Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kwamba hao watu amewalazimisha kwenda kwenye ibada au? Masuala ya imani ni binafsi.

Msije kujifanya ni "untouchables" mtapata mnachokitaka, leteni tena fujo za kidini nchini kama awamu fulani fulani muone kama mtavumiliwa!

#Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 #
Kuna wa kuwatisha Ila siyo waislam,mbilinge zao huziwezi,hata ffu wanajua tz hakuna show nzuri kuzidi ya waislam
 
Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Kwani kuna ubaya wowote ule??!

Mtu kaenda na Tatizo lake katatuliwa limeisha na anaona kuna Msaada kaupata mzuri.

Sisi wote ni bimadamu wenye Shida afu na Dini zenyee tumeletewa.
 
Wanajilipua

Wanachinja

Wanapigana jihad

Hawaruhusiwi kujichanganya na upande wa pili


Halafu waende wakaombewe na upande wa pili embu jiongezeni

Mtakuwa wajinga mpka lini
 
Kwani kuna ubaya wowote ule??!

Mtu kaenda na Tatizo lake katatuliwa limeisha na anaona kuna Msaada kaupata mzuri.

Sisi wote ni bimadamu wenye Shida afu na Dini zenyee tumeletewa.
Mwaamposa Ni msanii Kama Wasanii Wengine tu
 
Mbona mimi nilikuwa swala tano lkn nimejisalimisha kwa Mwamposa.
Mbona mimi ukoo wangu mzima ni waislamu sijaona hata mmoja aliyeenda kwa mwamposa,wala sijaona muislamu yeyote wa kutoka kata yangu aliyeenda kwa mwamposa.
Hao waislamu unaowaongelea ni wa kutoka wapi?
 
Ungesema umejisalimisha kwa Mungu au kwa Yesu ningekuona wa maana.

Lakini umeenda jisalimisha kwa mwAposa, umedhihirisha ujinga wako, upumbavu wako na jinsi ulivyokuwa na matope kichwan
Yaani jamaa akili zake na imani zake zote amezikabidhi kwa binadamu mwenzake halafu anajiona mjanja mwenyewe.
 
Labda kama ujawai Amini kwamba binadamu analaani na inatokea basi uwezi Amini pia anakubariki na inakua ivyo.

N.b Sio binadamu wote.
Kwa hiyo mkuu ikitokea mwamposa akifa akazikwa baada ya hapo mtakuwa hamna Mungu na mtaacha kuabudu au itakuwaje?
 
Usiku wa leo nimetafuna mtoto wa kutoka kwa mwamposa,mtoto anaviuno feni
Kumbe mwamposa si maombi tu wanafuata hata mafunzo maalumu ya mauno feni wanapewa
 
Yaani baadhi ya makanisa yameishiwa mbinu siku hizi za kuwadanganya waumini kwa kuwafufua wafu, kuwaombea viwete wa mchongo nakadhalika kwakuwa mbinu hizi zimeshabainika.

Sasa wameamua kuja na mbinu hii feki ya kuigiza eti wamama wa kiislamu wanaenda kuombewa kumbe mbinu imeshashtukiwa mapema.

Aise muislamu kwenye imani yake yu thabiti sana atatenda dhambi zote lakini sio rahisi kwenda kanisani ama kuombewa na wachungaji makanjanja kama Mwamposa.
Wewe peke yako ndio umebaki mbishi,nenda kawe kaone nyomi la wenzio wengine wamevuka maji toka mji mkongwe.
 
Dada yale ni maigizo hakuna muislamu anayeenda kwa Mwamposa ama kwa mchungaji yeyote.

Nimeshuhudia dada mmoja hivi ni mkristi safi nilisoma naye Tabata siku hiyo kaenda kwa Mwamposa alikuwa na mkutano wa injili maeneo ya Kinyerezi.

Huyu dada alivaa hijab na nikab juu sikumtambua kabisa lakini wakati anapanda gari kurudi nyumbani aliitoa nikabu akabaki na hijab ndo nikamfahamu hivyo tukasalimiana kwakuwa tunafahamiana vizuri kabisa.

Sasa huyo ni mmoja tu ya mamluki wa kikristo wanaotumiwa wajifanye waislam ili kuwavuta waislamu. Hakuna muislamu mwenye akili timamu ataenda kwa Mwamposa nakuhakikishia.
Huu Ni utunzi mahili.
 
Mbona mimi ukoo wangu mzima ni waislamu sijaona hata mmoja aliyeenda kwa mwamposa,wala sijaona muislamu yeyote wa kutoka kata yangu aliyeenda kwa mwamposa.
Hao waislamu unaowaongelea ni wa kutoka wapi?
Kata unawajua waislamu wote?
 
Muislamu atafanya dhambi lakini mara nyingi ni ngumu kubadili upande labda huyo awe ni Muislamu jahil wa levo ya chini kabisa.
Kwa hiyo kumbe si haramu kwa muisilamu kukiri hadharani kwamba Yesu Kristu, mwana wa Mungu aliye hai, Mungu kweli, ndiye anayeponya? Maana huwa anawauliza, nani amekuponya, nao wanajibu, Yesu!
 
Back
Top Bottom