KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Sasa ulitaka mwarabu huyu asimuabudu Allah!?Kabla Muhammad hajapewa Wahai/ufunuo unajua Allah alikuwa anaabudiwa na waarabu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulitaka mwarabu huyu asimuabudu Allah!?Kabla Muhammad hajapewa Wahai/ufunuo unajua Allah alikuwa anaabudiwa na waarabu?
Kesi closed [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ulitaka mwarabu huyu asimuabudu Allah!?View attachment 2414627
Duh! Kwanza wapi nilisema kuna aya moja ambayo Mungu anajitambulisha kwa majina mengi? Nimesema Mungu ana majina mengi na alikuwa akitambulika kwa majina yake mbalimbali. Na nikakuwekea andiko Mungu akijitambulisha kwa jina tofauti na Yehova.Nilikuambia unipe aya moja ambayo Mungu anajitambulisha Kwa Majina mengi hujaleta mpaka Sasa.
Wewe umesema Allah ni jina lililokuwa likitumiwa na waarabu hata kabla ya Muhammad.Mimi nimekujibu ndiyo ni kweli na nikakuwekea ramani ya MWARABU AMBAYE NDIYE BABA WA IMANI AKIFANYA SAFARI ZAKE ZA MAISHA KWA MAELEKEZO YA ALLAH.Wewe Kwa akili yako ukiambiwa Rais kichwani mwako unadhani Rais ni Samia tuu.
Ndio akili za mtu ambaye hajaenda shule.
Allah na Yehova ni miungu wawili tofauti.
Na hapo ndipo hoja ilipo kuwa Allah kamuibia Yehova maandiko na manabii wake
Alafu Muhammad alivyombaya anawaambia waumini na wafuasi wake wawachukie Wayahudi ili wasitambue ukweli kuwa Muhammad kafanya wizi.
Duh! Kwanza wapi nilisema kuna aya moja ambayo Mungu anajitambulisha kwa majina mengi? Nimesema Mungu ana majina mengi na alikuwa akitambulika kwa majina yake mbalimbali. Na nikakuwekea andiko Mungu akijitambulisha kwa jina tofauti na Yehova.
"Abrahamu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu". (Mwanzo 17:1)
Wewe umesema Allah ni jina lililokuwa likitumiwa na waarabu hata kabla ya Muhammad.Mimi nimekujibu ndiyo ni kweli na nikakuwekea ramani ya MWARABU AMBAYE NDIYE BABA WA IMANI AKIFANYA SAFARI ZAKE ZA MAISHA KWA MAELEKEZO YA ALLAH.
Sasa kosa langu ni nini tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu!Hicho ni kiswahili,ebu tafuta lugha aliyotumia Abraham hapo kwenye MUNGU MWENYEZI.Duh! Kwanza wapi nilisema kuna aya moja ambayo Mungu anajitambulisha kwa majina mengi? Nimesema Mungu ana majina mengi na alikuwa akitambulika kwa majina yake mbalimbali. Na nikakuwekea andiko Mungu akijitambulisha kwa jina tofauti na Yehova.
"Abrahamu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu". (Mwanzo 17:1)
Personal name ya Mungu mwenyezi ni ALLAH kwa lugha ya Kiarabu na YAHVH kwa lugha ya Jews.Nipe Hilo jina sasa.
Mungu sio personal name,
Mungu mwenyezi sio personal name .
Unajua maana ya personal name lakini Mkuu
MWARABU HUYU HAPAMwarabu yupi ndio Baba WA Imani?
Alafu unajua kesi hii inahusu nini?
Rais Samia ni mmoja tu wa nchi inayohitwa Tanzania na hakuna rais mwingine katika nchi ya Tanzania anayehitwa Rais Samia wa Jamuhuri ya Tanzania.Wewe Kwa akili yako ukiambiwa Rais kichwani mwako unadhani Rais ni Samia tuu.
Ndio akili za mtu ambaye hajaenda shule.
Allah na Yehova ni miungu wawili tofauti.
Na hapo ndipo hoja ilipo kuwa Allah kamuibia Yehova maandiko na manabii wake
Alafu Muhammad alivyombaya anawaambia waumini na wafuasi wake wawachukie Wayahudi ili wasitambue ukweli kuwa Muhammad kafanya wizi.
Ok vizuri.Nipe Hilo jina sasa.
Mungu sio personal name,
Mungu mwenyezi sio personal name .
Unajua maana ya personal name lakini Mkuu
Wewe ni mjinga.Personal name ya Mungu mwenyezi ni ALLAH kwa lugha ya Kiarabu na YAHVH kwa lugha ya Jews.
Yahweh means “ I am who I am”Ok vizuri.
Yehova lina maana ya "Bwana" au "The Lord" kwa english. Haya niambie hapo inakuaje kuwa ni personal name?
Rais Samia ni mmoja tu wa nchi inayohitwa Tanzania na hakuna rais mwingine katika nchi ya Tanzania anayehitwa Rais Samia wa Jamuhuri ya Tanzania.
Na DUNIA NI MOJA TU,NA MUNGU WA DUNIA YOOOOOTEEEE NI MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI NA VYOTE VILIVYOMO.
Na hakuna Mungu mwingine.