Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

Siliza wewe ndiyo umeleta haya mambo ya Roho wakati kwenye Quran hakuna hicho kitu, na Allah ansema, waislamu hawana elimu ya Roho ila kiduchu tu. Al-Israa 85.
Biblia inasema hivi
Mungu Ni Roho, nao wamwabuduo, imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.
Yohana 4:24.
Wewe unasema Roho ndiyo iliyo kufa wakati Roho haifi. Kuliko upuyange tu bora uulize usaidiwe.
Soma vizuri nilikuandikia kitu gani.
Wapi nilikuambia roho zao zilikufa?

Kama Mungu ni roho , Roho inaonekana ?

Paulo anakufa vipi kila siku ? Kama alivyosema?

Au kiswahili hukijui ?
 
koran ni subset ya Biblia
Mwandishi wa koran ni wa juzi tu , alisoma biblia kisha akaweka summary yake kwa kugusa baadhi ya aya za biblia na kuunda kora

Mwandishi wa Quran ALisoma biblia ipi hapa ??

AV (King James)New InternationalNew American StandardNew World Translation
Mt 9:13for I am not come to call the righteous, but sinners to repentance.For I have not come to call the righteous, but sinners.For I did not come to call the righteous, but sinners.For I came to call, not righteous people, but sinners.
For the Son of man is come to save that which was lost.​
OMITTED​
footnote casts doubt​
OMITTED​
Mt 19:17Why callest thou me good?"Why do you ask me about what is good?""Why are you asking me about what is good?""Wny do you ask me about what is good?"
Mt 25:13Ye know neither the day nor the hour wherein the Son of man cometh.You do not know the day or the hour.You do not know the day nor the hour.You know neither the day nor the hour,
Mk 10:24.how hard it is for them that trust in riches to enter into the kingdom of God!.how hard it is to enter the kingdom of God!.how hard it is to enter the kingdom of God!.how difficult a thing it is to enter into the kingdom of God!
Lk 2:33And Joseph and his mother,,,The child's father and mother.His father and mother.its father and mother.
Lk 4:4Man shall not live by bread alone, but by every word of God.Man does not live on bread alone.Man shall not live on bread alone.Man must not live by bread alone.
Get thee behind me, Satan.​
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Jn 6:47He that believeth on me hath everlasting life.He who believes has everlasting life.He who believes has eternal life.He that believes has everlasting life.
And when they heard it, being convicted by their own conscience, went out.​
.those who heard began to go away.​
.when they heard it, they began to go out one by one.​
OMITTED​
Jn 9:4I must work the works of him that sent me.We must do the work of him who sent me.We must work the works of Him who sent Me.We must work the works of him that sent me.
Jn 10:30I and my Father are oneI and the Father are one.I and the Father are one.I and the Father are one.
Ac 2:30that of the fruit of his loins, according to the flesh, he would raise up Christ to sit on his throne;.he would place one of his descendants on his throne..to seat one of his descendants upon his throne..he would seat one from the fruitage of his loins upon his throne.
If thou believest with all thine heart, thou mayest. And he answered and said, I believe that Jesus Christ is the Son of God.
OMITTED​
footnote casts doubt (some editions just omit it)​
OMITTED​
Let us not fight against God.​
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Thou shalt not bear false witness.
OMITTED​
OMITTED​
OMITTED​
Co 1:14In whom we have redemption through his blood, even the forgiveness of sins.In whom we have redemption, the forgiveness of sins.In whom we have redemption, the forgiveness of sins.By means of whom we have our release by ransom, the forgiveness of our sins.
1Ti 3:16God was manifest in the flesh.He appeared in a body.He who was revealed in the flesh.He was made manifest in the flesh.
1Ti 6:5Perverse disputings of men of corrupt minds, and destitute of the truth, supposing that gain is godliness: from such withdraw thyself."from such withdraw thyself" is omitted"from such withdraw thyself" is omitted"from such withdraw thyself" is omitted
1Pe 1:22Ye have purified your souls in obeying the truth through the Spirit.you have purified yourselves by obeying the truth.Since you have in obedience to the truth purified your souls.Now that you have purified your souls by your obedience to the truth.
1Jo 4:3And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God.But every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God.And every spirit that does not confess Jesus is not from God.But every inspired expression that does not confess Jesus does not originate with God.
Re 5:14Four and twenty elders fell down and worshipped him that liveth for ever and ever..the elders fell down and worshipped..the elders fell down and worshipped..the elders fell down and worshipped.
Re 20:9Fire came down from God out of heaven.Fire came down from heaven.Fire came down from heaven.Fire came down out of heaven.
Re 21:24And the nations of them which are saved shall walk in the light of it.The nations will walk by its light.And the nations shall walk by its light.And the nations will walk by means of its light.

unataka izungumzie mambo gani, yako?
Inazungumzia Mungu na Yesu ndiye Mungu

Biblia inasema

Mungu Ni Roho, nao wamwabuduo, imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.
Yohana 4:24.

Yohana 1:18 inasema:

Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.

Bwana Yesu anasema : Yohana 5:37

Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona.

Hao aliokuwa akiwaambia maneno hayo walikuwa vipofu na viziwi ??
 
unataka izungumzie mambo gani, yako?
Inazungumzia Mungu na Yesu ndiye Mungu

Nakuongezea na hizi aya

1 Timothy 6:16

who alone possesses immortality and dwells in unapproachable light, whom no man has seen or can see. To Him be honor and eternal dominion! Amen.

John 6:46

Not that anyone has seen the Father, except the One who is from God; He has seen the Father.

1 John 3:6

No one who abides in Him sins; no one who sins has seen Him or knows Him.

1 John 4:20

If someone says, “I love God,” and hates his brother, he is a liar; for the one who does not love his brother whom he has seen, cannot love God whom he has not seen.
 
Biblia inasema

Mungu Ni Roho, nao wamwabuduo, imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.
Yohana 4:24.

Yohana 1:18 inasema:

Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.

Bwana Yesu anasema : Yohana 5:37

Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona.

Hao aliokuwa akiwaambia maneno hayo walikuwa vipofu na viziwi ??
Mungu mwana ndiye Yesu au wewe unajua Mungu mwana ni yupi

John 10:30​

30 I and the Father are one.”

Yohana 10:30-32​

30 Mimi na Baba tu umoja.”

Yohana 14:8-12​

Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba? Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.

Yohana 8:56-59

56 Baba yenu Ibrahimu alishangilia alipojua kuwa atashuhudia siku ya kuja kwangu. Aliiona siku hiyo na akafurahi sana.” 57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, itawezekanaje uwe umemwona Ibrahimu?” 58 Yesu akawa jibu, “Nawaambia wazi, kabla Ibrahimu hajazaliwa, ‘Mimi nipo.’ ” 59 Ndipo wakainua mawe wamwue; lakini Yesu akajificha wasim wone; akatoka Hekaluni.​

Yohana 10:30

Aya hiyo haimaanishi kwamba Yesu ni Mungu bali inaonesha kwamba Mungu na Yesu ni tofauti wala siyo kitu kimoja.

Vile vile Biblia haisemi kwamba mtu ambaye anatajwa kuwa ndani ya Mungu au Mungu yumo ndani yake ni mungu.

Kinyume chake Biblia inatutajia watu kadhaa wale ambao wako pamoja na Mungu na Mungu yupo ndani yao na hawa wapo ndani ya Mungu.

Tena hakuna mkristo yeyote ambaye anawaita watu hawa miungu.

Wakati watu wengine kwa sifa zile zile hawaitwi miungu, kwa msingi na kwa uzuri gani, Yesu aitwe Mungu?

Biblia inasema kwamba:

1. “Wote wawe na umoja, kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; Hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma. Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja. Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujuwe ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi. (Yohana 17:21-23).

2. Mungu mmoja, naye ni baba wa wote aliye juu ya yote na katika yote na ndani ya yote. (Waefeso 4:6)

3. Siku ile ninyi mtatambua ya kuwa mimi ni ndani ya baba yangu, nanyi ndani yangu, mimi ndani yenu. (Yohana 14:20).

4. Nabii Suleimani anasema kwamba:

Mimi nilikuwepo pamoja na Mungu hata kabla ya kuumbwa ardhi na mbingu, (Mithali 8:22-30).

5. ....Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawambie, ninapaa kwenda kwa baba yangu naye ni baba yenu , kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu. (Yohana 20:17).
 
Mungu mwana ndiye Yesu au wewe unajua Mungu mwana ni yupi

John 10:30​

30 I and the Father are one.”

Yohana 10:30-32​

30 Mimi na Baba tu umoja.”

Yohana 14:8-12​

Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba? Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.

Yohana 8:56-59

56 Baba yenu Ibrahimu alishangilia alipojua kuwa atashuhudia siku ya kuja kwangu. Aliiona siku hiyo na akafurahi sana.” 57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, itawezekanaje uwe umemwona Ibrahimu?” 58 Yesu akawa jibu, “Nawaambia wazi, kabla Ibrahimu hajazaliwa, ‘Mimi nipo.’ ” 59 Ndipo wakainua mawe wamwue; lakini Yesu akajificha wasim wone; akatoka Hekaluni.​

Katika Marko 3:35, Yesu alisema: “Yeyote anayefanya mapenzi ya Mungu ndiye ndugu yangu na dada yangu na mama yangu.”

Je, Mungu anaweza kuwa na kaka, dada na mama?

Filipo akamwambia, Bwana, tuonyeshe Baba, nasi yatutosha. Baba; nawe wasemaje basi, Utuonyeshe Baba?

Yohana 14:8-9

Filipo alitaka kumwona Mungu kwa macho yake mwenyewe, lakini hii haiwezekani kwa kuwa hakuna mtu anayeweza kufanya hivyo. Biblia inasema:

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote,"

Yohana 1:18

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote,"

1 Yohana 4:12

"Na Baba mwenyewe aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamjaisikia wakati wo wote, wala sura yake hamjaiona."

Yohana 5:37

Lakini walikuwa wakisikiliza sauti ya Yesu na kumtazama akiwa amesimama mbele yao! Yesu alikuwa anatuambia tu kwamba matendo yake mwenyewe na miujiza inapaswa kuwa uthibitisho wa kutosha wa kuwepo kwa Mungu bila Mungu kushuka kimwili na kujiruhusu kuonekana kila wakati mtu ana shaka. Hii ni sawa na kwa mfano:

unanipokea mimi (Yesu), naye anipokeaye mimi, anampokea yeye aliyenituma. Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; naye ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki."

Ikiwa tunataka kusisitiza kwamba wakati Filipo alipomwona Yesu , alikuwa amemwona Mungu "Baba" kimwili kwa sababu Yesu "ndiye" Baba na wote wawili ni "Utatu," na Yesu ni "mwili" wa Mungu, basi. hii itatulazimisha kuhitimisha kuwa Yohana 1:18, 1 Yoh 4:12, Yoh 5:37..nk. yote ni uongo.
 
Back
Top Bottom