Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

God allegedly powerful lakini bado ana mbingu yenye mageti, ana malaika wenye mapanga. Mungu anahitaji ulinzi ili iweje?

Pamoja na yote hayo lakini bado vita ilipiganwa na mungi naye bila kutunisha msuli angesanda i don't see the point of being more powerful kama watoto wadogo wanamsumbua
 
mkuu soma bible utajifunza vingi na utapata majibu ya maswali yako
Bible haijaeleza tunda la kati ni lipi na ndio maana kunamtafaruku wa tafsiri baadhi ya madhehebu.

Wapo wanaosema tunda la kati ni zinaa, na wapo wanaosema tunda la kati ni tunda la kawaida ila halijaelezwa specificly kwenye biblia kwamba ni tunda gani
 
Mungu mjuzi wa yote na muweza wa yote ambaye alikwisha jua hatma yetu angali bado hatujazaliwa anatoa mtihani kwa lengo la kujua kitu gani kipya ambacho kabla hakukiona?
Hiyo hatma anaijua yeye.
 
Ni mjuzi wa yote but there was a war.. Tena ilikua kama ambush actually an ambush takes you by surprise.

How did someone who sees everything miss the conspiracy meetings?

Maana hetani tunaambiwa alifanikisha kushawishi malaika robo kadhaa huko mbinguni, wakati hizi conspirancy zinafanyika yeye alishindwaje kuziona?
 
haikuwa mti kama unavyosoma hapo juu ina maana walishiriki tendo la ndoa
Ndio biblia ukisoma inaeleza hivyo au ni translation zako ambazo zimebase kimhemko?

Maana hapo juu umemuhusia kwamba akasome biblia, so kwa jibu hili unaweza toa verse ya hiyo nukuu kwenye bible au ni maneno yako mwenyewe?

Unaweza ukaeleza mungu aliposema enendeni mkazaliane na kuijaza dunia alimaanisha kuzaliana kwa njia gani?
 
Acha kumkufulu Mungu!!!.
Kwahiyo wewe ulitaka kwamba unapochafuka akuoshe wakati huo umepewa Uwezo Wa kufanya jambo/mambo
Lakini pia Mungu wetu anaDeal na Moyo wako
Mungu msafi hawezi kuumba uchafu, unachafukaje wakati kila kitu hapa kimewekwa kwa utaratibu wake?

Utamlaumuje mtu kua amechafuka wakati yeye siye aliyeumba huo uchafu?
 
Kuhasi kwa shetani halikua lengo lake, kusudi lake ni kuumba,matokea baada ya kuumba angejua jinsi ya kupambana nayo
Kwa hiyo mungu hakujua kwamba shetani atahasi?

Na hakua na alternative ya kufix baada ya shaetani kuja kuhasi?
 
Kama kuna uhuru wa kuchagua kwanini kuna sheria kumi za mungu ambazo ukienda kinyume nazo unapewa adhabu?
 
Mungu msafi hawezi kuumba uchafu, unachafukaje wakati kila kitu hapa kimewekwa kwa utaratibu wake?

Utamlaumuje mtu kua amechafuka wakati yeye siye aliyeumba huo uchafu?
kweli kabisa
 
Yeye sio dikteta mzee,angekubana au kukupangia usingekuwepo leo hii. Yan hauko chini ya sheria ndio mana una uhuru wa kufanya dhambi na ukaendelea na maisha
Kama kuwepo leo hii kuna maanisha ni upendo wake basi siku ambayo sitakuwepo kutaonesha ukatili wake

Au unamaanisha kuwepo kwangu leo hii kutadumu milele?

Hakuna uhuru wa kufanya dhambi na ukaendelea kuishi na maisha yako kwa muda unaotaka wewe

Tunaishi chini ya sheria zake na ndio maana Mungu mwenyewe amesema mshahara wa dhambi ni mauti, sasa hapo uhuru uko wapi?
 
Wakati mungu anamuumba adam alikua tayari anauwezo wa kujua yajayo kabla hayajatokea, alikuwa na upendo wote na uwezo wote au hivyo vitu alikuja kuwa navyo baadaye baada ya kufanya uumbaji?
 
Huyo boss anakua na uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote?

Kama ni anauwezo wote basi hatohitaji mshirika maana amejitosheleza kupitia uwezo wake

Kama ni mjuzi wa yote asingeweza kuniajiri siku ambayo nilienda kuomba kazi kwake

Kama anaupendo wote hata kama nikifanya kosa lolote hawezi mind
 
Hakuna anaezaliwa upya bali inafanyika recicyling,,inafutwa memory unakuja kivingine,again and again,miaka nenda rudi,,usikute kabla ya hii circle,wewe ndo ulikua chifu mkwawa ama von wisman
Ingekuwa hivyo basi population nayo ingekuwa constant
 
Kwanini kwa binadamu hakuweka hiyo subra ya kumuacha aishi milele bila kumuwekea laana ya kifo na maisha ya shida jwa dhambi aliyosababishiwa na shetani ambaye kamuacha?

Huyu mungu anawajali maadui kuliko watu wake no wonder kwa nini aliangamiza watoto wadogo wa kiume kule misri ili kumkomia farao wakati aliweza kumuua farao bila kuwaangamiza watoto wasio na hatia
 
Mungu hajawahi kuua?

Gharika Genesis 7:23, NLT

Sodomy & gomora Gen 19:24

Mtoto wa kwanza kufa kila nyumba kule misri Ex 12:29-30

Adhabu ya njaa ya miaka saba ulimwenguni kote Gen 41:25-54

Hivyo ni vifo vya mamilion kwa maelfu ya watu ambayo mungu kaua

shetani ndio hana rekodi ya kuua watu wengi kama hivyo wakati ndio mwenye sifa ya ubaya, labda uniambie wewe shetani alimuua nani?
 
Kwa hiyo hakujua kuwa shetani atakuja kuasi alipomuumba? Ndicho unachotaka kusema hapa ama sijakuelewa vizuri?

By the way ni kuasi. Kuhasi ni neno jingine kabisa.

Wakora [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
The niga was sleepin
 
Haogopi lakini anapenda haki ni Mungu wa haki ndio maana ana subira kuhusu mni nani mwenye haki ya kuabudiwa
Angekuwa anataka haki tungemuona kupitia matendo yake

Kama mungu huyo anapenda haki kwanini aone wivu wakiabudiwa miungu mingine?

Kwa mfano katika ubishani wake na shetani kuhusu imani ya ayubu huyu mungu aliua watoto akampa majipu na akamfirisi ili mradi tu kumdhihirishia shetani kwamba ayubu yuko upande wake.

Sasa wewe unaona hiyo ni haki mungu kuua watoto kwenye betting yake na shetani?

Haiwezi kuwa haki mungu kuua watoto wa kwanza wa familia ili kumkomoa farao, mungu anakua na ligi za kipimbi kama hizi halafu unasema nimoenda haki how?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…