Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Ukisoma na kubeba kila kinachoandikwa na watu usiowafahamu huku mitandaoni unaweza kukata moto kwa shinikizo la damu. Mtu ataamka tu na kujiandiki, huwezi kujua aliamkaje siku hiyo, nawe unalibeba kama lilivyo.

Know your purpose on earth and enjoy life.
 
Poverty line Kwa sasa ni $ 2.15 per day sio dollar Moja.
 
Inabidi uwe makini sana sababu watu wanafake sana maisha huku mtandaoni
Yaani mtu anataka kukuaminisha mtu anayelipwa million 2 au 3 kwa mwezi ni maskini
 
Inabidi uwe makini sana sababu watu wanafake sana maisha huku mtandaoni
Yaani mtu anataka kukuaminisha mtu anayelipwa million 2 au 3 kwa mwezi ni maskini
Kabisa mkuu,
Kuna wakati unatakiwa ujue nini cha kuleta kwenye public ili usuharibu afya ya akili ya wale unaotaka wapate ujumbe wako. 5m p/m ni kama $2,000 ambayo kwa mwaka ni roughly $24,000. Hata kwa viwango vya magharibi huyu sio masikini. Huko ambako maisha ni ghali sana, bado huwezi kumuita masikini.

Ila ndio hivyo, kila mtu anataka asikike. I can imagine a jobless reading this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…