Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Ukisema Quran inapinga Yesu kuwa Mungu kwani ni wapi Biblia iliwahi kusema Yesu ni Mungu?

Quran imeiba/imefanya plagiarism Kwa sababu haijatoa Credit kwenye vitabu ilivyochukua taarifa na wahusika wake.
Alafu ikafanya Forgery ili ionekane yenyewe ndio chanzo cha visa hivyo.

Neno kisa sio lazima iwe Stori ya kubuni au yakifasihi hata tukio la kweli linaweza kuwa kisa
Wakristo wanaamini ya kwamba Yesu ni Mungu sasa iwe wametoa kwenye Biblia au hawajatoa kwenye Biblia ila hivyo ndivyo wakristo wanavyoamini.

Muhammad kaja wakati hivyo visa vimeshatokea vinajulikana na ndio maana inasahisha au kupinga baadhi ya mambo kama hilo la Yesu kusulubiwa, sasa utasema Qur'an imeiba hivyo visa na kujifanya yenyewe ndio chanzo? Cha kuzingatia ni kwamba Qur'an haijaeleza hivyo visa kutokea kwenye biblia.

Nimesema Qur'an imeweka hivyo visa kwa sababu vina mazingatio ndani yake sijazungumzi masuala ya visa vya kubuni.
 
Quran imeeleza vitu vingi lakini haviwezi kuwa ushahidi mahakamani.
Kwa sababu haitoi taarifa sahihi na nyeti kuhusu matukio inayoelezea.
Mifano, unaweza niambia Kwa mujibu wa Quran Daudi alizaliwa wapi? Akaishi miaka mingapi na akafa wapi?

Au Issa alizaliwa wapi?
Au Ibrahim alikufa akiwa na miaka mingapi, akazikwa wapi?

Kimahakama hayo ndio yataulizwa alafu Quran itabaki imeduwaa isiwe na chakujibu.

Quran haijui hata Neno mungu/Allah sio personal name inayoweza kumtambulisha ni mungu yupi au wakina Nani.
Lakini Biblia yenyewe ipo full kuwa Mungu wa waisrael ni Yehova, na kuna miungu mingi imetajwa kulingana na jamii husika za watu.
Unaposema biblia unakusudia biblia ipi?
Queen James Version, King James Version, NIV, RSV, au ipi katika maelfu ya biblia tofauti?
 
Kam ulifika chuo kikuu nafikiri unaelewa maana ya Plagiarism au Forgery.
Ndicho alichofanya Muhammad
Muhammad hajafanya kuwa hivyo visa ni vyake labda useme wakristo kupitia biblia ndio huona kuwa hivyo visa ni vyao.
 
Maneno ya mungu yakiwa yameandikwa na wanadamu tunaweza kuyapeleka mahakamani kuyathibitisha Kama ni kweli au sio kweli ili yasipotoshe watu.

Quran na Biblia ni vitabu kama vilivyovitabu vingine vinavyotumiwa na wanadamu, kuvi- certifying ni kitu cha kawaida.
images-3.jpg
 
Nimejibu andiko jipya ni pamoja na fundisho la Majini.
Waislam hawawezi kufanana ibada zao Kwa sababu miungu yao ni tofauti.
Mungu WA Biblia ni Yehova/Yahweh
Mungu WA Quran ni Allah aliyekuwa mungu wa waarabu kabla ya uislam
Sasa kwanini mseme Qur'an haina jipya ispokuwa tu hiyo sura yenye kuelezea majini ambayo wengine mnaita mapepo?
 
Unasema alikuwa haelezei Kama kitu kipya ilhali anasema Yesu alizaliwa mchana kwenye mtende ilhali inafahamika Yesu alizaliwa Usiku kwenye Hori la NG'OMBE.

Muhammad anasema Yesu hakusulubishwa ilhali Visa alivyovikuta vinasema alisulubishwa.

Huoni kimahakama Muhammad anapotosha? Au ni muongo
Anapotosha kwa sababu kaeleza tofauti na biblia? Kukuta haifanyi kuwa hivyo visa ni vya kweli.
 
Wakristo wanaamini ya kwamba Yesu ni Mungu sasa iwe wametoa kwenye Biblia au hawajatoa kwenye Biblia ila hivyo ndivyo wakristo wanavyoamini.

Muhammad kaja wakati hivyo visa vimeshatokea vinajulikana na ndio maana inasahisha au kupinga baadhi ya mambo kama hilo la Yesu kusulubiwa, sasa utasema Qur'an imeiba hivyo visa na kujifanya yenyewe ndio chanzo? Cha kuzingatia ni kwamba Qur'an haijaeleza hivyo visa kutokea kwenye biblia.

Nimesema Qur'an imeweka hivyo visa kwa sababu vina mazingatio ndani yake sijazungumzi masuala ya visa vya kubuni.
Unapo chukua andiko lazima uweke acknowledgement, Muhammad yeye kafanya kuchukua na ku edit na kujifanya ni yake amefanya Plagiarism

Jipya alilo kuja nalo Muhammad ni mapepo kuwa ni waislamu
 
Anapotosha kwa sababu kaeleza tofauti na biblia? Kukuta haifanyi kuwa hivyo visa ni vya kweli.
Amepotosha maana kabadili maandiko ya watu , yeye kayakuta anaanza kuleta edition

Mengine kachukua majina tu kapachika na majina ya wayahudi uwa Yana maana
Kachukua yakobo kampachika Israel wala haelezi ilikuwaje jina kubadilika
 
Quran imeeleza vitu vingi lakini haviwezi kuwa ushahidi mahakamani.
Kwa sababu haitoi taarifa sahihi na nyeti kuhusu matukio inayoelezea.
Mifano, unaweza niambia Kwa mujibu wa Quran Daudi alizaliwa wapi? Akaishi miaka mingapi na akafa wapi?

Au Issa alizaliwa wapi?
Au Ibrahim alikufa akiwa na miaka mingapi, akazikwa wapi?

Kimahakama hayo ndio yataulizwa alafu Quran itabaki imeduwaa isiwe na chakujibu.

Quran haijui hata Neno mungu/Allah sio personal name inayoweza kumtambulisha ni mungu yupi au wakina Nani.
Lakini Biblia yenyewe ipo full kuwa Mungu wa waisrael ni Yehova, na kuna miungu mingi imetajwa kulingana na jamii husika za watu.
Hoja yako ni ipi sasa hapo kwamba ulitaka Qur'an ieleze kila tukio? Mahakamani kunahitajika ushahidi.
 
Hoja yako ni ipi sasa hapo kwamba ulitaka Qur'an ieleze kila tukio? Mahakamani kunahitajika ushahidi.
Muhammad alipo chukua jina Israel alikuwa anajua maana ya jina?

Israel -Meaning. 'God Contended', 'Wrestles with God', 'Triumphant with God'
 
Ndio anakuwa muislamu.

Maana vigezo vyote vya kuwa muislamu anakuwa amevifanya akianzia na kusema shahada
Ukisema vigezo vyote ina maana akiishia kigezo cha kutoa shahada tu bado hajawa muislamu?
 
Mpaka Muhammad anaondoka hapakuwa na Quran unayoishika hivi leo.
Muulize Mwalimu wako WA dini.
Hata hivyo Hilo sio kosa.

Tatizo lipo kwenye hoja zangu hapo juu, ambazo mpaka sasa umeamua kujifanya huzioni, na hii ni kutokana zimekuwa ngumu Kwa mawakili WA utetezi wa Quran

Mtume Muhammad (S.A.W) Anakufa Hakukuwa Na Qur'an Iliokusanywa Na Kuwekwa Sehemu Moja,Isipokuwa Aya Fulani Zilikuwa Zimehifadhwi kwenye Magome Ya Miti, Nyingi Kwenye Mifupa Ya Wanyama, Nyingine Kwenye Ngozi Kutokana Na Hakukuwa Na Teknolojia Ya Karatasi.

Baada Ya Kifo Cha Mtume Ilitokea Vita Iliyouuwa Takribani Watu 70 walohifadhi Qur'an, Hivo Waislamu Chini Ya Uongozi Wa Uthman Walikaa Na Kuikusanya Quran, Na Sio Kuiandika Ni Kukopi Na Kuweka sehemu Moja (Kile Kilichoandikwa Kwenye Magome Ya Miti, Ngozi Na Mifupi)Kipindi Alipokuwepo Mtume Muhammad (S.A.W).

Kwani Kuna Ubaya Gani, Ni Jambo La Kheir Wala Hamna Makosa Yoyote.

Na Watu Walioikusanya Qur'an Na Kuiweka Pamoja Ni Watu waliokuwa Wametabiriwa Pepo Na Mtume Muhammad (S.AW) Kwa Hivo Mtume Hawez Tabiria Pepo Watu Ambao Baadae Watakuja Fanya Makosa Kwan Mtume Muhammad(S.A.W) Hakuwa Anasema Kitu Kwa Utashi Wake Isipokuwa Ni Kitu Alichoambiwa Na Allah.
 
Amepotosha maana kabadili maandiko ya watu , yeye kayakuta anaanza kuleta edition

Mengine kachukua majina tu kapachika na majina ya wayahudi uwa Yana maana
Kachukua yakobo kampachika Israel wala haelezi ilikuwaje jina kubadilika
Muislamu au Quran haijui hata maana ya neno ISRAEL
 
Unaniuliza Mimi tena!
Ili uwe Muislam lazima USHIKE nguzo za uislam.
Ili uwe msabato lazima USHIKE kanuni 28 za Usabato,
Kila dini inakanuni na nguzo zake.
Wapi hauelewi sheikhe
Ili uwe muislamu na nguzo za uislamu hivyo ni vitu viwili.
 
Maneno ya mungu yakiwa yameandikwa na wanadamu tunaweza kuyapeleka mahakamani kuyathibitisha Kama ni kweli au sio kweli ili yasipotoshe watu.

Quran na Biblia ni vitabu kama vilivyovitabu vingine vinavyotumiwa na wanadamu, kuvi- certifying ni kitu cha kawaida.
expand...
Unaposema biblia unakusudia biblia ipi?
Queen James Version, King James Version, NIV, RSV, au ipi katika maelfu ya biblia tofauti?
 
Back
Top Bottom