Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

Nenda kasikilize Majadiriano ya Tundu Lissu akiwa Nairobi ndio utaelewa uhusiano uliopo kati ya Marekani na Israeli.
 
Zakuambiwa changanya na zako, mbona mwa wa pili huu anahangaika na wana mgambo wa Hamas, mbona wiki ya pili hii anatandikwa na Muajemi mpaka anasidiwa na US, huo ujinga wa six days ambizaneni huko huko.
piga ua garagaza muamerika lazima amsaidie muisrael, wale waliijiapiza kuwa hawatailaani israel watalaaniwa na kulaanika
 
Bila msaada wa US, Israeli hana ubavu hata wa kupambana na Hamas.
Kinachomfanya US awe upande wa Israeli ni nini? Kuna kitu myahudi kawazidi wengine ndo maana wanataka kuwa upande wa Israeli.
 
Wewe ni mgonjwa wa akili wahi mirembe
 
🀣
Marekani ndio nguvu ya Israel
 
Ni kweli kabisa Israel haina nguvu maana June 13,2025 ilivamia Iran ikaharibu mifumo yote ya ulinzi na kuanza kushambulia maeneo ya vinu vya kinuclear. Hatukuweza kuona upinzani wowote kutoka Jeshi la anga la Iran dhidi ya ndege za Israel.

Makamanda zaidi ya 30+ na wanasayansi 60+ waliangamizwa utafikiri hawana ulinzi wowote. Wanamaji wa Iran huko Iran walishambuliwa na ndege za Israel na wala hawakuonyesha upinzani wowote mpaka leo hii kuna Meli vita zinateketea kwenye hiyo bandari.

Haya yote yanamaanisha israel ni kidume huko mashariki ya kati hadi huko Uajemi.
Kama kusaidiwa mbona hasemi Iran alisaidiwa kwenye vita vyake na Iraq na Israel hii ilimsaidie asishindwe vita na Iraq. Na kama kusaidiwa vitani mbona hata Supapawa Russia pamoja na usupapawa wake mbona kuna nchi kibao zinamsaidia ikiwe Iran inampa Drones za Shaheed??? Hayo yote hamyaoni?

Au kwenu kusaidiwa Israel inakuwa Nongwa? Mbona hamlalamiki Putin akisaidiwa?
 
Huu ndio ukweli,Taifa teule,linamtegemea Marekani limsaidie,wakati Iran iko peke yake.
Je unaweza kunitajia nchi yoyote duniani inayoweza kupigana vita bila msaada wa nchi nyingine?? Kama supapawa Marekani na Urusi wanaweza kusaidiwa Israel iweje mpige kelele?
 
Kwani Iran hana wapambe wanao msuport ? ,hakuna vita ya kupigana peke yako sasa hivi . We huoni hata majirani wa Irani wako upande upi
taja mpambe wa iran na huyo mpambe kafanya nini kuidhulu israeli...pale moto unapelekwa na iran tu
 
Vita Vimeisha Mkuu, amkaaa kumekucha.
 
Kupata support ya Taifa kubwa kama US tayari inatokana nawe una nguvu. US sio fala, anajua Wayahudi wana akili
 
Israel ni chui kwenye karatasi na Trump ka proved kuwa ni stupid
Pole Sana kijana maumivu yako tunayaelewa umechagua upande siyo. Alafu Shia sio muslims


Iran wanamtegemea Allah so Israel ameprove kumuamini Allah ni ustupidity.
 
Unampangia adui yako silaha ya kukupiga, na nyie tafuteni sponsor
 
Uzuri humu jf wote tunabwabwaja tu hakuna aliyeko kwenye siri za hao watu alete habari kamili. So tuendelee kubwabwaja tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…