six days war unaikumbuka? Israel pekee iliwasambaratisha waarabu wote mashariki ya kati mjuba. Israel pekee inaweza kuifanya iran kitu mbaya. Hao hamas kuwapiga inabidi uwapige kinamna ili usiue raia wengi. Sio kama israel haiwezi kupambana na kakikundi hakoBila msaada wa US, Israeli hana ubavu hata wa kupambana na Hamas.
Kwa taarifa yako marekani ni ka branch Cha izrael. Wataslamu karibia wote wa technolojia za vifaa vya kijeshi marekani ni wa WAIZRAEL. Ukiwaondoa waizrael marekani Hana jeshiUongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Zakuambiwa changanya na zako, mbona mwaka wa pili huu anahangaika na wana mgambo wa Hamas, mbona wiki ya pili hii anatandikwa na Muajemi mpaka anasidiwa na US, huo ujinga wa six days ambizaneni huko huko.six days war unaikumbuka? Israel pekee iliwasambatisha waarabu wote mashariki ya kati mjuba. Israel pekee inaweza kuifanya iran kitu mbaya. Hao hamas kuwapiga inabidi uwapige kinamna ili usiue raia wengi. Sio kama israel haiwezi kupambana na kakikundi hako
Kuwa na nguvu ni pamoja washirika wako na network yako.Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Mhh! Ushirika wa kijeshi haumaanishi nguvu ndogo. Sema humu watu wengi ni wajinga sana .Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Popote penye magaidi sisi wamarekani tunaingia kushusha kipigo, oparesheni teketeza magaidi Haina mwisho mpaka yote yateketeeMarekani ni wajinga,ameshindwa na Urusi,mkubwa mwenzake,enda mpiga mdogo,ni sawa na mtu mzima kupigana na mtoto,ni aibu.
Nikweli kabisa kaka lakini umeongea habari ambayo aijabalance ujazingatia upande wa Iran yeye anapewa saport na nani manaa aliopo nyuma ya Iran ni china Rusia na korea na yale makombola yasio onekana kwenye rada za Israel ni ya Rusia ambayo Iran kapewa msaadaUongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Muirani Toka bonyokwa unajiropokea TU[emoji1787][emoji1787]Kwa taarifa yako marekani ni ka branch Cha izrael. Wataslamu karibia wote wa technolojia za vifaa vya kijeshi marekani ni wa WAIZRAEL. Ukiwaondoa waizrael marekani Hana jeshi
Kumbe Iran ni mdogo? Sasa mbona watu wanaikuza sana aiseeMarekani ni wajinga,ameshindwa na Urusi,mkubwa mwenzake,enda mpiga mdogo,ni sawa na mtu mzima kupigana na mtoto,ni aibu.
Acha kuropoka wewe.six days war unaikumbuka? Israel pekee iliwasambaratisha waarabu wote mashariki ya kati mjuba. Israel pekee inaweza kuifanya iran kitu mbaya. Hao hamas kuwapiga inabidi uwapige kinamna ili usiue raia wengi. Sio kama israel haiwezi kupambana na kakikundi hako
Leo pia Israel karandikwa vibaya sana na IranZakuambiwa changanya na zako, mbona mwa wa pili huu anahangaika na wana mgambo wa Hamas, mbona wiki ya pili hii anatandikwa na Muajemi mpaka anasidiwa na US, huo ujinga wa six days ambizaneni huko huko.