Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

kama hujakimbia basi nijibu swali hili

kwenye hiyo sura kuna conversation ya abraham, mungu, na malaika

nataka uniambie kwenye hiyo sura ni mstari upi ambao umeelezea conversation kati ya abraham na Mungu?

Vile vile malaika alifanya mazungumzo na abraham, nataka unipe reference ya verse ikionesha ni maneno gani ambayo malaika alikua anazungumza na abraham
 
Mungu ni Roho
Yupo ila siwezi kuthibitisha unavyotaka.
 
Sasa mbona umekataa kwamba hujadai kuwa nimeshindwa kujibu?
hakuna mahali nimekataa kwamba sijaandika "umeshindwa kujibu"

Ila nakataa kwamba hakuna mahali mimi nimeandika "wewe umesema umeshindwa kutoa maana ya imani"
 

UMEJUAJE HAYA YOTE.UMEYAPATA WAPI AU UMEBUNI TU
 

hakuna conservation ya malaika na Abraham........
kuna conversation Mungu na Abraham.
Mungu anaongea kupitia malaika versa soma sura yote
 
hakuna conservation ya malaika na Abraham........
kuna conversation Mungu na Abraham.
Mungu anaongea kupitia malaika versa soma sura yote
weka reference ya sura nzima hapo wote tusome
 
hakuna mahali nimekataa kwamba sijaandika "umeshindwa kujibu"

Ila nakataa kwamba hakuna mahali mimi nimeandika "wewe umesema umeshindwa kutoa maana ya imani"
Sasa kwanini useme nimeshindwa kujibu wakati mimi mwenyewe sijasema?
 
Sasa kwanini useme nimeshindwa kujibu wakati mimi mwenyewe sijasema?
kwasababu hujaweza na ili uonekane umeweza ulitakiwa ujibu (na hakukua na haja ya wa wewe kusema umeshindwa kujibu ili ifahamike umeshindwa) so kutokuweza kwako kujibu ndio kushindwa kwako.

kama unabisha nioneshe wapi umeweza kujibu maana ya imani?
 
kwasababu hujaweza na ili uonekane umeweza ulitakiwa ujibu, so kutokuweza kwako kujibu ndio kushindwa kwako

kama unabisha nioneshe wapi umeweza kujibu maana ya imani?
Sijajibu kwa sababu najua unajua
 
kutoka 3 haisemi kuhusu abraham na mungu inazungumzia habari za moses

nataka uweke reference ya aya ambayo ulianza nayo ambayo ulidai niliikimbia inayomzungumzia abraham kuhusu kutoa sadaka ya mwanae

naona round hii unakimbia wewe
 
Mungu anawachola tu naona kwenye yupo ana enjoy kweli ataki shobo na dunia mpambane na ali zenu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…