Wewe unayedai Mungu yupo ndiye uliyeshindwa kutetea hoja yako, unataka mimi niitetee hoja yako.pambana na hali yako...
acha kutegemea watu wakuthibitishie acha uvivu wa kufikiri
lengo la Mungu ni sawa na mkulima.mkulima ambae huandaa shamba viuri kupanda mbegu,lakini kabla huzichambua mbegu vizuri akatoa mbegu mbovu,ili akipanda apande mbegu Safi,Bora na imara.hivyo huyu mkulima huwa na mategemeo kwamba Miche yote itaota na itakuwa na afya njema na kutoa matunda ya kutosha.lakini wadudu nao huja na kuanza kuzizonga mbegu zingine zikiwa bado udongini,zitakazo salimika zikaota bado wadudu huendwlee kuzizonga,mkulima hakati tamaa zilizoota kwa udhaifu atajitahid kuziongezea mbolea na kupalilia lengo zizae matunda aliyoyatazamia ,hapo kabla angali akichambua mbegu.Mungu hajawahi kuumba kilema au kipofu ,Mungu huumba kwa ukamilifu ila adui huja akaanza kuzonga uumbaji na kusababisha hayo mapungufu unayohoji hapo juu.Ume assume ni Mungu.
Ukweli kwamba hakuna kiumbe ambacho kimejiumba chenyewe hauthibitishi kwamba Mungu yupo.
Unathibitisha kwamba hakuna kiumbe kilichojiumba chenyewe.
Unajuaje viumbe vimeumbwa na Mungu?
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini anakubali ulimwengu huu uwe na viumbe vingine vinavyozaliwa na vilema, vingine vizaliwe na upofu, vingine vife kabla ya kuzaliwa?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dahKwa maana hiyo saizi wewe haufungamani na upande wowote na hauwezi kusema shetani ni mbaya kwasababu hujasikiliza upande wa shetani?
una uhakika bila shaka yoyote kwamba Mungu hayupo?"Absolute certainty" ni nini? Unajuaje kwamba ipo kweli na si njozi tu ya kufikirika?
"Hakika bila shaka yoyote" maana yake ni nini?una uhakika bila shaka yoyote kwamba Mungu hayupo?
Hayo macho ya Mungu ushawahi kuthibitisha yapo kweli na si hadithi za watu kujipoza tu?Ni kifo machoni pa mwanadamu, ila kwenye macho ya Mungu lile ni pumziko takatifu.
mimi ni mwanaume."Hakika bila shaka yoyote" maana yake ni nini?
Kuna chochote unachoweza kusema una hakika nacho bila shaka yoyote?
Ndio maana nikakwambia hakuna nilipoongelea habari za lazima, sasa sijui hiyo lazima wewe umeitoa wapi.Hatujamalizana kwenye hili kwanza.
Wito ni lazima uwe wa "nani"?
Kama ungekuwa unapenda uthibitisho basi ungethibitisha madai yako ya kwamba hakuna Mungu.Wewe unayesema mambo bila uthibitisho ndiye unayependa ligi.
Mimi napenda uthibitisho ili tumalize ligi.
Bila uthibitisho, ligi haiishi.
Wewe usiyetoa uthibitisho ndiye unayependa ligi.
Huyu hamna kitu labda mbishane kujua kiingereza na wingi wa kusoma vitabu tu.Dah mmeliazisha watu malizanenu na kiranga msije kumkimbia ndo nyuzi zake za point izi.
Sio kila jambo kujua ukweli wake basi lazima uwe na uthibitisho,uthibitisho haufanyi jambo kuwa kweli na kukosekana uthibitisho hakufanyi hilo jambo kuwa la uongo.Kwani kudai uthibitisho ni kitu kibaya?
Utajuaje kipi kipo kweli na kipi ni hadithi bila uthibitisho?
Kwa nini huoendi uthibitisho?
Wewe ni mzembe hutaki kuthibitisha mambo?
Au ni mjinga hujui kuthibitisha?
Au ni muongo huwezi kuthibitisha?
Sasa ukitaka kujua jambo hili ni kweli na hili si kweli unafanyaje?Sio kila jambo kujua ukweli wake basi lazima uwe na uthibitisho,uthibitisho haufanyi jambo kuwa kweli na kukosekana uthibitisho hakufanyi hilo jambo kuwa la uongo.
Umewabana kweli kweli hawa wafia diniKwa maana hiyo mungu hajaweza ku fix ichote maana bado kuna watu wataenda motoni so na ujio wa yesu is equal to nothing.
Imagine hadi Plan b nayo imefeli, huyu mungu wa wapi?
Msemaji wa mungu[emoji16]Haijafeli ipo kwenye mchakato, ikikamilika utakuwa mwisho wa utawala wa shetani
Labda nikuulize,kila jambo unalolijua wewe kuwa ni kweli una uthibitisho wake?Sasa ukitaka kujua jambo hili ni kweli na hili si kweli unafanyaje?