Umesema waliona kabisa na wakaandika walicho ona , wanakuwaje tena sio wakweli?Si wa kweli na wewe usiendelee kuamini that illusion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema waliona kabisa na wakaandika walicho ona , wanakuwaje tena sio wakweli?Si wa kweli na wewe usiendelee kuamini that illusion
Unayo ambayo sio illusion tufananishe na illusionMimi sijasema sauli kaandika injili. Injili iliteremshwa kwa yesu. Biblia ndio mkusanyiko wa waponzani wa yesu. Wakaandika illusion kwa more than 85%
Alie fananishia na waliofananishiwa nani kadanganya mwenzake?Si wa kweli na wewe usiendelee kuamini that illusion
Amekuomba umwambie Adam alifanya Nini , unarukaruka like a monkey?Bible ni mkusanyiko wa vitabu vilivyopita. Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu vilivyopita.
Tofauti iko hivi bilble Si agano lilokusanywa na mtume wa mungu. Quran imekusanywa na mtume wa mungu
Hebu soma historia ndugu.Isa ni muislamu? Kwa kipindi Cha miaka 500 awa waislamu walikuwa wanaamini Isa kasulubiwa , Allah anasema hukumu Yao itakuwaje?
Swali lipo waziHebu soma historia ndugu.
Yesu alizaliwa kipindi cha utawala wa warumi. Ambao ilikuwa ni dola kubwa iliyoenea hadi Palestine ambako yesu alizaliwa huko Nazareth.
Alipfika miaka 14 tu yesu akaanza kuonyesha upinzani kwa dola ya urumi. Akapata wafuasi hadi kaisari na magawana wake pilato wakamkama ili wamuuwe.
Mungu akajiikoa Akalia akajiombea eloi eloi.
Akajinyanyua juu. Baada ya yesu kunyanyuliwa. Akaja profesa pale Jerusalem akisema ameota usingizi kuwa yeye ni mtume na yesu ni mungu wakamtimua. Akaenda antiokia Itali na kwa Mara ya kwanza mafunzo kuwa yesu ni mungu yakaanzishwa na kupokelewa hadi mataifa.
Sasa jiulize kwanini profesa sauli walimfukuza wayahudi. Ni kwa sasa mafunzo yake hawakuyaamini.
Mafunzo kuwa yesu yule ndie alikiwa mungu. Na kwamba waliolala ktk mafunzo sauli mwenyewe akasema wamepotea.
Sasa baada ya miaka 500 jamii ikapoteza mafundisho ya yesu. Ndipo akaja Muhammad rehma na amani ziwe juu yake.
Kwa hiyo Mimi ni mfuasi wa yesu. Tunaemfahamu kama Islamic Jesus
Adam alifanya toba na ikapokelewa. Kuna story za kufanya zinaa. Hizo I don't care ilimradi alifanya toba.Amekuomba umwambie Adam alifanya Nini , unarukaruka like a monkey?
Kwa mujibu wa Koran Adam alifanya dhambi gani?Adam alifanya toba na ikapokelewa. Kuna story za kufanya zinaa. Hizo I don't care ilimradi alifanya toba.
Sasa tusimjadili Adam tujijadili sisi tunaoishi
[ AL - BAQARA - 37 ]
Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu.
Toba ilipokelewa na akafukuzwa ?Adam alifanya toba na ikapokelewa.
Majibu kwa ufupi.Swali lipo wazi
Isa ni muislamu? Kwa kipindi Cha miaka 500 awa waislamu walikuwa wanaamini Isa kasulubiwa , Allah anasema hukumu Yao itakuwaje?
Weka Aya kwamba walio amini uongo wa Allah wamesamehewaMajibu kwa ufupi.
Ndio issa alikiwa muislam
Kipindi cha miaka 500 waislam waislam walikiwa wanajua issa kasulubiwa.
Hukumu yao ni nini?
Jawabu MMungu hatoi adhabu kwa mja wale ila kwanza kamletea ujumbe.
Hivyo watakiwa wamesamehewa
Isa alizaliwa nchi gani na alikuwa kabila gani? Na kitabu chake kilikuwa kipi?Majibu kwa ufupi.
Ndio issa alikiwa muislam
Alifukuzwa kutoka wapi kwenda wapi.Toba ilipokelewa na akafukuzwa ?
Ukifukuzwa ni msamaha au adhabu?
Weka Aya kwamba walio amini uongo wa Allah wamesamehewa
Nenda kasome alifukuzwa kutoka mbingu ya Allah akatupwa dunianiAlifukuzwa kutoka wapi kwenda wapi.
Quran haijasema kama alofukunzwa. Na kama imesema nipo tayari kuchukua elimu hiyo mpya
Nenda kasome kisa Cha Ibrahim wa Koran Allah alipo sacrifice kondoo Ali sacrifice kwa naniJIBU HILI SWALI USIKIMBIE
Mnasema kwamba “MUNGU AMEMTOA” mwanawe wa pekee ili kutuokoa sisi”.
Je, Mungu alimtoa Yesu kumpa nani wakati yeye Mungu ndiye mmiliki wa ulimwengu wote?
Alizaliwa ktk nchi ya Palestine ya kale.Isa alizaliwa nchi gani na alikuwa kabila gani? Na kitabu chake kilikuwa kipi?
Nenda kasome alifukuzwa kutoka mbingu ya Allah akatupwa duniani
Toba ilipokelewa au la ?
Wela na Aya ya Koran , hiyo nchi ya Palestine ya kale iliitwaje?Alizaliwa ktk nchi ya Palestine ya kale.
Kitabu ni injili. Kabila muisrael.
Adam alifukuzwa kwa mujibu wa KoranTo a dalili