Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

😃😆
Tunasubiri hali yako sasa.
Wewe kama unaamini milioni tano ni tajiri sijui utakuwa kwenye hali ipi
Wewe unayelipwa million tano ukiwa kwenye pozi moja matata la kitajiri
822AEC59-B176-4AEA-9350-28E1182A4194.jpeg
 
Ukisoma na kubeba kila kinachoandikwa na watu usiowafahamu huku mitandaoni unaweza kukata moto kwa shinikizo la damu. Mtu ataamka tu na kujiandiki, huwezi kujua aliamkaje siku hiyo, nawe unalibeba kama lilivyo.

Know your purpose on earth and enjoy life.
 
Wazuñgu wanapotaja neno Maskini huku Afrika inamanisha fukara, yaani ile iliyoptiliza.
Mfano kwao maskini ni mtu anayeishi chini ya dola moja ambayo kwa sasa ni Tsh 2500
Sasa hiyo 2500 mtu akiishi chini ya hiyo huyo sio tuu ni maskini bali ni maskini aliyepitiliza(Fukara)

Umeelewa Mr. Gdp
Poverty line Kwa sasa ni $ 2.15 per day sio dollar Moja.
 
Ukisoma na kubeba kila kinachoandikwa na watu usiowafahamu huku mitandaoni unaweza kukata moto kwa shinikizo la damu. Mtu ataamka tu na kujiandiki, huwezi kujua aliamkaje siku hiyo, nawe unalibeba kama lilivyo.

Know your purpose on earth and enjoy life.
Inabidi uwe makini sana sababu watu wanafake sana maisha huku mtandaoni
Yaani mtu anataka kukuaminisha mtu anayelipwa million 2 au 3 kwa mwezi ni maskini
 
Inabidi uwe makini sana sababu watu wanafake sana maisha huku mtandaoni
Yaani mtu anataka kukuaminisha mtu anayelipwa million 2 au 3 kwa mwezi ni maskini
Kabisa mkuu,
Kuna wakati unatakiwa ujue nini cha kuleta kwenye public ili usuharibu afya ya akili ya wale unaotaka wapate ujumbe wako. 5m p/m ni kama $2,000 ambayo kwa mwaka ni roughly $24,000. Hata kwa viwango vya magharibi huyu sio masikini. Huko ambako maisha ni ghali sana, bado huwezi kumuita masikini.

Ila ndio hivyo, kila mtu anataka asikike. I can imagine a jobless reading this.
 
Back
Top Bottom