Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kabla Muhammad hajapewa Wahai/ufunuo unajua Allah alikuwa anaabudiwa na waarabu?
Sasa ulitaka mwarabu huyu asimuabudu Allah!?
6-abrahams-world-icons-9.jpg
 
Sasa ulitaka mwarabu huyu asimuabudu Allah!?View attachment 2414627

Wewe Kwa akili yako ukiambiwa Rais kichwani mwako unadhani Rais ni Samia tuu.
Ndio akili za mtu ambaye hajaenda shule.

Allah na Yehova ni miungu wawili tofauti.
Na hapo ndipo hoja ilipo kuwa Allah kamuibia Yehova maandiko na manabii wake

Alafu Muhammad alivyombaya anawaambia waumini na wafuasi wake wawachukie Wayahudi ili wasitambue ukweli kuwa Muhammad kafanya wizi.
 
Kuna uzi mmoja nimeusahau member mmoja alisema hivii, nanukuu " HAKUNA KAMATI ANAYO OGOPA KAMA KAMATI ILIYOKAA IKAANDIKA BIBLIA, ANAI OGOPA MNOO" 😂😂😂
mwisho kwa kunukuu!
 
Nilikuambia unipe aya moja ambayo Mungu anajitambulisha Kwa Majina mengi hujaleta mpaka Sasa.
Duh! Kwanza wapi nilisema kuna aya moja ambayo Mungu anajitambulisha kwa majina mengi? Nimesema Mungu ana majina mengi na alikuwa akitambulika kwa majina yake mbalimbali. Na nikakuwekea andiko Mungu akijitambulisha kwa jina tofauti na Yehova.

"Abrahamu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu". (Mwanzo 17:1)
 
Wewe Kwa akili yako ukiambiwa Rais kichwani mwako unadhani Rais ni Samia tuu.
Ndio akili za mtu ambaye hajaenda shule.

Allah na Yehova ni miungu wawili tofauti.
Na hapo ndipo hoja ilipo kuwa Allah kamuibia Yehova maandiko na manabii wake

Alafu Muhammad alivyombaya anawaambia waumini na wafuasi wake wawachukie Wayahudi ili wasitambue ukweli kuwa Muhammad kafanya wizi.
Wewe umesema Allah ni jina lililokuwa likitumiwa na waarabu hata kabla ya Muhammad.Mimi nimekujibu ndiyo ni kweli na nikakuwekea ramani ya MWARABU AMBAYE NDIYE BABA WA IMANI AKIFANYA SAFARI ZAKE ZA MAISHA KWA MAELEKEZO YA ALLAH.
Sasa kosa langu ni nini tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nipe Hilo jina sasa.
Mungu sio personal name,
Mungu mwenyezi sio personal name .

Unajua maana ya personal name lakini Mkuu
 
Mwarabu yupi ndio Baba WA Imani?
Alafu unajua kesi hii inahusu nini?
 
Duh! Kwanza wapi nilisema kuna aya moja ambayo Mungu anajitambulisha kwa majina mengi? Nimesema Mungu ana majina mengi na alikuwa akitambulika kwa majina yake mbalimbali. Na nikakuwekea andiko Mungu akijitambulisha kwa jina tofauti na Yehova.

"Abrahamu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu". (Mwanzo 17:1)
Mkuu!Hicho ni kiswahili,ebu tafuta lugha aliyotumia Abraham hapo kwenye MUNGU MWENYEZI.
Ila zingatia tu kuwa Abraham alihama kutoka Misri hadi ----.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe Kwa akili yako ukiambiwa Rais kichwani mwako unadhani Rais ni Samia tuu.
Ndio akili za mtu ambaye hajaenda shule.

Allah na Yehova ni miungu wawili tofauti.
Na hapo ndipo hoja ilipo kuwa Allah kamuibia Yehova maandiko na manabii wake

Alafu Muhammad alivyombaya anawaambia waumini na wafuasi wake wawachukie Wayahudi ili wasitambue ukweli kuwa Muhammad kafanya wizi.
Rais Samia ni mmoja tu wa nchi inayohitwa Tanzania na hakuna rais mwingine katika nchi ya Tanzania anayehitwa Rais Samia wa Jamuhuri ya Tanzania.

Na DUNIA NI MOJA TU,NA MUNGU WA DUNIA YOOOOOTEEEE NI MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI NA VYOTE VILIVYOMO.

Na hakuna Mungu mwingine.
 
Nipe Hilo jina sasa.
Mungu sio personal name,
Mungu mwenyezi sio personal name .

Unajua maana ya personal name lakini Mkuu
Ok vizuri.

Yehova lina maana ya "Bwana" au "The Lord" kwa english. Haya niambie hapo inakuaje kuwa ni personal name?
 
Personal name ya Mungu mwenyezi ni ALLAH kwa lugha ya Kiarabu na YAHVH kwa lugha ya Jews.
Wewe ni mjinga.
Mungu kwa kiarabu ni illah.

La illah = hakuna Mungu.
Ilaa Allah = isipokuwa Allah
Muhamadi Rasuli-illah=Muhamadi ni mtume wa mungu.
Shahada yenu hiyo.

Wewe ni mjinga na mpotofu.
Umekremishwa kiarabu bila kujua maana yake.
 
Mungu wa waislamu jina lake ni Allah.
Na ana mabinti watatu watoto wake.
Uzza, Lutta na Manata.
Ambao Muhamadi siku zote za maisha yake alikuwa anawaabudu na kuwasujudia.
Na akaweka alama zao lile Jiwe Jeusi la Maka linalo itwa Aswadi mnalo lisujudia kila siku.

Salmau Rushdie aliwaambia hivyo mkamuwinda mumchinje.
Kwakuwa hamjakuwa na cha kumjibu .
Na ana PHD ya Islamic History.

Pumbaf sana nyie
 
Uwongo wenu umewekwa peupe na kujulikana.
Mmebaki kuongopa tu.
Na kutishia kuwachinja wanao waambia ukweli.
Njoo kwangu nikupe Aya za Shetani kama utaweza kumjibu Salman Rushidie tukuwekee mdahalo naye.

Waalimu wa dini ya Kiislamu wamechemsha utaweza wewe Maamuma.
 
Ok vizuri.

Yehova lina maana ya "Bwana" au "The Lord" kwa english. Haya niambie hapo inakuaje kuwa ni personal name?
Yahweh means “ I am who I am
God's Name Is Almost Always Translated Lord In The English Bible. But the Hebrew would be pronounced something like “Yahweh,” and is built on the word for “I am.”

Kutoka 3:13
Musa akamwambia Mungu, Tazama, nitakapofika kwa wana wa Israeli, na kuwaambia, Mungu wa baba zenu amenituma kwenu; nao wakaniuliza, Jina lake n’nani? Niwaambie nini?

Kutoka 3:14
Mungu akamwambia Musa, MIMI NIKO AMBAYE NIKO;akasema, Ndivyo utakavyowaambia wana wa Israeli; MIMI NIKO, amenituma kwenu.

Exodus 3:14​

14 God said to Moses, “I am who I am.[a] This is what you are to say to the Israelites: ‘I am(A) has sent me to you.’”

Unajua lakini maana ya Personal name?
 
Rais Samia ni mmoja tu wa nchi inayohitwa Tanzania na hakuna rais mwingine katika nchi ya Tanzania anayehitwa Rais Samia wa Jamuhuri ya Tanzania.

Na DUNIA NI MOJA TU,NA MUNGU WA DUNIA YOOOOOTEEEE NI MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI NA VYOTE VILIVYOMO.

Na hakuna Mungu mwingine.

Unaumwa wewe!
Ndio maana Quran imewapotosha parefu,
Ili mungu awe mmoja ni vitu gani vinatakiwa kuthibitisha Jambo hilo?

Allah ni mungu wa waarabu anasheria zake,
Na Yehova ni mungu wa Wayahudi anasheria zake,
Hao ni miungu wawili tofauti,

Allah anasema watu waabudu siku ya ijumaa
Wakati Yehova Mungu WA Wayahudi anasema watu waabudu siku ya SABATO/jumamosi.

Allah anasema nguzo za uislam ni kuswali swala tano na kufunga Ramadhan,
Yehova yeye hasemi na Hana hayo MAMBO ya Ramadhan na kuswali swala tano.
Yeye anasheria zake zipo kwenye Torati.

Allah kabla ya Muhammad alikuwa ana watoto wakike watatu, na Malaika walikuwa Wake zake
Yehova hana watoto.

Allah anataka watumie lugha ya kiarabu kumjifunza yeye
Yehova hajali masuala ya lugha,
 
Back
Top Bottom