Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Uzi ushageuka uwanja wa vita. Ngoja nichukue sharubati ya machungwa nikiishihudia movie
 
Mimi sijaona hiyo clip ila naweza tu kukuelimisha kuwa, Kwenda kwenye mahubiri ya dini yoyote sio kuwa mtu amebadilisha dini; Watu wamehimizwa watafute Elimu!
Lakini kutafuta elimu tulikoambiwa siyo huku!

Toka ibada inaanza mpaka inaisha,mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka hakuna sehemu waumini wameambiwa "waache uzinzi,waache wizi,waache wivu na kusengenyana,hawahimizwi kwenda kuwasaidia wahitaji mbalimbali wagonjwa yatima etc” wanachoambiwa wao toa sadaka kwenye ibada nasikia zipo sadaka zaidi ya sita na kudanganywa kupata magari huku kazi za maana hawana,kumiliki nyumba kazi hawana.

Kubali kataa huu ni ukosefu wa akili kwa so called wafuasi wa manabii sijui wachungaji!unamhubiria mtu anasa za dunia pesa nyumba gari mke kazI nzuri akivipata akatumia vibaya then baada ya hapo nini hatma yake siku akifa?

Ni kama waganga tu hakuna imani yoyote ya maana huko.
 
Mimi sijaona hiyo clip ila naweza tu kukuelimisha kuwa, Kwenda kwenye mahubiri ya dini yoyote sio kuwa mtu amebadilisha dini; Watu wamehimizwa watafute Elimu!
Hawa wanapewa vifaa vya kiroho na kupigwa ishara ya msalaba vifuani kwao.

Ni yofauti na Wala wanaoenda kusikiliza tu kama wafanyavyo wa mataifa kwenye mikutano ya kisiasa
 
Kama kuna muislamu anaweza kulowea kwa waganga ili mambo yaende seuze kwenda kukanyaga mafuta kwa mwamposa ili aepuke shida!!

Isitoshe mwamposa nasikia hakubadili dini wala dhehebu, pale ni huduma tu ndio maana anajipatia watu wengi
Wapo sikatai hata mimi baadhi ninawajua ndio maana nikaweka condition kuwa atakuwa Jahil(mjinga) wa levo ya mwisho kuhusu dini yake
 
Mtume Mohamedi hadi analiwa na nguruwe hakuwa amefanya muujiza wowote ...hata tu kubeti tu na kupatia, hakuna!!!
Ipo siku utamjua mtume Muhamad saw. Na utatoa shahada na Inshaalah utakuja kuwa muislam mzuri.
 
Hauna akili ,utajisalimashe kwa binadamu mwenzako na kujaalia mtu wa Kati baina ya wewe na Mwenyezi Mungu ? mtu ankufa na kufanya makosa Mwenyezi Mungu hafi wala hakosei !
Sasa unataka kumpangia maisha mbona kuna wakristo Wana slim kuwa waislamu unashangaa nin waislamu kubadilisha kuwa wakristo haya mambo ya Kuama upande yapo na yataendelea kuwepo
 
We huwajui Waislamu, kwenye Uislamu hakuna huo uhuru unaousema

kama ni kweli anavyoeleza mtoa mada, hili litaleta bifu kubwa sana siku sio nyingi
Siku chache zilizopita palizuka mabishani kati ya Dr. Mwaka na Shekhe ubwabwa juu ya haki ya kiongozi wa dini kumuwekea mikono nakumuombea muumini wa dini nyingine. Shekhe ubwabwa alikuwa anapinga wakati dr. Mwaka alikuwa anaunga mkono
 
Mkuu tukupe miaka 5 tu au tukuongezee kabisa iwe 10 alafu urudi hapa utuambie waislam wamebaki wangap Dar.. Mnapenda kushabikia upuuzi nyinyi
 
Watabarikiwa na watoto ama mke wa Mwamposa (kama anaye).

Kule Nigeria, kanisa la TB Joshua linaendeahwa na mkewe pwmoja na watoto wake
Kwa hiyo hao ndo miungu ya wanaosali kwa huyo mtu?huwa nacheka mtu mzima na ndevu zake anapokuja kunihadithia habari kama hizi.

Ni akili mgando tu kutaka kutatua changamoto seriously za kidunia kupitia short cut kwamba mtu kazi kufanya kwa bidii hataki anataka kuombewa kipato kiongezeke,yeye amewa-limit anajua mkienda kuhangaika huko mpaka saa tisa kila aliyezoea kupata 5,000/= atakuwa ameshapata anawaita anawakusanya kwa ibada kwamba anawaombea unampelekea 3,000/= yake unabaki na nauli 2,000/= ya kwenda kumtafutia tena kesho unaona umebarikiwa.
 
Siku chache zilizopita palizuka mabishani kati ya Dr. Mwaka na Shekhe ubwabwa juu ya haki ya kiongozi wa dini kumuwekea mikono nakumuombea muumini wa dini nyingine. Shekhe ubwabwa alikuwa anapinga wakati dr. Mwaka alikuwa anaunga mkono
Mwaka akiambiwa atoke katikati ya watu atatoka?

Kuna mtu aliyewadhulumu kinamama wagumba kwa mgongo wa kuokoa ndoa zao kwa kuwauzia dawa fake kama huyo Mwaka?leo awatetee wanaoibiwa wakati yeye mwenyewe mwizi umesikia wapi?
 
Back
Top Bottom