Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Kipato kwa mwezi Milioni 5 ila una watoto 6, wewe pia niii?
Hiyo pesa nyingi sana sema waafrica hatujui ku save. Hiyo milioni 5 watoto wataenda shule Kwa mabasi ya njiani na mlo utakuwa wa uhakika. Ukisave kila mwezi 1.6 Kwa mwaka una 20M tusemd watoto uwalipie ada 9M unabaki na chechi kama 11M hivi😂. Save hiyo 11M Kwa miaka 10 utakuwa na shilingi ngapi? 😂
 
Kwa mwezi million 2 ,mim Ni Tajiri mtaa mzima nikipita wanasalimia shikamoo ,.....

Kiufupi naweza kulisha mtaaa weekend ,Kwa Tz million 2 Kwa mwezi unakuwa umetoboa maisha ...tembea kifua mbele kabisa [emoji23]
Kipato cha milioni mbili per month ni life la kawaida sana lenye financial limitation kibao
 
Kuumwa,kufa na changamoto zingine za maisha isitufanye turidhike na maisha ya chini. Hivyo vyote vipo ili kutufanya tupambane ipasavyo.
 
Huo ujinga wako peleka huko oysterbay na Masaki.Mimi nashi kijijini nalima na kufuga na nina mapato ya tsh milioni tatu kila mwezi naabudiwa hapa kuliko mfalme.BEFORE YOU WRITE ANY THING FERIFY WHAT KIND OF AUDIENCE ARE YOU AIM AT.
Hata mwenye shilingi mia humwabudu mwenye buku lakini hiyo haiondoi uhalisia kwamba wote ni maskini
 
Ni kweli pesa ni makaratasi yaliyopewa nguvu na akili, Lakini kili ndo running machine ya mfumo wa maisha ya watu. Ukisema kwamba hayo makaratasi si kitu ili hali akili imeyapitisha kuwa ni kitu cha maana na wewe unashughulika kila siku uyapate ili ulete balance kwenye life yako unakua unaukana ukweli.
 
Wamesomea kazi ili kudhibiti njaa waliyonayo,lakini infact si wasomi.
 
Kitu cha kuvutia ni kuwa wew pia ni takataka,

Kingine, madeni ya nchi hayatuhusu, wew kuwa na pesa nying zako zinatosha, usiamze kuleta maneno mingi,
Deni la nchi, mtu yoyote atake asitake linamuhusu na kumgusa unless yupo anaishi nchi ambayo ni free debt
 

Tanzania ndo nchi pekee gari ni kipimo cha utajiri[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…