Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
😂😂🤣 Koran inataja taja majina tu Haina detailed information,
Mpaka uwategee binadamu ndio wajazie nyama
Hii link
Forged (book) - Wikipedia
ndivyo inavyosema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂🤣 Koran inataja taja majina tu Haina detailed information,
Mpaka uwategee binadamu ndio wajazie nyama
nikitu kimoja kivipi? au unamaanisha kua wote nimiungu?Nilisha kifundisha Muhammad na Allah ni kitu kimoja
Soma vizuri nilikuandikia kitu gani.Siliza wewe ndiyo umeleta haya mambo ya Roho wakati kwenye Quran hakuna hicho kitu, na Allah ansema, waislamu hawana elimu ya Roho ila kiduchu tu. Al-Israa 85.
Biblia inasema hivi
Mungu Ni Roho, nao wamwabuduo, imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.
Yohana 4:24.
Wewe unasema Roho ndiyo iliyo kufa wakati Roho haifi. Kuliko upuyange tu bora uulize usaidiwe.
haomaswahaba hivyo Visa walivijua vipi? au walikua nauwezo kumshinda Allah namuhammad?
jibu swali acha kurukarukaSwàli lako ndio lilelile kuwa Sisi tulijuaje habari za kina Yesu na Muhammad?
jibu swali acha kurukaruka
kwahio Yale maneno tunayo soma kwenye quran niya kikiristo?Muhammad na Allah wake walizisikia hizo habari Kwa Wakristo.
koran ni subset ya Bibliakwahio Yale maneno tunayo soma kwenye quran niya kikiristo?
kwahio wakristo wanaweza kuisoma Quran wakailewa?koran ni subset ya Biblia
Mwandishi wa koran ni wa juzi tu , alisoma biblia kisha akaweka summary yake kwa kugusa baadhi ya aya za biblia na kuunda koran
mkuu uisome koran ili iweje wakati vilivyomo ndo vipo kwenye bibliakwahio wakristo wanaweza kuisoma Quran wakailewa?
koran ni subset ya Biblia
Mwandishi wa koran ni wa juzi tu , alisoma biblia kisha akaweka summary yake kwa kugusa baadhi ya aya za biblia na kuunda kora
| AV (King James) | New International | New American Standard | New World Translation | |
|---|---|---|---|---|
| Mt 9:13 | for I am not come to call the righteous, but sinners to repentance. | For I have not come to call the righteous, but sinners. | For I did not come to call the righteous, but sinners. | For I came to call, not righteous people, but sinners. |
For the Son of man is come to save that which was lost. | OMITTED | footnote casts doubt | OMITTED | |
| Mt 19:17 | Why callest thou me good? | "Why do you ask me about what is good?" | "Why are you asking me about what is good?" | "Wny do you ask me about what is good?" |
| Mt 25:13 | Ye know neither the day nor the hour wherein the Son of man cometh. | You do not know the day or the hour. | You do not know the day nor the hour. | You know neither the day nor the hour, |
| Mk 10:24 | .how hard it is for them that trust in riches to enter into the kingdom of God! | .how hard it is to enter the kingdom of God! | .how hard it is to enter the kingdom of God! | .how difficult a thing it is to enter into the kingdom of God! |
| Lk 2:33 | And Joseph and his mother,,, | The child's father and mother. | His father and mother. | its father and mother. |
| Lk 4:4 | Man shall not live by bread alone, but by every word of God. | Man does not live on bread alone. | Man shall not live on bread alone. | Man must not live by bread alone. |
Get thee behind me, Satan. | OMITTED | OMITTED | OMITTED | |
| Jn 6:47 | He that believeth on me hath everlasting life. | He who believes has everlasting life. | He who believes has eternal life. | He that believes has everlasting life. |
And when they heard it, being convicted by their own conscience, went out. | .those who heard began to go away. | .when they heard it, they began to go out one by one. | OMITTED | |
| Jn 9:4 | I must work the works of him that sent me. | We must do the work of him who sent me. | We must work the works of Him who sent Me. | We must work the works of him that sent me. |
| Jn 10:30 | I and my Father are one | I and the Father are one. | I and the Father are one. | I and the Father are one. |
| Ac 2:30 | that of the fruit of his loins, according to the flesh, he would raise up Christ to sit on his throne; | .he would place one of his descendants on his throne. | .to seat one of his descendants upon his throne. | .he would seat one from the fruitage of his loins upon his throne. |
If thou believest with all thine heart, thou mayest. And he answered and said, I believe that Jesus Christ is the Son of God. | OMITTED | footnote casts doubt (some editions just omit it) | OMITTED | |
Let us not fight against God. | OMITTED | OMITTED | OMITTED | |
Thou shalt not bear false witness. | OMITTED | OMITTED | OMITTED | |
| Co 1:14 | In whom we have redemption through his blood, even the forgiveness of sins. | In whom we have redemption, the forgiveness of sins. | In whom we have redemption, the forgiveness of sins. | By means of whom we have our release by ransom, the forgiveness of our sins. |
| 1Ti 3:16 | God was manifest in the flesh. | He appeared in a body. | He who was revealed in the flesh. | He was made manifest in the flesh. |
| 1Ti 6:5 | Perverse disputings of men of corrupt minds, and destitute of the truth, supposing that gain is godliness: from such withdraw thyself. | "from such withdraw thyself" is omitted | "from such withdraw thyself" is omitted | "from such withdraw thyself" is omitted |
| 1Pe 1:22 | Ye have purified your souls in obeying the truth through the Spirit. | you have purified yourselves by obeying the truth. | Since you have in obedience to the truth purified your souls. | Now that you have purified your souls by your obedience to the truth. |
| 1Jo 4:3 | And every spirit that confesseth not that Jesus Christ is come in the flesh is not of God. | But every spirit that does not acknowledge Jesus is not from God. | And every spirit that does not confess Jesus is not from God. | But every inspired expression that does not confess Jesus does not originate with God. |
| Re 5:14 | Four and twenty elders fell down and worshipped him that liveth for ever and ever. | .the elders fell down and worshipped. | .the elders fell down and worshipped. | .the elders fell down and worshipped. |
| Re 20:9 | Fire came down from God out of heaven. | Fire came down from heaven. | Fire came down from heaven. | Fire came down out of heaven. |
| Re 21:24 | And the nations of them which are saved shall walk in the light of it. | The nations will walk by its light. | And the nations shall walk by its light. | And the nations will walk by means of its light. |
Muhammad na Allah wake walizisikia hizo habari Kwa Wakristo.
bibilia hihii ambayo mwanzo mwisho inazungumzia mambo yayesu?mkuu uisome koran ili iweje wakati vilivyomo ndo vipo kwenye biblia
mwanzoni nilidhani ni kitu tofauti nikaisoma, ila nikaona mbona main issues ni zipo kwenye biblia
unataka izungumzie mambo gani, yako?bibilia hihii ambayo mwanzo mwisho inazungumzia mambo yayesu?
yes alikua nibinadamu kamawewe. sasa unawezaje kumuita binadamu mwenzako mungu?unataka izungumzie mambo gani, yako?
Inazungumzia Mungu na Yesu ndiye Mungu
unataka izungumzie mambo gani, yako?
Inazungumzia Mungu na Yesu ndiye Mungu
unataka izungumzie mambo gani, yako?
Inazungumzia Mungu na Yesu ndiye Mungu
Mungu mwana ndiye Yesu au wewe unajua Mungu mwana ni yupiBiblia inasema
Mungu Ni Roho, nao wamwabuduo, imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.
Yohana 4:24.
Yohana 1:18 inasema:
Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wo wote; Mungu Mwana pekee aliye katika kifua cha Baba, huyu ndiye aliyemfunua.
Bwana Yesu anasema : Yohana 5:37
Naye Baba aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamkuiona.
Hao aliokuwa akiwaambia maneno hayo walikuwa vipofu na viziwi ??
Mungu mwana ndiye Yesu au wewe unajua Mungu mwana ni yupi
John 10:30
30 I and the Father are one.”
Yohana 10:30-32
30 Mimi na Baba tu umoja.”
Yohana 14:8-12
Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba? Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Yohana 8:56-59
56 Baba yenu Ibrahimu alishangilia alipojua kuwa atashuhudia siku ya kuja kwangu. Aliiona siku hiyo na akafurahi sana.” 57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, itawezekanaje uwe umemwona Ibrahimu?” 58 Yesu akawa jibu, “Nawaambia wazi, kabla Ibrahimu hajazaliwa, ‘Mimi nipo.’ ” 59 Ndipo wakainua mawe wamwue; lakini Yesu akajificha wasim wone; akatoka Hekaluni.
Katika Marko 3:35, Yesu alisema: “Yeyote anayefanya mapenzi ya Mungu ndiye ndugu yangu na dada yangu na mama yangu.”Mungu mwana ndiye Yesu au wewe unajua Mungu mwana ni yupi
John 10:30
30 I and the Father are one.”
Yohana 10:30-32
30 Mimi na Baba tu umoja.”
Yohana 14:8-12
Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha. Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba? Husadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu? Hayo maneno niwaambiayo mimi siyasemi kwa shauri langu; lakini Baba akaaye ndani yangu huzifanya kazi zake. Mnisadiki ya kwamba mimi ni ndani ya Baba, na Baba yu ndani yangu; la! Hamsadiki hivyo, sadikini kwa sababu ya kazi zenyewe. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba.
Yohana 8:56-59
56 Baba yenu Ibrahimu alishangilia alipojua kuwa atashuhudia siku ya kuja kwangu. Aliiona siku hiyo na akafurahi sana.” 57 Wayahudi wakamwambia, “Wewe hujatimiza hata miaka hamsini, itawezekanaje uwe umemwona Ibrahimu?” 58 Yesu akawa jibu, “Nawaambia wazi, kabla Ibrahimu hajazaliwa, ‘Mimi nipo.’ ” 59 Ndipo wakainua mawe wamwue; lakini Yesu akajificha wasim wone; akatoka Hekaluni.