wala sijakimbia ila wewe ndio unatetea hoja ambayo biblia haiungi mkono ....hoja yangu ya msingi(je Mungu anajua kila kitu....nimeshaijibu sasa hiyo gani nimeiruka ila wewe unaleta hoja nyingine ya huo mstari bila andiko lolote ndio nikuelekeza mwanzo sura 19 na kutoka 33:22.. pia katafute kisa cha ishmaeli...au anzisha thread nyingineNina hoja nyingi ya kutetea upande wangu kupitia references za biblia ila sitaki habari za kuhama hama mjadala kama ambavyo wewe unafanya
Nataka tukiama mjadala kusiwe na doubt kwenye mjadala wa nyuma tena ili kuepuka maswali ya usumbufu yatakayojitokeza kwenye mjadala mpya
Mjadala wa ibrahim, malaika na mungu bado uko njia panda
Usipokubali ukweli kwamba yale yalikua ni maneno ya malaika na umepewa na references yenye kuthibitisha lakini bado hujataka kukiri, basi hata huko unakotaka tujadili unaweza ukafanya kosa hilo hilo
Tumalize kwanza hapa, nasisitiza hili kwasababu wewe ndiye uliyeanza kuniambia nilikimbia swali lako ambalo saizi wewe ndio unalikimbia
Wapi nimesema nimeshindwa kutoa maana ya imani??kwasababu jibu nililokupa ulionesha kutokubaliana nalo ukinisisitiza nijibu swali lako kwanza, kwa tafsiri ya haraka kile nilichokiandika hakikuhusiana na swali lako
na mimi nilipoliona hilo nikasema okay huenda natoa majibu ya uwongo kutokana na neno imani silijui kwa namna ambayo muulizaji analielewa na ndio maana nikakuomba unipe ufafanuzi wa neno kuamini/imani
Sasa kama umeshindwa kutoa maana ya imani inamaana huna mamlaka ya kuniambia jibu sio sahihi kwasababu unakua unauliza jambo ambalo umechagua msingi (imani) ambao huujui maana yake
Siamini kwamba Mungu yupo, kwa sababu imani ya Mungu kuwepo, ina contradiction ambazo hazijatatuliwa.Kumbe Imani inaweza kuwa ya kweli au uongo,
Kwanini unadhani imani ya kwamba Mungu yupo ni uongo?
Kwanini usiamini kwamba ni kweli?
Hujaeleza uwepo wetu unathibitishaje Mungu yupo.uwepo wetu sisi binadamu ni kielelezo tosha kuwa Mungu yupo,,, kwa sababu sisi hatujatokea tu from no where,,
na kuhusu kuwepo kwa vitu vibaya dunian akufanyi Mungu kutokuwepo kwa sababu hata hayo magonjwa masunami vyote kaviumba yeye..
kuhusu mfano wako wa baba mwenye watoto je anaweza kuwategeshea wanae visu mishale au mabomu jibu ni ndio inawezekana ni mara ngapi unasikia Baba kambaka mwanae au Baba kamchoma kisu mwanae kwa sababu furani,,
kwa hyo hoja ya kusema Mungu hayupo eti kwa sababu kuna vita na mabaya mengi dunian hyo hoja yako haina maana,,,
Mungu ndo kaumba mabaya na mazuri pia so ni jukumu lako kuchagua
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Kila Alilolifanya na tazama Aliona ya kuwa li jema.Siamini kwamba Mungu yupo, kwa sababu imani ya Mungu kuwepo, ina contradiction ambazo hazijatatuliwa.
Tunaambiwa Mungu.
1. Ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wote
3. Ana upendo wote.
Huyu Mungu ana kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauna kifo, hauna njaa, hauna magonjwa.
1. Ana uwezo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wa kuumba ulimwengu huo.Kwa sababu ana ujuzi wote.
3. Ana upendo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana upendo wote.
Sasa kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao hauna mabaya popote, wakati wowote na kwa sababu yoyote?
Hujajibu swali.
Hujathibitisha kwamba yupo.Kila Alilolifanya na tazama Aliona ya kuwa li jema.
Ulimwengu kuwa na shida haimaanishi kwamba hayupo.
Ameamua uwe hivyo.
Kwanini unataka ulimwengu uwe vile unavyotaka wewe na si Yeye anavyotaka?
Kama kawaida yako. Unaandika utumbo mwaka wa 10 huu.Siamini kwamba Mungu yupo, kwa sababu imani ya Mungu kuwepo, ina contradiction ambazo hazijatatuliwa.
Tunaambiwa Mungu.
1. Ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wote
3. Ana upendo wote.
Huyu Mungu ana kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauna kifo, hauna njaa, hauna magonjwa.
1. Ana uwezo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wa kuumba ulimwengu huo.Kwa sababu ana ujuzi wote.
3. Ana upendo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana upendo wote.
Sasa kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao hauna mabaya popote, wakati wowote na kwa sababu yoyote?
Hujajibu swali.
Kwani wapi nimedai kwamba wewe umesema hivyo?Wapi nimesema nimeshindwa kutoa maana ya imani??
kuumba ulimwengu wenye mabaya hayo ni maamuzi yake na kuonyesha ukubwa wake kwamba anauwezo wa kuumba ulimwengu wenye mabaya na mazuri pia,,,Hujaeleza uwepo wetu unathibitishaje Mungu yupo.
Siamini kwamba Mungu yupo, kwa sababu imani ya Mungu kuwepo, ina contradiction ambazo hazijatatuliwa.
Tunaambiwa Mungu.
1. Ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wote
3. Ana upendo wote.
Huyu Mungu ana kila sababu ya kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya, hauna kifo, hauna njaa, hauna magonjwa.
1. Ana uwezo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana uwezo wote.
2. Ana ujuzi wa kuumba ulimwengu huo.Kwa sababu ana ujuzi wote.
3. Ana upendo wa kuumba ulimwengu huo. Kwa sababu ana upendo wote.
Sasa kwa nini hakuumba ulimwengu huo ambao hauna mabaya popote, wakati wowote na kwa sababu yoyote?
Hujajibu swali.
Sawa kumbe humjui,unamjua Aristoto?
Ni kweli kabisa hata Mwa 6:5,6 inaonyesha jinsi Mungu anavyohuzunika kuongeza kwa uovu dunianiKweli kabisa, Mungu wa kweli si muuaji, tena hafurahii kufa kwa mtu. Anaona kifo kama adui kwa wanadamu alowaumba.
𝑬𝒛𝒆𝒌𝒊𝒆𝒍𝒊 18:32 - 𝑴𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒎𝒊𝒎𝒊 𝒔𝒊𝒌𝒖𝒇𝒖𝒓𝒂𝒉𝒊𝒊 𝒌𝒖𝒇𝒂 𝒌𝒘𝒂𝒌𝒆 𝒂𝒇𝒂𝒚𝒆, 𝒂𝒔𝒆𝒎𝒂 𝑩𝒘𝒂𝒏𝒂 𝑴𝑼𝑵𝑮𝑼; 𝒃𝒂𝒔𝒊 𝒈𝒉𝒂𝒊𝒓𝒊𝒏𝒊, 𝒎𝒌𝒂𝒊𝒔𝒉𝒊.
Hata hivyo Mungu atafutilia mbali kifo(mauti) karibuni.
1 𝐶𝑜𝑟𝑖𝑛𝑡ℎ𝑖𝑎𝑛𝑠 15:26 𝑇ℎ𝑒 𝑙𝑎𝑠𝑡 𝑒𝑛𝑒𝑚𝑦 𝑡ℎ𝑎𝑡 𝑠ℎ𝑎𝑙𝑙 𝑏𝑒 𝑑𝑒𝑠𝑡𝑟𝑜𝑦𝑒𝑑 𝑖𝑠 𝑑𝑒𝑎𝑡ℎ. (𝐴𝑑𝑢𝑖 𝑤𝑎 𝑚𝑤𝑖𝑠ℎ𝑜 𝑎𝑡𝑎𝑘𝑎𝑦𝑒𝑏𝑎𝑡𝑖𝑙𝑖𝑠ℎ𝑤𝑎 𝑛𝑖 𝑚𝑎𝑢𝑡𝑖).
ndio nani huyo?Sawa kumbe humjui,unamjua Aristoto?
Unaweza kuthibitisha ni maamuzi yake na si hadithi ulizopigiwa ba watu tu?kuumba ulimwengu wenye mabaya hayo ni maamuzi yake na kuonyesha ukubwa wake kwamba anauwezo wa kuumba ulimwengu wenye mabaya na mazuri pia,,,
kama angeumba ulimwengu wenye mazuri tu uoni kama wewe ungekuja kuuliza kwann ajaumba ulimwengu wenye mabaya na mazuri,,,
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
hata kama angeweka dunia yenye bata na starehe za kila aina dunia ambayo aina mabaya bado ungeuliza kwann ajaumba dunia yenye mabaya,,Unaweza kuthibitisha ni maamuzi yake na si hadithi ulizopigiwa ba watu tu?
Na kwa nini maamuzi yake yawe ya ukatili unaoua watu wakati alikuwa na uezo wa kuwapa good time watu mwanzo mpaka mwisho?
Baba gani anayejenga nyumba yake, na kuitegeshea mabomu iue wanawe, ili kusudi tu wanawe wajue yeye ni baba na yupo? Alishindwa kutumia njia nyingine salama na rafiki za kujidhihirisha yupo?
Kwanza thibitisha Mungu yupo kabla ya kusema kaumba hivi au vile tu.hata kama angeweka dunia yenye bata na starehe za kila aina dunia ambayo aina mabaya bado ungeuliza kwann ajaumba dunia yenye mabaya,,
kwa hyo kuwepo kwa mabaya hakuondoi uwepo wake kuumba mabaya na mazuri yote ni maamuzi yake,
ulishawahi kusikia mzazi anatembea na mwanae wa kumzaa kimapenzi je hyo inaondoa ubaba wa yule mtt,,,je ni mara ngapi tunasikia Baba kamchinja mwanae je hyo itaondoa kwamba yule sio baba wa uyo mtt?
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Kifo kina tatizo gani kwani..? Mentality yako ndiyo inakutuma kwamba kifo kina tatizo; Kifo hakina shida yoyote kama kweli kipo;Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo wala kufikirika?
Jiue basi sasa hivi tusikuone kuandika tena hapa JF tujue kweli unamaanisha unaposema kifo hakina tatizo na hukiogopi.Kifo kina tatizo gani kwani..? Mentality yako ndiyo inakutuma kwamba kifo kina tatizo; Kifo hakina shida yoyote kama kweli kipo;
Infact hakuna Kifo; Maana unachokiita kifo kinapokuja kwako wewe hujui; Kitu ambacho kinakukuta na wewe hujui kina uhakika gani?; Wanaobaki hawana uhakika na hicho kifo ambacho kimekupata wewe, maana wewe ndio muhusika na haujui kitu, ila wao ndo wanajua kitu ambacho wewe muhusika hujui.
Acha kuogopa fear of Unknown
Hakuna kitu kama Kifo mzee; Nipe Ushahidi kama kifo Kipo na unihakikishie kabisa;Jiue basi sasa hivi tusikuone kuandika tena hapa JF tujue kweli unamaanisha unaposema kifo hakina tatizo na hukiogopi.
Siyo unaandika kifo hakina tatizo, lakini unakiogopa.
I don't argue with flat earth society trolls.Hakuna kitu kama Kifo mzee; Nipe Ushahidi kama kifo Kipo na unihakikishie kabisa;