Basi kwenye battle usifiche information. Usifiche modern weapons use them. Sasa ushajua umaskini ni zaidi ya kukosa basic needs ulizozitaja food, clothes and shelter. Million 5 ni peanut tuHicho ndo ulich ona tu,the good things,hiyo principle of management course chuo nazijua no new
Basi tufanye ni kidogo. Umefurahi?Kwamba kwa sababu hiyo 5M anapokea mkuu wa mkoa basi ni nyingi?
Umaskini ni nini mkuu? Unapimwaje au unapimwa katika scale gani?Wewe kama ni mkristo kasome upya biblia acha kujificha kwenye unyonge. Biblia inamtaka mtu mwema aache urithi kwa watoto na watoto wa wanawe
Mithali 13: 22 kaisome vizuri kama wewe ni mkristo. Hata huyo Mungu alimuumba Adam akamweka bustani ya Eden ikiwa na kila kitu ambacho angekiitaji. Huo mstari hapo juu unakutaka wewe kama kweli ni mtu mwema uache urithi wa mali kwa wanako na wajukuu zako.
Sasa unaweza kuacha urithi kwa Hao wote kama wewe ni masikini??
Haya hongera na kuwa na jioni njema.Kujipata ni perception ya mtu na si fact, Afya na mungu hawalipi ya international school
Khakika mkuuWamesomea kazi ili kudhibiti njaa waliyonayo,lakini infact si wasomi.
Zambia,Zimbabwe,Niger,Uganda,Rwanda na nyingine tu nyingi ambapo mpaka China ikasamehe baadhi ya madeni.Sijasema haliwez kukugusa,
Haya nambie in last 20 years ni nch ngapi za africa wananchi wameteswa na madeni ya nchi zao ? Kidunia yenyewe taja nchi 5 tu ndani ya miaka 20 zilizo default
Wananchi vipato vyao viliathirikaje ?Zambia,Zimbabwe,Niger,Uganda,Rwanda na nyingine tu nyingi ambapo mpaka China ikasamehe baadhi ya madeni.
Uganda mpaka China wakakamata Uwanja wa ndege
Sawa MO.Maisha yana expenses nyingi si kula tu. Milioni tano haitoshi kwa maisha ya leo
Mkuu,
Hakuna mahali umetoa takwimu za kiuchumi/kimahesabu kusupport hoja zako, yaani umeendeshwa na mihemko ndio maana utapata upinzani kimtazamo. Huwezi kusema 5m ni masikini bila kutoa facts za kuichumi, huwezi kusema mtu wa 5m per month hata milo mitatu kamili ni shida tukakuacha tu upotoshe jamii.
5 Million, pesa nyingi sana aisee...na hii Tz ni wachache mno wanafikia hicho kiwango.Mkoani mtu anayeweka kibinndoni 2M anamaisha mazuri sana, gharama za maisha ziko chini kiasi ukilinganisha na Dsm.
Usitishe watu aiseee, hata humu wenye 5M kwa mwezi wanahesabika, mtu anayeingiza 5M kwa mwezi kama ni mfanyabiashara ujue hizo assets au mzunguko wake kwa mwezi sio mchezo...kama ni mwajiriwa basi hiyo kampuni au taasisi sio ya kitoto...
Hoja yako ni Kwa miji ya DSM na Arusha na Dodoma , kuna miji hapa tz ukiwa na mshahara wa laki 5 , unaishi kifalme
Wenzako hawaweki mabandiko bila kufanya tafiti, yaani hawajiandikii tu kutoka kichwani. Ni tafiti kwa tafiti. Wakiema $2.15 wameshaweka vigezo vya binadamu wa kawaida kuishi, ndio maana ikaitwa estimated amount.Hata hizo Data au takwimu ni mitazamo ya Watu.
Ni sawa na aliyesema maskini ni yule anayeishi chini ya dola moja. Huo ni mtazamo wake. Na sio Fact. Kwa sababu zipo jamii zimaishi vizuri pasipo kutumia pesa hata shilingi moja.
Milo mitatu usifikiri ni hiyo iliyojaa wanga. Hapa tunazungumzia balanced diets, kisha gari kali ambayo mafuta hayasumbui, watoto wanasoma shule nzuri, mavazi ya kisasi, jumba zuri.
Haya embu niambie hiyo milioni tano inatosha nini hapo.
Ndio maana kwa nchi yetu mtu anayelipwa milioni tano hata TRA akifika kwake kuna maisha wakiona anayo lazima waseme ni mwizi.
Kwa sababu milioni tano ni maskini aliyechangamka.
Huko hata ndege hazifiki mkuu 😀Kifalme😃
Hiyo pesa hata nauli ya ndege tuu haitoshi Mkuu. Hiyo kifalme inayozungumzia ni ipi.
Wenzako hawaweki mabandiko bila kufanya tafiti, yaani hawajiandikii tu kutoka kichwani. Ni tafiti kwa tafiti. Wakiema $2.15 wameshaweka vigezo vya binadamu wa kawaida kuishi, ndio maana ikaitwa estimated amount.
Wewe unaandika hisia binfasi tu, hazina tafiti..ni mihemko yako tu. Walau basi ungeenda kwa jamii fulani na kufanya utafiti ili uje uisemee, nenda pale Makanya kwenu ufanye utafiti, utaeleweka.
Huko hata ndege hazifiki mkuu 😀
Hawafanyi hivyo kwa hisia wala mtazamo wao, wanafanya tafiti mkuu. Wakisema below $2.15 ni masikini wana vigezo tena vya msingi kabisaWanaweka vigezo kwa mitazamo yao na hisia zao.
Hao unaowaita wenzangu wanaposema maskini ni chini ya dola moja huo ni mtazamo wao. Hauna úhalísia. Kama utasema ufuatao hoja yao kimantiki
Hawafanyi hivyo kwa hisia wala mtazamo wao, wanafanya tafiti mkuu. Wakisema below $2.15 ni masikini wana vigezo tena vya msingi kabisa
Nipe vigezo vyako, lete takwimu zako ili tujadili kwa hoja.
Kwa hiyo bwana Robert haya ni maoni yako na mtazamo wako tu si uhalisi? Kwamba mtu anaepata 5m kwa mtazamo wako ni nasikini ila si uhalisia?Wanaweka vigezo kwa mitazamo yao na hisia zao.
Hao unaowaita wenzangu wanaposema maskini ni chini ya dola moja huo ni mtazamo wao. Hauna úhalísia. Kama utasema ufuatao hoja yao kimantiki