Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

We jmaa wewe sio play button kwamba mpaka uwe pressed ndo uelewe haya tuassume ulikuwa hujui basi unaambiwa hapa acha dhambi kama kuiba kusema uongo kuzini fuata sabato mpene baba na mama usiabudu sanamu halafu Muombe Mungu kwa roho na kweli amini haya kwa hayo machache chukua mwezi fanya mazoezi sas unatka Mungu au shetani wakufanyaje hapo wakati ushaelekezwa

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini Mungu ninaehubiriwa kuwa ana upendo na huruma sana anitege na kunipa mitihani ya kuchagua baya na zuri wakati ana uwezo wa kunifanya nitende mema tu?
Umejitega mwenyewe braza badala ya kuenda kanisani unaenda bar wakati unaelewa kabsa bar kuna nn na kanisani kuna nn ishu ni kwamba Mungu hadeal na wenye dhambi kabisa ndo maan tunajiongoza wenyewe ila watakatifu hata wakifanya dhambi anawaelekeza

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Yaani Mungu mwenye huruma sana,upendo sana na muweza wa yote anipe uhuru wa kutenda dhambi ambacho ni kitu kibaya sana?!Hii inamake sense?
Huruma yake ina kiasi. Sio kwa watu wavivu na wanaojilegeza awasaidie hadi sehemu wanayoweza jisaidia. Kitendo 2 cha Mtu mwenye dhambi kuendelea kuishi huoni kama ni huruma hiyo dunia ingekuwa na watu wachache sana

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Utata wa biblia uko wap? Mm najitolea kukufundisha bure kabisa kwa muda wako na hata online (kwa mtandao) mpaka uelewe,maswali yako biblia itajibu yote
Niko hapa tukuja na maswali yenye utata kuhusu Bible
 
Unaamini kuwa Mungu hashindwi chochote?Kama jibu ni ndiyo,kwa nini alishindwa kumzuia ibilisi asihasi?
Ko unampangia wewe angeendesha dunia unavotaka wewe yeye aliamua kutupa free will sas we unataka angetuweka vibwengo wake anapress button mambo waa alicreate better picture kwa kutupa zawadi ya kufanana nae kimaamuzi..
Yupi mbaya hapa Mungu alietoa uwezo wa kuchagua na kutufindisha mabaya na mema kwa kuleta na mifano hai au binadamu ambae katika mabaya na mema amechagua mabaya?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sas we unadhani Mambo yote yalioandikwa yalikuwa bahati mbaya. Hat wewe unaeza amua badala ya kumzuia mfanyakazi wako asikuasi baada ya kumgundua kua atakusaliti ukamuacha amalize adhma yake ili umpe hukumu stahiki

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mfano unajua huyu mtu anaenda kuiba na akiiba atauwawa na nguvu ya kumzuia kwanin usimuzuie
 
Kama huna imani unawezaje kuona jinsi Mungu anaweza mshughulikia shetani wakati amesema fungeni na kusali mtende yaliyo mema mtamshinda shetani Je umewahi fanya hayo ukakuta Mungu anamshindwa shetani...sas uko kwenye gombania goli ya shetani by choice unataka uone ukuu wa Mungu how? Mungu ashasema anadeal na wake na watu wenye dhambi wamefungwa kuuona ukuu wake kama mimi na wewe hapo nadhani

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Me nacho amini ni kweli Mungu yupo maana hauwezekani huu ulimwengu ulitokea from no where, ila siamini kwenye hizi dini kuna mahali lazima wanatu- misleading
 
Usikimbie!Tetea kwa hoja kuwa Mungu wako yupo kama vile mimi ninavyotetea kwa hoja kuwa Mungu hayupo bali ni fikra za binadamu tu.
Sasa hoja gani wakati wewe unatumia alichokuambia yeye blindly na kwa nia mbaya ya kumkosoa. Br If you can't love him first willingly y'll never see the light

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kama Mungu alijua shetani atawapoteza watu kwanin anamuacha mpka leo
 
Hao walitokea wapi? Leteni source ya kwanza kabisa na operesheni yake huwezi anzia njiani 2 explain everthing why human beings differs even of same family

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini Mungu anaehubiriwa kuwa ana upendo sana,huruma iliyopitiliza na uwezo wa kila kitu amefanya suala la kutenda dhambi liwezekane kwa binadamu?
Mtu anaekuelimisha kuhusu umuhimu wa uzima na kutofanya dhambi na madhara ya dhambi na kukuletea mwanae pekee juu ilimradi akuokoe unaeza sema kaleta dhambi duuu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna anaezaliwa upya bali inafanyika recicyling,,inafutwa memory unakuja kivingine,again and again,miaka nenda rudi,,usikute kabla ya hii circle,wewe ndo ulikua chifu mkwawa ama von wisman
Mtu akifa amekufa either heaven or hell hakuna alierudi

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Angenibana nisingekuwepo leo hii?!Mungu asieshindwa chochote atashindwaje kuhakikisha kuwa nitaendelea kuwepo hata kama akinibana?
Unadhani anakuwaza sana wewe peke ako hana priorities nyngne? Baad ya kuasi wewe ulikuwa panzi 2 kwake alitaka kukufutilia mbali poor creation given everything and still sins. He would rathar have cocroach living than you sinner its Just his grace. Hata shetani alipewa nafasi sio wewe 2 ila akafail neema ikafungwa..shukuru akina nuhu wewe akina ibrahim ungekuwa whiped away

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
KUNA MTU ALIKUFA NDO MAANA UKAZALIWA WEWE.
imagine tangu Adam mpaka leo hii Kama kusingekuwa na kufa dunia ingekuwaje?
Mungu angeweza kuwaacha mzae mitoto Mingi afu yote zero brain dhambi kila siku mngezaa kwa mpangilio kusingekuwa na limit katika dunia kila limitation unayoiona ni matokea ya dhambi. We unajua idadi kamili ya malaika mbinguni?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hayo ni mawazo yako sio ya muumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…