Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Tupo page karibia ya 100 hakuna muislamu amejibu post number 1, embu jibuni au mkiri mmeshindwa
Kubuniwa
Zaidi ya nusu ya Wakristo wote duniani ni Wakatoliki.
Toleo lao la Biblia lilichapishwa mwaka 1582 kutoka kwa Jerome`s Latin Vulgate, na kutengenezwa tena huko Douay mwaka 1609.
Agano Jipya la RCV (Roman Catholic Version) lina vitabu saba zaidi kuliko lile la King Jams Version linalotambuliwa na Ulimwengu wa Wapotestanti.
Hivyo vitabu vya ziada vinazingatiwa kuwa ni vya kubuniwa (yaani kuna shaka juu ya mtunzi wake) na vimeondolewa kutoka katika Biblia mwaka 1611 na wasomi wa Biblia wa Kipotestanti.