Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Tupo page karibia ya 100 hakuna muislamu amejibu post number 1, embu jibuni au mkiri mmeshindwa


Kubuniwa


Zaidi ya nusu ya Wakristo wote duniani ni Wakatoliki.

Toleo lao la Biblia lilichapishwa mwaka 1582 kutoka kwa Jerome`s Latin Vulgate, na kutengenezwa tena huko Douay mwaka 1609.

Agano Jipya la RCV (Roman Catholic Version) lina vitabu saba zaidi kuliko lile la King Jams Version linalotambuliwa na Ulimwengu wa Wapotestanti.

Hivyo vitabu vya ziada vinazingatiwa kuwa ni vya kubuniwa (yaani kuna shaka juu ya mtunzi wake) na vimeondolewa kutoka katika Biblia mwaka 1611 na wasomi wa Biblia wa Kipotestanti.
 
Nje ya mada , nakuona picha upo kwenye ibada ya jiwe
 
Tupo page karibia ya 100 hakuna muislamu amejibu post number 1, embu jibuni au mkiri mmeshindwa
 
Tupo page karibia ya 100 hakuna muislamu amejibu post number 1, embu jibuni au mkiri mmeshindwa
Nakulazimisha nn kama huelewi ..kasome surarul ilitambulisha qur an kwanza ,then uje kwamba inasadifu yaliyopita ikiwa ni vitabu vya torati ,zaburi vyote vya mungu ambazo vilieleza mambo ya mayahudi ,mpaka nabii wa kwanza adamu.

Kama huelewi basi au kiswahili chenga hata neno "kusadifu" hujui ? Basi njoo pwani ujifunze kiswahili ...mtu ushazoea kuongeleshana na ng'ombe mda wote sidhani Kama utanielewa.
 
Soma post number 1 Kuna hoja zipo pangua moja moja tena Zina number , tunaelekea kufika page 100 hakuna muislamu kathubutu kujibu , mnaleta mambo mengine mpotezee


Injili Kiarama ilikuwa ndio lugha inayozungumzwa na Wayahudi wa Palestina.

Kwa hiyo, inaaminika kuwa Yesu na wanafunzi wake walikuwa wakizungumza na kufundisha kwa Kiarama.

Mapokeo ya mdomo kwa mdomo ya mwanzo kabisa ya matendo na maneno ya Yesu bila shaka yalikuwa katika Kiarama.

Hata hivyo, Injili nne zimeandikwa kwa kauli tofauti kabisa, Kigiriki, lugha ya ustaarabu wa ulimwengu wa eneo la bahari ya kimediterania, ilihudumia makanisa mengi, na kuyafanya yawe ya Kigiriki (Yanatumia Kigiriki) badala ya Kipalestina (Kiarama).

Alama za Kiarama bado zipo katika Injili za Kigiriki.

Kwa mfano, katika Marko 5:41, “Akamshika mkono kijana, akamwambia, Talitha, kumi; tafsiri yake, Msichana, nakuambia, Inuka.” na Marko 15:34 “Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani?

Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”
 
Tupo page karibia ya 100 hakuna muislamu amejibu post number 1, embu jibuni au mkiri mmeshindwa
 
Nje ya mada , nakuona picha upo kwenye ibada ya jiwe
Picha ipi ni ile ni sehemu ya kihistoria .. fuatilia ile sehemu nyie yenu ni is real ila nashangaa tours zenu ni Italy na uingereza ebu onyeshe collocation kati ya ukristo na uingereza na Italy instead ya ukristo na Israel.
 
Sawa
Sasa Rudi jibu post number 1
 
Tupo page karibia ya 100 hakuna muislamu amejibu post number 1, embu jibuni au mkiri mmeshindwa


Ingawa, Injili ya Marko katika Agano Jipya, Wasomi wa Kanisa wanaizingatia kuwa ndio Injili ya kale zaidi, haijaandikwa na mwanafunzi wa Yesu.

Wasomi wa Biblia kwa kutegemea ushahidi uliopo katika Injili hiyo, wanahitimisha kuwa Marko mwenyewe hakuwa mwanafunzi wa Yesu.

Zaidi ya hayo, kwa mujibu wa wasomi hao, hawana yakini juu ya huyo Marko alikuwa ni nani hasa.

Mtunzi wa kale wa Kikristo, Eusebius (325 C.E.) ameripoti kuwa Mtunzi wa kale mwingine, Papias (130 C.E.), alikuwa wa mwanzo kuihusisha Injili ya Marko kwa John Mark, mfuasi wa Paulo.

Wengine wanaonelea kuwa huyo mwandishi wa Marko huenda alikuwa mwanafunzi wa Peter, pia wengine wanang`ang`ania kuwa huenda alikuwa ni mtu mwingine kabisa.
 
Picha ipi ni ile ni sehemu ya kihistoria .. fuatilia ile sehemu nyie yenu ni is real ila nashangaa tours zenu ni Italy na uingereza ebu onyeshe collocation kati ya ukristo na uingereza na Italy instead ya ukristo na Israel.
Apo kwenye jiwe pedophile Muhammad alikuwa anaenda kuangalia pisi zikizunguka zikiwa uchi, 😂😂, aka improve kidogo akasema mvae sanda bila nguo za ndani
 
Sawa
Sasa Rudi jibu post number 1


Hali hiyo hiyo kwa Injili nyinginezo, ingawa Mathayo, Luka na Yohana ni majina ya wanafunzi wa Yesu, watunzi wa Injili zinazobeba majina yao hawakuwa hao wanafunzi mashuhuri wa Yesu, isipokuwa ni watu wengine waliotumia majina ya wanafunzi wa Yesu ili kuyafanya maelezo yao yasadikike.

Kwa hakika, Injili zote kiasili zinaduru katika mzigo wa kutotajwa jina la mtunzi.

Majina ya watunzi yamepewa vitabu hivyo na watu wasiojulikana wa kanisa la mwanzo

Mathayo Hajulikani

Injili ya Marko Hajulikani

Injili ya Luka Hajulikani

Injili ya Yohana Hajulikani

Matendo ya Mitume Mtunzi wa Luka

I, II, II, Yohana Mtunzi wa Yohana
 
Tupo page karibia ya 100 hakuna muislamu amejibu post number 1, embu jibuni au mkiri mmeshindwa
 
Sawa
Sasa Rudi kwenye post number 1 ujibu
 
Sawa
Sasa Rudi jibu post number 1


J.B. Phillips, kasisi wa kulipwa wa Kanisa kuu la Chichester, Kanisa la Kianglikana la Uingereza, ameandika utangulizi ufuatao katika tafsiri yake ya Injili kwa mujibu wa Mtakatifu Mathayo:

“Mapokeo ya mwanzo yanaipachika Injili hii kwa mwanafunzi wa Yesu aitwaye Mathayo, lakini wasomi wa kisasa karibu wote wanapinga mtazamo huo.

Mtunzi tunayeweza kumwita Mathayo bila shaka, kwa uwazi kabisa ameshaandikwa katika fumbo lisiloelezeka “Q”, kitu ambacho kinaweza kuwa ni mkusanyo wa mapokeo ya simulizi za mdomo kwa mdomo.

Alitumia Injili ya Marko kwa uhuru, ingawa alipanga upya mpangilio wa matukio vilevile katika mifano kadhaa alitumia maneno tofauti tofauti kwa kile ambacho kwa uwazi kabisa ni kisa kile kile.”

Injili ya nne (Yohana) ilipingwa ikichukuliwa kuwa ni uasi katka kanisa la kwanza, na Injili hiyo haijui habari zozote zinazohusiana na Yohana, mwana wa Zebedayo.

Katika uamuzi wa wasomi wengi, Injili hiyo iliundwa na “shule” ya wanafunzi wa Yesu, huenda ni huko Syria katika muongo wa mwisho wa karne ya kwanza.
 
Waislamu mmeangukia pua
 
Waislamu mmeangukia pua

Kupingana


Ushahidi wa kuonyesha kutokuwa na uhakika wa mambo mengi yaliyomo katika Biblia, pia unaweza kupatikana katika kupingana kwingi kwa maandiko ya Agano la Kale na Agano Jipya.

Ifuatayo ni mifano michache tu:


Agano la Kale

1. Watunzi wa Samweli na Mambo ya Nyakati wanasimulia kisa kimoja kuhusu Mtume Daudi kufanya sensa ya Wayahudi.

Hata hivyo, katika 2 Samweli, inaeleza kuwa Mtume Daudi alitenda hilo kwa maelekezo ya Mungu, huku

1 Mambo ya Nyakati, Daudi alitenda hilo kwa maelekezo ya Shetani
 
Waislamu mmeangukia pua


Katika kuelezea urefu wa baa la tauni lililotabiriwa na Gad, mtunzi wa 2 Samweli, analiorodhesha tukio hilo kuwa lilikuwa la miaka saba, huku mtunzi wa 1 Nyakati analiorodhesha kuwa lilikuwa la miaka mitatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…