Hamas wamemshinda. Haiwezi Iran. Eti kuwapata mateka ni mpaka yafanyike majadilianoMuiran wa Tandaimba umepaniki, tulieni mpelekewe moto
Huyo Iran kilichomtuma apige ubalozi wa marekani ni kipi, chokochoko kaanza mwenuewe acha anyooshwe
Yeye mifumo yake ipoje, maana kila akishambuliwa anapigika kirahisiisrael imepiga target nyingi sana iran yeye ndie alieua mifumo yote ya ulinzi ya iran
Andika vizuri wewe usiyeamini uwezo halisi wa Israel ambaye hata mateka wake anawapata kwa majadilianoIsrael na marekani walikua na mpango wao wa kufanya walichofanya mapema sana Israel alisafisha njia marekani amemalizia mpango lakini sio kwamba marekani imeenda kuwasaidia Israel, Tulia uandike vizuri
hakuna mfumo wowote wa anga unaozuia makombora kwa asilimia 100, makombora yanayorushwa kwenda israel ni asilimia tano hadi kumi tuu ndo yanatua, asilimia tisini yote yanazuiwa angani, urusi yenyewe ina mifumo imara kama S500 lakini drone za ukraine zinapenya hadi moscowYeye mifumo yake ipoje, maana kila akishambuliwa anapigika kirahisi
Iran inatosha. Hakuhitajiki muungano wowote kuwapiga mashogaNa nyie waambieni CHINA warushe kombora Israeli kama inaweza
iran mfumo wake wa ulinzi ndo uko ziro ndo mana israel amepafanya kama sebuleni kwake yani anaingia na kutoka muda anaotaka yeyeYeye mifumo yake ipoje, maana kila akishambuliwa anapigika kirahisi
iran kapigwa kila sehem ana hali mbayaIran inatosha. Hakuhitajiki muungano wowote kuwapiga mashoga
mtu ambae yuko sebuleni kwako anakupiga anayotaka yeye unasemahe hamuwezi ebu tumia akili kufikiriHamas wamemshinda. Haiwezi Iran. Eti kuwapata mateka ni mpaka yafanyike majadiliano
waarabu wenyewe mashoga piaIran inatosha. Hakuhitajiki muungano wowote kuwapiga mashoga
Nguvu ya Israel ni Mungu. Kwasasa Mungu ameinua Marekani kuisaidia Israel lakini siku zinakuja ambapo Marekani haitaweza kuisaidia Israel na hapo ndipo Mungu mwenyewe ataingilia kati na dunia yote itashangazwa na kukiri kuwa kweli Israel ni Taifa la Mungu.Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Mashoga ni kina nani?Iran inatosha. Hakuhitajiki muungano wowote kuwapiga mashoga
Jaribu kutumia akili weweAndika vizuri wewe usiyeamini uwezo halisi wa Israel ambaye hata mateka wake anawapata kwa majadiliano
Nadhani kuna utofauti kati ya kusaidia na wewe kuingia vitani.Je unaweza kunitajia nchi yoyote duniani inayoweza kupigana vita bila msaada wa nchi nyingine?? Kama supapawa Marekani na Urusi wanaweza kusaidiwa Israel iweje mpige kelele?
Acha ujinga nitajie nchi yoyote inayoweza kupigana vita peke yake bila kusaidiwa na nchi yoyote!!!!Nadhani kuna utofauti kati ya kusaidia na wewe kuingia vitani.
Jiandae kutukanwa na kupigwa mawe na Wafuga Midevu na Majini maana hawpendi kabisa kusikia habari kama hizi!!! Na wako tayari hata kukutumia Majini yao!!!Nguvu ya Israel ni Mungu. Kwasasa Mungu ameinua Marekani kuisaidia Israel lakini siku zinakuja ambapo Marekani haitaweza kuisaidia Israel na hapo ndipo Mungu mwenyewe ataingilia kati na dunia yote itashangazwa na kukiri kuwa kweli Israel ni Taifa la Mungu.
Sijawakagua makalio yao.Nadhani ulikagua mmojammoja!Lkn mmezidi kuwasifia mashoga wa IDF
Je? Ulisoma vizuri kilicho tokea kwenye Ubarozi wa Merikani huko Israel - mbona Merikani ilipuuzia kwamba Ubarozi huo haulengwa makusudi no Iran ndio maana hapakutokea uharibifu au damages za maana.Muiran wa Tandaimba umepaniki, tulieni mpelekewe moto
Huyo Iran kilichomtuma apige ubalozi wa marekani ni kipi, chokochoko kaanza mwenuewe acha anyooshwe
Kitu cha kwanza S500 haikuwa designed kwa kudhibiti kitu kidogo kama drones,uliundwa kwa ajili ya air defense system dhidi ya ndege za vita no bombers za NATO pamoja no kudhibiti missiles type zote za NATO.hakuna mfumo wowote wa anga unaozuia makombora kwa asilimia 100, makombora yanayorushwa kwenda israel ni asilimia tano hadi kumi tuu ndo yanatua, asilimia tisini yote yanazuiwa angani, urusi yenyewe ina mifumo imara kama S500 lakini drone za ukraine zinapenya hadi moscow