Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Andika kiswahiliSwala 5 sio uislam helewa hapo!! Unaweza kuwa swala 5 lakin uwezi kuwa Muislam tofautisha vitu
helewa .....
Uwezi......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika kiswahiliSwala 5 sio uislam helewa hapo!! Unaweza kuwa swala 5 lakin uwezi kuwa Muislam tofautisha vitu
Kuna wa kuwatisha Ila siyo waislam,mbilinge zao huziwezi,hata ffu wanajua tz hakuna show nzuri kuzidi ya waislamKwamba hao watu amewalazimisha kwenda kwenye ibada au? Masuala ya imani ni binafsi.
Msije kujifanya ni "untouchables" mtapata mnachokitaka, leteni tena fujo za kidini nchini kama awamu fulani fulani muone kama mtavumiliwa!
#Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 #
Kwani kuna ubaya wowote ule??!Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Atawatapeli Hadi mtie akili mazuzu wakeKaongee nae nawewe uwe tapeli kama Yeye
Mwaamposa Ni msanii Kama Wasanii Wengine tuKwani kuna ubaya wowote ule??!
Mtu kaenda na Tatizo lake katatuliwa limeisha na anaona kuna Msaada kaupata mzuri.
Sisi wote ni bimadamu wenye Shida afu na Dini zenyee tumeletewa.
Mbona mimi ukoo wangu mzima ni waislamu sijaona hata mmoja aliyeenda kwa mwamposa,wala sijaona muislamu yeyote wa kutoka kata yangu aliyeenda kwa mwamposa.Mbona mimi nilikuwa swala tano lkn nimejisalimisha kwa Mwamposa.
Umewaza mbali sana mkuu,kwa sababu wanajua vita ya waislamu huwa haina mwisho na haizuiliki.huyo mwamposa anaviziwa tu! hii ni mbinu ya wapinzani wake either serikali au wenzake walokole! wanamsogeza kwenye hasira za waislam! atapata majibu
Yaani jamaa akili zake na imani zake zote amezikabidhi kwa binadamu mwenzake halafu anajiona mjanja mwenyewe.Ungesema umejisalimisha kwa Mungu au kwa Yesu ningekuona wa maana.
Lakini umeenda jisalimisha kwa mwAposa, umedhihirisha ujinga wako, upumbavu wako na jinsi ulivyokuwa na matope kichwan
Kwa hiyo mkuu ikitokea mwamposa akifa akazikwa baada ya hapo mtakuwa hamna Mungu na mtaacha kuabudu au itakuwaje?Labda kama ujawai Amini kwamba binadamu analaani na inatokea basi uwezi Amini pia anakubariki na inakua ivyo.
N.b Sio binadamu wote.
Wewe peke yako ndio umebaki mbishi,nenda kawe kaone nyomi la wenzio wengine wamevuka maji toka mji mkongwe.Yaani baadhi ya makanisa yameishiwa mbinu siku hizi za kuwadanganya waumini kwa kuwafufua wafu, kuwaombea viwete wa mchongo nakadhalika kwakuwa mbinu hizi zimeshabainika.
Sasa wameamua kuja na mbinu hii feki ya kuigiza eti wamama wa kiislamu wanaenda kuombewa kumbe mbinu imeshashtukiwa mapema.
Aise muislamu kwenye imani yake yu thabiti sana atatenda dhambi zote lakini sio rahisi kwenda kanisani ama kuombewa na wachungaji makanjanja kama Mwamposa.
Huu Ni utunzi mahili.Dada yale ni maigizo hakuna muislamu anayeenda kwa Mwamposa ama kwa mchungaji yeyote.
Nimeshuhudia dada mmoja hivi ni mkristi safi nilisoma naye Tabata siku hiyo kaenda kwa Mwamposa alikuwa na mkutano wa injili maeneo ya Kinyerezi.
Huyu dada alivaa hijab na nikab juu sikumtambua kabisa lakini wakati anapanda gari kurudi nyumbani aliitoa nikabu akabaki na hijab ndo nikamfahamu hivyo tukasalimiana kwakuwa tunafahamiana vizuri kabisa.
Sasa huyo ni mmoja tu ya mamluki wa kikristo wanaotumiwa wajifanye waislam ili kuwavuta waislamu. Hakuna muislamu mwenye akili timamu ataenda kwa Mwamposa nakuhakikishia.
Siku ya ubatizo wake itakuwa ni furaha kubwa kubwa kweli,tutamtukuza sana muumba WETU,maana atakuwa ndani ya kweli nayo itamuweka huru.FaizaFoxy abatizwe,
Kata unawajua waislamu wote?Mbona mimi ukoo wangu mzima ni waislamu sijaona hata mmoja aliyeenda kwa mwamposa,wala sijaona muislamu yeyote wa kutoka kata yangu aliyeenda kwa mwamposa.
Hao waislamu unaowaongelea ni wa kutoka wapi?
Shida ipo wapi?! Watu si wanakwenda kutafuta uponyaji wa kiroho. Mbona unaleta mashindano ya udini hapa?
Kwa hiyo kumbe si haramu kwa muisilamu kukiri hadharani kwamba Yesu Kristu, mwana wa Mungu aliye hai, Mungu kweli, ndiye anayeponya? Maana huwa anawauliza, nani amekuponya, nao wanajibu, Yesu!Muislamu atafanya dhambi lakini mara nyingi ni ngumu kubadili upande labda huyo awe ni Muislamu jahil wa levo ya chini kabisa.