Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Na watu hao hao wanalisha na kusomesha familia zao na si kwamba ni wale ombaomba wa barabarani, sababu za umasikini wa afrika huwa kila mtu anaongea lake mara utasikia waafrika ni masikini kwa sababu ya kupenda sana ngono(japo hatuwazidi wazungu) mwengine atakwambia ni kutokana na watu kwenda kanisani au misikitini, sasa najiuliza waarabu mbona wanaenda msikitini na wameshika sana dini ila mbona wametuzidi kimaisha? Ni kwamba wazungu wameanza kuwa matajiri baada ya kuacha kwenda kanisani?
Chanzo cha Afrika kuwa Maskini ni kuacha imani zetu za Asili na kuiga za kigeni.. umaskini wa fikra uli anzia hapo. Waarabu uislamu ni asili tangu mwanzo na wazungu hivyo hivyo.Ila waafrika asili yetu sio uislamu wala ukristo ndio maana kila kukicha ni kubishana DINI tulizo letewa..Tuna bishania Fiction identity..
 
Simjui ila nimemuona kwenye picha.
Ndio maana nakwambia kitu kama hukijui na huna uhakika nacho hicho ni Fiction..Dini zote Ukristo, uislamu, ubudha, ushinto n.k, Ni imagination just an illusion..imani za kusadikika na kufikirika.
 
Chanzo cha Afrika kuwa Maskini ni kuacha imani zetu za Asili na kuiga za kigeni.. umaskini wa fikra uli anzia hapo. Waarabu uislamu ni asili tangu mwanzo na wazungu hivyo hivyo.Ila waafrika asili yetu sio uislamu wala ukristo ndio maana kila kukicha ni kubishana DINI tulizo letewa..Tuna bishania Fiction identity..

Imani za kiasili za kula nyama ya mtu ?? 😛
😛
 
Ndio maana nakwambia kitu kama hukijui na huna uhakika nacho hicho ni Fiction..Dini zote Ukristo, uislamu, ubudha, ushinto n.k, Ni imagination just an illusion..imani za kusadikika na kufikirika.
Kweni wewe unamjua Sir Isaak Newton au umeona mafundisho yake na picha yake.
 
Kwa hiyo Kwa Uelewa wako kila alichoandika Musa aliambiwa na Mungu?

Hapa tunajadili mambo Kwa kutumia Akili.
Yapo mambo Musa ambayo aliandika Kwa kufuata Oral tradition stories kutoka Kwa wazazi wake na kutoka Kwa jamii yake.
Na yapo aliyoambiwa na Mungu.

Kwa mfano kisa cha Adamu na Hawa, hiyo simulizi aliikuta na sio kwamba alisimuliwa na mungu.

Ndio maana nikakuambia, Biblia pia inahearsay ingawaje sio nyingi kama za kwenye Quran.

Usidhani nipo hapa kuikandamiza Quran na kuipaisha Biblia.
Hivyo vyote vitabu ninavisoma,

Hapa ninachojadili ni ukweli
Nimeeleza kuwa source ya Qur'an ni maneno ya kutoka kwa Mungu mwenyewe kupitia kwa Muhammad hiyo ndio Qur'an, sasa wewe ukalinganisha suala hilo kuwa ni sawa na Mwamposa kudai kuongea na Mungu na ndipo nikasema hapo ni uamuzi wako kukubali au kukataa nikatoa mfano wa Musa kwamba hata biblia inaeleza kuwa Musa aliongea na Mungu. Sasa labda wewe useme kwamba hukubaliani na masuala ya kuongea na Mungu hapo ndio nitakuelewa.

Halafu nilishakwambia kwamba Qur'an ina zaidi ya visa vya wayahudi huko, Qur'an ilikuwa inashuka taratibu taratibu kutokana na matukio yaliyokuwa yakiendelea enzi hizo za Muhammad hivyo kuna aya zimekuja kutokana na matukio ya kimaisha ya waislamu wakati huo ila yote yameelezwa na Mungu mwenyewe.
 
Kweni wewe unamjua Sir Isaak Newton au umeona mafundisho yake na picha yake.
Newton katufundisha kuwa Gravity ipo japo hatuioni ni sawa unapoambiwa kuna Power kuu Mungu ipo kakini hatuioni.
 
Kweni wewe unamjua Sir Isaak Newton au umeona mafundisho yake na picha yake.
Isaac Newton yupo upande wa sayansi.Sayansi ina Facts na majibu ya maswali yake...Yesu ni Dini na dini ina mkanganyiko mkubwa unao leta sintofahamu baina ya waamini,Hadi kupelekea mabishano kama haya tunayofanya chanzo ni dini yenye contradiction nyingi.

Ulishawahi kuona nyuzi huku ziki bishana kati ya Albert Einstein na Isaac Newton nani bora?

Kwa nini kila siku ni Dini tu, Mara Biblia Vs Quran, Ukristo Vs Uislamu,Yesu Vs Muhammad???

Kwa nini dini kila siku na siyo sayansi?????
 
Hizo ni Fiction wala huna uthibitisho wa kwamba nyama za watu zilikuwa zinaliwa.

Mbona hata hivi sasa kuna watu wameliwa Uganda

Afrika Ya Mashariki - Vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu nchini Uganda

Ulaji watu: Visa vya watu kula nyama ya binadamu vilivyohofisha ulimwengu na chimbuko lake​

10 Mei 2021
Police had locked the hut but items used in rituals can be seen through a crack in the door

Ulaji wa watu ni jambo ambalo huwahofisha watu wengi lakini ni kitu ambacho kimeripotiwa kuendelea katika sehemu mbali mbali za dunia kwa sababu mbali mbali . Hivi maajuzi imeripotiwa kwamba kuna jamii za Papua New Guinea ambazo zimekuwa zikiendeleza ulaji watu .

Katika nchi mbali mbali za Afrika kumeripotiwa katika nyakati tofauti kwamba kunao watu waliokula nyama ya watu au hata kulazimishwa kula nyama ya watu au sehemu zao .

Visa kama hivyo vimetokea katika nchi za DRC, Liberia na hata Sudan Kusini . Hata hivyo kunavyo visa vya kuogofya ambavyo watu walipatikana na hatia ya kula nyama ya binadamu nchini Afrika kusini ,na kuzua hofu nchini humo miaka minne iliyopita .
 
Ulishawahi kuona nyuzi huku ziki bishana kati ya Albert Einstein na Isaac Newton nani bora?
Nilikuwa naijibu hoja yako kwamba kwasababu simjui Yesu na wala sijawahi kumuona kwahiyo ni upuuzi ni fiction.

Nikasema mimi sijawahi kumjua Isaak Newton nimemuona kwenye picha na mafundisho yake nimeyasoma kuwa kuna nguvu za Gravity japo hazionekani kwa macho lakini zipo

Nami nikasema Nguvu za Mungu zipo japo yeye haonekani.
 
Nilikuwa naijibu hoja yako kwamba kwasababu simjui Yesu na wala sijawahi kumuona kwahiyo ni upuuzi ni fiction.

Nikasema mimi sijawahi kumjua Isaak Newton nimemuona kwenye picha na mafundisho yake nimeyasoma kuwa kuna nguvu za Gravity japo hazionekani kwa macho lakini zipo

Nami nikasema Nguvu za Mungu zipo japo haonekani.
Ndizo Fiction hizo, imagination just an illusion.
 
Nani kasema Quran sio Maneno ya Mungu?
Quran imenukuu maneno ya Biblia na kuyafanyia plagiarism na forgery ili yawe katika muktadha wa kiarabu
Yani we jamaa! Ndio maana nasema biblia sio ya kulinganishwa na qur'an, na nimerudia sana kwamba qur'an ni zaidi ya hivyo visa vya wayahudi.

Qur'an inasimama yenyewe yeye kama yeye kwa kila kilichomo humo kinatambulika ni maneno ya Mungu, sasa biblia ni kitabu kilichokusanya maandiko na makorokoro mengine humo hivyo kuna mambo ya Mungu na yasiyo ya Mungu na ndio maana hivyo visa kwenye Qur'an unavyosema vimetolewa kwenye Biblia utaaona vingine vimepishana au kutofautiana na vile ilivyoelezwa kwenye biblia.
 
Back
Top Bottom