mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
View attachment 1695994
Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?
Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Brother Safi sana umeuliza vizuri; Let me put some hint hapa kidogo wakati wa kujibu hili Swali lako.Kama siyo mpango wa Mungu ni mpango wa nani? tuanzie hapo kwanza...
"Kuna Dini fulani ndo huwa kawaida yake ku-attribute Kila Jambo ambalo linatokea duniani, Liwe zuri au Baya huwa ni Mungu; Sasa na naona na Christianity huwa inajisahau inaingia huko kwenye kuamini Kila kitu ni Mpango wa Mungu. Guys there is no Evil in God."Brother Safi sana umeuliza vizuri; Let me put some hint hapa kidogo wakati wa kujibu hili Swali lako.
Kwanza kabisa lazima ufahamu kwamba Life style hii tunaishi sio ambayo Mungu aliiweka ili watu wake waishi; Baada ya Mwanadamu Kukorofisha Nature ndio ilimkataa sio Mungu; Mungu aliset Nature; Kwenye uzazi aliweka Nature kwenye kila Mnyama kuproduce on its Kind; Mwanzo 1 na 2 everything was intact yaan, na kilikuwa na umilele
Baada ya hapo Taratibu Uharibifu ukaanza kuleta Athari Miaka ya Kuishi ikaanza kushuka Taratibu; Magonjwa yakaingia hii ni Matokeo ya Uharibifu, Hivyo Mwili ukapata Destruction Kubwa sana. Ndio mpaka sasa Unaweza kuta mtoto wa Miezi 6 anafariki; Tena sometimes Mtoto anafia tumboni kabisa, That is not God. Mungu kwake ni Uzima tu; Please read James 1 yote, aisee jamaa amefunguka sana hapo.
tatizo lililopo Kwa miaka na Karne nyingi kumekuwa na Mis-representation of God's Character, ambayo inafanya Mungu aonekane kama Gaidi.
Matetemeko, Tsunami, Mafuriko, Vifo na Majanga ya kila aina ambayo binadamu hawawezi kuyaelezea basi wanamtupia Mungu kwamba ndo anaweza kuwa amefanya; Kama kuna Mwamini wa Mungu ana amini hivyo then Huyo Mungu hastaili Kuabudiwa kabisa, maana kama Mungu anaweza kuwa na Dual Character then is no Dependable God, kuna siku atakuharibia mambo ya Msingi kabisa.
Kuna Dini fulani ndo huwa kawaida yake ku-attribute Kila Jambo ambalo linatokea duniani, Liwe zuri au Baya huwa ni Mungu; Sasa na naona na Christianity huwa inajisahau inaingia huko kwenye kuamini Kila kitu ni Mpango wa Mungu. Guys there is no Evil in God.
Hapana Si mmoja; Ndio maana nikasema Christianiry nayo inaenda na Upepo huo wa hiyo Dini.Dini fulani na Christianity, Mungu wao ni mmoja?
"Guys there is no Evil in God."Hapana Si mmoja; Ndio maana nikasema Christianiry nayo inaenda na Upepo huo wa hiyo Dini.
Brother nadhani ni Ugumu wako wa Kuelewa tu; Huyo wa kwao nilitaja Nikitolea Mfano; lakini ukiangalia Statement yangu nikasema Kwamba Christain nao wanafuata Utaratibu huo; Hakuna mahali nimeelezea Character za Mungu wao; Soma Vizuri ndugu yangu; Unaweza Rudia Post; MIe nilielezea Namna ambavyo huwa wanampamabanua na Tabia zake, Then nikasema Christianity nao wanaangukia huko huko; Hapo Ujumla uliolezewa uko wapi? Msisitizo wangu wa Kauli ya There is no Eveil in God kumbuka Context yangu imeshabase kwenye Mungu tofauti na wao, sasa wewe unaonaje Ujumla wa maelezo ambayo sijayatoa?Inakuwaje unaeleza kwa ujumla maono ya Mungu unayemuamini na wanayemuamini?
Sawa,Brother nadhani ni Ugumu wako wa Kuelewa tu; Huyo wa kwao nilitaja Nikitolea Mfano; lakini ukiangalia Statement yangu nikasema Kwamba Christain nao wanafuata Utaratibu huo; Hakuna mahali nimeelezea Character za Mungu wao; Soma Vizuri ndugu yangu; Unaweza Rudia Post; MIe nilielezea Namna ambavyo huwa wanampamabanua na Tabia zake, Then nikasema Christianity nao wanaangukia huko huko; Hapo Ujumla uliolezewa uko wapi? Msisitizo wangu wa Kauli ya There is no Eveil in God kumbuka Context yangu imeshabase kwenye Mungu tofauti na wao, sasa wewe unaonaje Ujumla wa maelezo ambayo sijayatoa?
ndio alikuwa anajuaIna maana alipokuwa anamuumba huyo malaika hakujua kuwa atakuja kuasi na kuwa shetani atakayetuingiza dhambini, kifo na hatimaye kututenga naye Baba yetu muumba? Alijua hakujua? Jibu hili swali kwa ndiyo/hapana mengine yote puuzia !!!
Hapa Ishu sio Usahihi ndugu yangu? Jitahidi kuelewa; Ishu ni Kwamba Mungu wa Christainity Ameshajipambanua kwa scripture kwamba There is no Evil in Him; Sasa wao wanachanganya na ambaye Analipiza Visasi, Anauwa, Anachinja etc. Ishu sio Usahihi; Usahihi umeingiaje? tatizo una mind kwa kichwa unataka uilazimishie kwenye content ninazoweka; Ishu sio Usahihi ishu ni kwamba kuna watu wanamtumia Mungu wao kwa Character za Mungu wa wengine ishu ndio hiyo.Sawa,
"Then nikasema Christianity nao wanaangukia huko huko;...."
Kwanini Christianity wanaangukia huko? Wao ndio wapo sahihi?
iko ivi hata yote yanayotekea its a fate yesu mwenyewe alijua atasulubiwa na atateswa sana mpka umauti utamfika je kwann asingejiokoa kama wayahudi walivyotaka ajinasue au ajiokoee mwnyewe kila kinachofanya kinafanyika kwa sababu maalum hatuwezi jua nn lengo la mungu kuacha hayo ya tokeeIna maana alipokuwa anamuumba huyo malaika hakujua kuwa atakuja kuasi na kuwa shetani atakayetuingiza dhambini, kifo na hatimaye kututenga naye Baba yetu muumba? Alijua hakujua? Jibu hili swali kwa ndiyo/hapana mengine yote puuzia !!!
Hujaelewa point yangu.Sijui. Si ww umeamini? Unaamini ww halafu mm ndo nikuhakikishie imani yako? Imani ni suala la mtu binafsi.
kuwaambiwa msile tunda la kati ndo tayari kashawazua kwa kuwaeleza msifanye ivo sasa we ulitaka awazuie vp mkuu kwa kufanyaje labdaMungu mwenye upendo sana,huruma sana na mwenye uwezo wa kufanya kila kitu alishindwa vipi kumzuia binadamu asile hilo tunda?Upendo wake uko wapi?Huruma yake iko wapi?Uwezo wake uliotukuka uko wapi?
Nimeelewa vizuri sasaHapa Ishu sio Usahihi ndugu yangu? Jitahidi kuelewa; Ishu ni Kwamba Mungu wa Christainity Ameshajipambanua kwa scripture kwamba There is no Evil in Him; Sasa wao wanachanganya na ambaye Analipiza Visasi, Anauwa, Anachinja etc. Ishu sio Usahihi; Usahihi umeingiaje? tatizo una mind kwa kichwa unataka uilazimishie kwenye content ninazoweka; Ishu sio Usahihi ishu ni kwamba kuna watu wanamtumia Mungu wao kwa Character za Mungu wa wengine ishu ndio hiyo.
Unajuaje Mungu na Roho Mtakatifu wapo kweli na si hadithi za watu tu?Ulipoanza shule ya awali ulijuaje kusoma? Ulijua mwenyewe au mwalimu alihusika? Kama mwalimu hakuhusika kwanini hukukaa nyumbani ukajua tu?
Hata Mungu anafanya hivyo kupitia roho yake takatifu. Ukianza tu kujifunza unajikuta unaelewa na unatamani kujifunza zaidi
Ndio maana Kuna Vitabu vimekuwa Documented toka vizazi na vizazi; Hata vizazi vya sasa Vinatumia vitabu hivyo; So kinachotakiwa ni Kustick kwenye Hivyo Vitabu.Nimeelewa vizuri sasa
Nitafahamu vipi huyu na huyu wameumbwa na Mungu huyu na huyu na huyu wameumbwa na Mungu huyu?
Maana Mungu ni tofauti kwa muktadha wako!.
hatuko kwenye kusema dini hii n sahihi ama ile sioMtaongeaaaa mpaka mtatokwa mate, uislamu ndio dini ya kweli, na Mungu tunaemuabudu ni Mungu mmoja tu "ALLAH" (S.W) hakuzaa wala hakuzaliwa, na hakuna kinachofanananae,,na Mtume Muhammad (S.A.W) ni mtume wake aliemtuma kufikisha ujumbe kwa walimwengu wote, na si katika wana wa nchi moja.,, ni "ULIMWENGUNI KOTE"
hatuko kwenye kusema dini hii n sahihi ama ile sio
maana ukifahama tafasiri ya dini uwezi tafuta hizo tofauti
iko ivi dini n imani .ni kile unachoamini
dini n mm na ww kwa pamoja kuwa na imani moja kwa kuabudu kile tunachoamini
so habari ya fulani dini ya kweli Hakuna ajuaye huwezi kuamini kwa asilimia mia moja kuwa dini ile sio na hii ndio
fuata yale yalioelekezwa kwenye vitabu vya mungu maana hazijatofautiana
Sijauliza vitabu wala mechanism! Kwa muktadha wako Mungu wapo tofauti, ndio nauliza hao Mungu tofauti wanazo product zao tofauti (watu)? Nitafahamu vipi huyu mtu ni zao la Mungu wa Christianity na huyu ni zao la Mungu mwingine/wengine?Ndio maana Kuna Vitabu vimekuwa Documented toka vizazi na vizazi; Hata vizazi vya sasa Vinatumia vitabu hivyo; So kinachotakiwa ni Kustick kwenye Hivyo Vitabu.
NB: Kwa Case ya Mungu wa Bible hajaumba watu, aliumba Mtu, Wanyama then in every creature there were a mechanism Set to bring forth after Its Kind(Reproduction) sio kwamba Mungu amekaa anatengeneza tu watu, kuna mechanism ilishawekwa Yeye ni Creator; Sisi tunafanya Recreation kupitia Interaction;
So sio Suala la usahihi, ni Suala la Ufahamu tu;