Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Mimi sijasema sauli kaandika injili. Injili iliteremshwa kwa yesu. Biblia ndio mkusanyiko wa waponzani wa yesu. Wakaandika illusion kwa more than 85%
Unayo ambayo sio illusion tufananishe na illusion
 
Bible ni mkusanyiko wa vitabu vilivyopita. Quran ni mkusanyiko wa vitabu vya mungu vilivyopita.

Tofauti iko hivi bilble Si agano lilokusanywa na mtume wa mungu. Quran imekusanywa na mtume wa mungu
Amekuomba umwambie Adam alifanya Nini , unarukaruka like a monkey?
 
Isa ni muislamu? Kwa kipindi Cha miaka 500 awa waislamu walikuwa wanaamini Isa kasulubiwa , Allah anasema hukumu Yao itakuwaje?
Hebu soma historia ndugu.

Yesu alizaliwa kipindi cha utawala wa warumi. Ambao ilikuwa ni dola kubwa iliyoenea hadi Palestine ambako yesu alizaliwa huko Nazareth.

Alipfika miaka 14 tu yesu akaanza kuonyesha upinzani kwa dola ya urumi. Akapata wafuasi hadi kaisari na magawana wake pilato wakamkama ili wamuuwe.

Mungu akajiikoa Akalia akajiombea eloi eloi.

Akajinyanyua juu. Baada ya yesu kunyanyuliwa. Akaja profesa pale Jerusalem akisema ameota usingizi kuwa yeye ni mtume na yesu ni mungu wakamtimua. Akaenda antiokia Itali na kwa Mara ya kwanza mafunzo kuwa yesu ni mungu yakaanzishwa na kupokelewa hadi mataifa.

Sasa jiulize kwanini profesa sauli walimfukuza wayahudi. Ni kwa sasa mafunzo yake hawakuyaamini.

Mafunzo kuwa yesu yule ndie alikiwa mungu. Na kwamba waliolala ktk mafunzo sauli mwenyewe akasema wamepotea.

Sasa baada ya miaka 500 jamii ikapoteza mafundisho ya yesu. Ndipo akaja Muhammad rehma na amani ziwe juu yake.

Kwa hiyo Mimi ni mfuasi wa yesu. Tunaemfahamu kama Islamic Jesus
 
Swali lipo wazi
Isa ni muislamu? Kwa kipindi Cha miaka 500 awa waislamu walikuwa wanaamini Isa kasulubiwa , Allah anasema hukumu Yao itakuwaje?
 
Amekuomba umwambie Adam alifanya Nini , unarukaruka like a monkey?
Adam alifanya toba na ikapokelewa. Kuna story za kufanya zinaa. Hizo I don't care ilimradi alifanya toba.

Sasa tusimjadili Adam tujijadili sisi tunaoishi

[ AL - BAQARA - 37 ]
Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu.
 
Kwa mujibu wa Koran Adam alifanya dhambi gani?
 
Swali lipo wazi
Isa ni muislamu? Kwa kipindi Cha miaka 500 awa waislamu walikuwa wanaamini Isa kasulubiwa , Allah anasema hukumu Yao itakuwaje?
Majibu kwa ufupi.

Ndio issa alikiwa muislam
Kipindi cha miaka 500 waislam waislam walikiwa wanajua issa kasulubiwa.

Hukumu yao ni nini?

Jawabu MMungu hatoi adhabu kwa mja wale ila kwanza kamletea ujumbe.

Hivyo watakiwa wamesamehewa
 
Weka Aya kwamba walio amini uongo wa Allah wamesamehewa
 
JIBU HILI SWALI USIKIMBIE

Mnasema kwamba “MUNGU AMEMTOA” mwanawe wa pekee ili kutuokoa sisi”.

Je, Mungu alimtoa Yesu kumpa nani wakati yeye Mungu ndiye mmiliki wa ulimwengu wote?
 
Alifukuzwa kutoka wapi kwenda wapi.
Quran haijasema kama alofukunzwa. Na kama imesema nipo tayari kuchukua elimu hiyo mpya
Nenda kasome alifukuzwa kutoka mbingu ya Allah akatupwa duniani

Toba ilipokelewa au la ?
 
JIBU HILI SWALI USIKIMBIE

Mnasema kwamba “MUNGU AMEMTOA” mwanawe wa pekee ili kutuokoa sisi”.

Je, Mungu alimtoa Yesu kumpa nani wakati yeye Mungu ndiye mmiliki wa ulimwengu wote?
Nenda kasome kisa Cha Ibrahim wa Koran Allah alipo sacrifice kondoo Ali sacrifice kwa nani
 
Nenda kasome alifukuzwa kutoka mbingu ya Allah akatupwa duniani

Toba ilipokelewa au la ?

Hebu twenda taratibu.

Hii ndio Quran wewe umeielewaje. Mimi nimeona kapata toba.

(AL - BAQARA - 36)
Lakini Shet'ani aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo, na tukasema: Shukeni, nanyi ni maadui nyinyi kwa nyinyi. Katika ardhi yatakuwa makaazi yenu na starehe kwa muda.

(AL - BAQARA - 37)
Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu.

(AL - BAQARA - 38)
Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.

(AL - BAQARA - 39)
Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo watadumu.
 
Back
Top Bottom