UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Wakristo wanaamini ya kwamba Yesu ni Mungu sasa iwe wametoa kwenye Biblia au hawajatoa kwenye Biblia ila hivyo ndivyo wakristo wanavyoamini.Ukisema Quran inapinga Yesu kuwa Mungu kwani ni wapi Biblia iliwahi kusema Yesu ni Mungu?
Quran imeiba/imefanya plagiarism Kwa sababu haijatoa Credit kwenye vitabu ilivyochukua taarifa na wahusika wake.
Alafu ikafanya Forgery ili ionekane yenyewe ndio chanzo cha visa hivyo.
Neno kisa sio lazima iwe Stori ya kubuni au yakifasihi hata tukio la kweli linaweza kuwa kisa
Muhammad kaja wakati hivyo visa vimeshatokea vinajulikana na ndio maana inasahisha au kupinga baadhi ya mambo kama hilo la Yesu kusulubiwa, sasa utasema Qur'an imeiba hivyo visa na kujifanya yenyewe ndio chanzo? Cha kuzingatia ni kwamba Qur'an haijaeleza hivyo visa kutokea kwenye biblia.
Nimesema Qur'an imeweka hivyo visa kwa sababu vina mazingatio ndani yake sijazungumzi masuala ya visa vya kubuni.