey, onions, garlic, gherkin, etc. have also been used in various Qur’anic verses and examples for various topics…
Jiulize Why do animal, and fruit names not belonging to the arab land doesn’t indicated in the Qur’an?
Utapata jibu Prophet wrote these names which he saw in places he went and he heard story from other merchants .
Inshort prophet Mohammad had a dream
Nothing was going to stop him from making that dream come true…
He came up with Islam to gain political power and to unite his people under the rule of one goverment
Mkuu ulichoelezea ndio uhalisia wenyewe