Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #1,661
Nimehofia kuuvuruga uzi😆😁
Chanzo cha Afrika kuwa Maskini ni kuacha imani zetu za Asili na kuiga za kigeni.. umaskini wa fikra uli anzia hapo. Waarabu uislamu ni asili tangu mwanzo na wazungu hivyo hivyo.Ila waafrika asili yetu sio uislamu wala ukristo ndio maana kila kukicha ni kubishana DINI tulizo letewa..Tuna bishania Fiction identity..Na watu hao hao wanalisha na kusomesha familia zao na si kwamba ni wale ombaomba wa barabarani, sababu za umasikini wa afrika huwa kila mtu anaongea lake mara utasikia waafrika ni masikini kwa sababu ya kupenda sana ngono(japo hatuwazidi wazungu) mwengine atakwambia ni kutokana na watu kwenda kanisani au misikitini, sasa najiuliza waarabu mbona wanaenda msikitini na wameshika sana dini ila mbona wametuzidi kimaisha? Ni kwamba wazungu wameanza kuwa matajiri baada ya kuacha kwenda kanisani?
Kwahiyo umeacha kuamini katika Yesu?Tuna bishania Fiction identity..
Yesu unamjua ulishawahi kumuona?Kwahiyo umeacha kuamini katika Yesu?
Simjui ila nimemuona kwenye picha.Yesu unamjua ulishawahi kumuona?
Ndio maana nakwambia kitu kama hukijui na huna uhakika nacho hicho ni Fiction..Dini zote Ukristo, uislamu, ubudha, ushinto n.k, Ni imagination just an illusion..imani za kusadikika na kufikirika.Simjui ila nimemuona kwenye picha.
Chanzo cha Afrika kuwa Maskini ni kuacha imani zetu za Asili na kuiga za kigeni.. umaskini wa fikra uli anzia hapo. Waarabu uislamu ni asili tangu mwanzo na wazungu hivyo hivyo.Ila waafrika asili yetu sio uislamu wala ukristo ndio maana kila kukicha ni kubishana DINI tulizo letewa..Tuna bishania Fiction identity..
Hizo ni Fiction wala huna uthibitisho wa kwamba nyama za watu zilikuwa zinaliwa.Imani za kiasili za kula nyama ya mtu ?? [emoji14]
😛
Kweni wewe unamjua Sir Isaak Newton au umeona mafundisho yake na picha yake.Ndio maana nakwambia kitu kama hukijui na huna uhakika nacho hicho ni Fiction..Dini zote Ukristo, uislamu, ubudha, ushinto n.k, Ni imagination just an illusion..imani za kusadikika na kufikirika.
Nimeeleza kuwa source ya Qur'an ni maneno ya kutoka kwa Mungu mwenyewe kupitia kwa Muhammad hiyo ndio Qur'an, sasa wewe ukalinganisha suala hilo kuwa ni sawa na Mwamposa kudai kuongea na Mungu na ndipo nikasema hapo ni uamuzi wako kukubali au kukataa nikatoa mfano wa Musa kwamba hata biblia inaeleza kuwa Musa aliongea na Mungu. Sasa labda wewe useme kwamba hukubaliani na masuala ya kuongea na Mungu hapo ndio nitakuelewa.Kwa hiyo Kwa Uelewa wako kila alichoandika Musa aliambiwa na Mungu?
Hapa tunajadili mambo Kwa kutumia Akili.
Yapo mambo Musa ambayo aliandika Kwa kufuata Oral tradition stories kutoka Kwa wazazi wake na kutoka Kwa jamii yake.
Na yapo aliyoambiwa na Mungu.
Kwa mfano kisa cha Adamu na Hawa, hiyo simulizi aliikuta na sio kwamba alisimuliwa na mungu.
Ndio maana nikakuambia, Biblia pia inahearsay ingawaje sio nyingi kama za kwenye Quran.
Usidhani nipo hapa kuikandamiza Quran na kuipaisha Biblia.
Hivyo vyote vitabu ninavisoma,
Hapa ninachojadili ni ukweli
Newton katufundisha kuwa Gravity ipo japo hatuioni ni sawa unapoambiwa kuna Power kuu Mungu ipo kakini hatuioni.Kweni wewe unamjua Sir Isaak Newton au umeona mafundisho yake na picha yake.
Kupumbaza watu katika nini? Usieleze unavyoamini tu wewe au mitazamo kuhusu yako kuhusu dini bali njoo kuelezea uhalisia.Kasome vizuri historia dini zililetwa kipumbaza watu!!!!
Isaac Newton yupo upande wa sayansi.Sayansi ina Facts na majibu ya maswali yake...Yesu ni Dini na dini ina mkanganyiko mkubwa unao leta sintofahamu baina ya waamini,Hadi kupelekea mabishano kama haya tunayofanya chanzo ni dini yenye contradiction nyingi.Kweni wewe unamjua Sir Isaak Newton au umeona mafundisho yake na picha yake.
Hizo ni Fiction wala huna uthibitisho wa kwamba nyama za watu zilikuwa zinaliwa.
Nilikuwa naijibu hoja yako kwamba kwasababu simjui Yesu na wala sijawahi kumuona kwahiyo ni upuuzi ni fiction.Ulishawahi kuona nyuzi huku ziki bishana kati ya Albert Einstein na Isaac Newton nani bora?
Ndizo Fiction hizo, imagination just an illusion.Nilikuwa naijibu hoja yako kwamba kwasababu simjui Yesu na wala sijawahi kumuona kwahiyo ni upuuzi ni fiction.
Nikasema mimi sijawahi kumjua Isaak Newton nimemuona kwenye picha na mafundisho yake nimeyasoma kuwa kuna nguvu za Gravity japo hazionekani kwa macho lakini zipo
Nami nikasema Nguvu za Mungu zipo japo haonekani.
Inakuwaje illusion wakati ushahidi wote upo?Ndizo Fiction hizo, imagination just an illusion.
Huyo hapo.Allah ndo mnyama gani?
Huyo.uislamu ulitoka wapi??Na Allah anakaaje kisura??
Yani we jamaa! Ndio maana nasema biblia sio ya kulinganishwa na qur'an, na nimerudia sana kwamba qur'an ni zaidi ya hivyo visa vya wayahudi.Nani kasema Quran sio Maneno ya Mungu?
Quran imenukuu maneno ya Biblia na kuyafanyia plagiarism na forgery ili yawe katika muktadha wa kiarabu