Kujua ni nini?Labda nikuulize,kila jambo unalolijua wewe kuwa ni kweli una uthibitisho wake?
Nimekuuliza swali nasubiri unijibu.Kujua ni nini?
Unajuaje unajua kweli na huoti njozi tu inayokufanya ufikiri unajua kweli?
Kwa mfano, watu wote walioishi kabla ya kujua atomic theory walijiona wamejua kwa uhakika kabisa kwamba chuma ni solid.
Kumbe chuma ni takriban 90% empty space. And that goes for any matter. According to atomic theory.
Watu walioishi kabla ya Einstein walifikiri time is absolute and universal.
Einstein akaja kutuonesha kwa relativity kwamba time ni relative and local.
Sasa wewe unajuaje chochote unachofikiri unajua unakijua kweli, na huna njozi tu kutokana na udogo wa mawazo yako?
Mimi nikikosa kujua kwa uthibitisho jambo lolote, hilo linathibitishaje Mungu yupo?
Thibitisha Mungu yupo.
Kujua ni nini na unajuaje unajua na hufikiri tu kwamba unajua bila kujua?Nimekuuliza swali nasubiri unijibu.
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezi kutokea kwa sababu yoyote?Kifo sio mpango Wa Mungu, Mungu alipokuwa na maraika aliwaambia na tufanye MTU kwa mfano wetu, basi akamuumba Adam, baadaye akaona anakaa peke yake akammega hawa kutoka kwa Adam basi Adam alivyoamka usingizini akakuta kuna kitu mrua kabisa. Mungu alimuumba Adam aishi milele, dhambi ilikuja pale mke wa Adam alipokula tunda, kwa kudanganywa na shetan, shetani kablaya kutofautiana na Mungu naye akiwa malaika mkMkuu alishiriki kutuumba hivyo alitujua vizuri, Adam alivyokula tunda ndipo akagundua yupo huchi Adam akaitwa akaulizwa umefanya nini, akajibu si Hutu mwanamke uliyenipatia. Mungu akasikitika na akasema nikikukata kula tunda hili basi hakika mavumbini utarudi adhabu ikaamziahaHapo hivyo kifo ni umauti na adhabu tuliyopewa na kuipokea bila kikwazo.
hahaha eti nitetee kwani wewe ni nani? tumia akili yako acha kuomba watu wakuthibitishie. ...Wewe unayedai Mungu yupo ndiye uliyeshindwa kutetea hoja yako, unataka mimi niitetee hoja yako.
Wewe ndiye mvivu wa kufikiri, halafu hata utetezi wako unakufunga wewe mwenyewe.
Nitumie akili yangu kuthibitisha hoja yako?hahaha eti nitetee kwani wewe ni nani? tumia akili yako acha kuomba watu wakuthibitishie. ...
Na bado tunajadiliTulikuwa tunajadili suala la mitihani.
Kwasababu kazi ya mungu haina makosa so mabaya nayo pia ni mapenzi ya mungu?Aliumba ikiwa hivyo ( Edeni ). Hayo mambo mabaya ni matokeo pia.
Kwanza ukiniambia hakujua sitakuuliza hilo swali kwasababu hapo tutakua tunamzungumzia mungu mwenye imperfections kama miminikuambia hakujua unaweza nipa ushahidi alijua?
ukiwa na nguvu sio kila kitu unanyanyua
sawa kila mtu atumie akili yake hilo ndio jambo kuu..Nitumie akili yangu kuthibitisha hoja yako?
Na wewe utatumia akili yako kuthibitisha Mungu hayupo?
Usikimbilie kuhitimisha kitu ambacho hujui na kuchukulia mambo kijuujuu.Kwanza ukiniambia hakujua sitakuuliza hilo swali kwasababu hapo tutakua tunamzungumzia mungu mwenye imperfections kama mimi
Siku nyingine usifakamie hoja ambazo huziwezi, kisha kukimbilia huyo unayemfakamia athibitishe hoja zako, na hapo hapo umwambie yeye mvivu in a self contradicting way.sawa kila mtu atumie akili yake hilo ndio jambo kuu..
View attachment 1695994
Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Nini asili ya dhambi?Kifo ni matokeo ya dhambi
"Sasa ukitaka kujua jambo hili ni kweli na hili si kweli unafanyaje?"Kujua ni nini na unajuaje unajua na hufikiri tu kwamba unajua bila kujua?
"Sasa ukitaka kujua jambo hili ni kweli na hili si kweli unafanyaje?"
Neno "kujua" katika hilo swali lako hapo juu kwani ulitumia kwa maana gani?
Wewe ni wa kusaidiwa na endelea kusubiria watu waje wakusaidie kujithibitishiaSiku nyingine usifakamie hoja ambazo huziwezi, kisha kukimbilia huyo unayemfakamia athibitishe hoja zako, na hapo hapo umwambie yeye mvivu in a self contradicting way.
Yani wewe ndiye unataka kusaidiwa kuthibitishiwa hoja yako na mimi, halafu mimi ndiye niwe mvivu?
Do you even know where you stand?