Hakunaga maisha ya kawaida unless ni kauli ya kujifariji, kuna maisha ya umasikini na utajiribasi.Huo ni ukweli mtupu. Una 5M kwa mwezi halafu unaishi kwenye hotel ya nyota tano kwa maana unakula, unalala na unakunywa katika hoteli hiyo. Hapo unautafuta umasikini kwa kuishi maisha ambayo yapo juu ya kipato chako. Lakini kwa wale ambao wanaishi maisha ya kawaida hutwo tuela tunatosha kwa kubadilisha mboga, malazi na kinywaji bila wasiwasi.
Kijana wangu sasa hapa unavuka mipaka. FUTA HII. Anasa zipo jomba na ndo zinazowafanya watu warudi kwenye ufukara. Kama unapata hela unazitumia kishenzi bado wewe unakuwa hujaepuka umaskini hata kama unapata zaidi ya 5m. Matajiri wote huhakikisha pesa hazitumiki kizembe ili zisiwaponyoke.Hakuna kitu kinaitwa anasa, Anasa ni kauli za kimaskini.
Kuna umuhimu mkubwa watu wakapata elimu ya fedha. Kimsingi utajiri na ubahili ni ndugu wa damu. Vijana wakiona tajiri anakula bata huwa hawajui tayari mhasibu wake kashapigia hesabu ili kuepusha balaa. Tena matajiri wengine hujilipa mishahara kabisa ili wasiingilie biashara zao.Sasa kama kila weekend unaangamiza million 2 kwenye starehe tu unadhani hio 10M itakutosha kwa lipi?
Hizo zinazoitwa anasa hazina shida kama unajiweza kiakili na kiuchumi. Uzembe wa akili na umasikini ndo unafanya maisha fulani yaonekane ni anasa lakini infact hakuna anasa.Kijana wangu sasa hapa unavuka mipaka. FUTA HII. Anasa zipo jomba na ndo zinazowafanya watu warudi kwenye ufukara. Kama unapata hela unazitumia kishenzi bado wewe unakuwa hujaepuka umaskini hata kama unapata zaidi ya 5m. Matajiri wote huhakikisha pesa hazitumiki kizembe ili zisiwaponyoke.
[emoji16]Mimi ni kundi la Fukari pro max
Najua umeelewa nilichomaanisha.Hizo zinazoitwa anasa hazina shida kama unajiweza kiakili na kiuchumi. Uzembe wa akili na umasikini ndo unafanya maisha fulani yaonekane ni anasa lakini infact hakuna anasa.
[emoji16][emoji16]Yani mtu anaingiza mil 5 hawezi kula mlo kamili tena hafikishi mitatu? Nyie kwenu mnakula WATU nini
Usioe we endelea kupiga nyeto TUHivi kwa mshahara wa 150,000/= naweza kuoa na kuishi na mwanamke safi tujaenjoy life..?
Nakubaliana na hoja Yako aiseeKuna umuhimu mkubwa watu wakapata elimu ya fedha. Kimsingi utajiri na ubahili ni ndugu wa damu. Vijana wakiona tajiri anakula bata huwa hawajui tayari mhasibu wake kashapigia hesabu ili kuepusha balaa. Tena matajiri wengine hujilipa mishahara kabisa ili wasiingilie biashara zao.
Mil 5Milioni tano kwa mwezi ni kama 160,000 kwa siku, huwezi kumudu milo mitatu Serena Hotel, bado ni masikini wa kutupwa
Acha undina inategeana na aina ya gariUko sahihi mkuu ndomana huwaga sitaki kutaka kumiliki gari wakati mm ni maskini...kipato cha kuwa gari atleast uwe unapiga 10ml per month hapo gar halitokusumbua...jamaa yangu analipwa 800k kwa mwezi halafu ana gari la mkopo huwa namuonea huruma sana[emoji23]
Hapa ndio mimi baadhi ya watanzania wananikera na kuona wababaishaji. Mtu kaleta Mada yake anaongelea utajiri wa kuwa na fedha nyingi mtu awe na spending power inayoeleweka, jitu linatoka kushiba mihogo yake huko linaanzaa ooh utajiri ni afya. Ebu tustick kwenye Mada hizo habari za afya weka pembeni kwanza.Utajiri na afya ni category mhili tofauti kabisa Mkuu.
Afya ni Afya, utajiri ni utajiri, umaskini ni umaskini.
Mtu anaweza kuwa na afya na akawa maskini.
Na mtu anaweza kuwa anaumwa na akawa tajiri.
Na mtu anaweza kuwa maskini na tajiri na asiwe na afya
Kwamba kwa sababu hiyo 5M anapokea mkuu wa mkoa basi ni nyingi?Hahahahah... nyuzi kama hizi za kutiana hasira nazipenda sana. Umaskini ni fedheha. Sema jomba hiyo 5m umeweka kiwango cha juu kinoma.. mshahara wa mkuu wa mkoa huo. Huu uzi mimi nitauchukua kama mwongozo wangu kwa mwaka huu...
Wewe kama ni mkristo kasome upya biblia acha kujificha kwenye unyonge. Biblia inamtaka mtu mwema aache urithi kwa watoto na watoto wa wanaweUsijidangaye, material things wala sio utajiri mkuu. Kwa umri wangu, nimetambua na kuelewa afya na kumjua Mungu ndio utajiri na sio hizo blah blah.
Maandiko yako mengi huku mkuu unayaandika tokana na upepo wa umri wako kwa sababj bado unajitafuta. Ukishajitafuta na kujipata ndipo utaona hayo uyaonayo ya maana si kitu.
Mithali 13: 22 kaisome vizuri kama wewe ni mkristo. Hata huyo Mungu alimuumba Adam akamweka bustani ya Eden ikiwa na kila kitu ambacho angekiitaji. Huo mstari hapo juu unakutaka wewe kama kweli ni mtu mwema uache urithi wa mali kwa wanako na wajukuu zako.Usijidangaye, material things wala sio utajiri mkuu. Kwa umri wangu, nimetambua na kuelewa afya na kumjua Mungu ndio utajiri na sio hizo blah blah.
Maandiko yako mengi huku mkuu unayaandika tokana na upepo wa umri wako kwa sababj bado unajitafuta. Ukishajitafuta na kujipata ndipo utaona hayo uyaonayo ya maana si kitu.
Hahahah una laki 5 yako upo Manyara huko, , hakuna nauli, kodi ya nyumba full ni 80k, hakuna sherehe nyingi, bill ya maji ipo chini, umeme pia bill ipo chini,Hoja yako ni Kwa miji ya DSM na Arusha na Dodoma , kuna miji hapa tz ukiwa na mshahara wa laki 5 , unaishi kifalme
Hii definition yako ya poverty ni ya form one B. Ukienda level za juu za education Kuna Maslow Hierarchy of needs.What is Poverty? Is a failure or unable to meet Basic needs, eg, Food, clothes and shelter.
Kwa definition Yako ya umaskini unachanganya needs vs wants.
Utakuwa Bado uko Kwa dada ukianza maisha utajua ukweli.
Hicho ndo ulich ona tu,the good things,hiyo principle of management course chuo nazijua no newHii definition yako ya poverty ni ya form one B. Ukienda level za juu za education Kuna Maslow Hierarchy of needs.
Kwanini mtaalamu?Usioe we endelea kupiga nyeto TU
We jamaa unapenda kujiliza sanasijui nilie π₯Ήπ₯Ή
Mkuu,Hii imewauma wengi ambao hujiona wametoboa maisha kwa sababu vipato vyao ni milioni moja au mbili. Sasa kusikia kuwa bado ni maskini ndio wanashangaa.
Hawa ndio wale wakiona mtu anatoa milioni tano wanamuita fogo