Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mleta uzi ni mtotoYah tupo huku uswahili tunaishi na tunapendeza kwa mshara huo wa muhindi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta uzi ni mtotoYah tupo huku uswahili tunaishi na tunapendeza kwa mshara huo wa muhindi.
Ni kweli bado huyajui maisha ila kwenye maisha kuna-kujifurahisha inarusiwa tumia haki yako ya kujifurahishaIshu sio kuishi.
Watanzania wapi tunakwenda.
Kinajadiliwa kingine mnaingiza mengine.
Kwani haiwezekaniki mtu kuishi kifukara?
Analeta nyuzi zake za mambo ya kijinga jinga ukisoma tu nyuzi zake unaona ni mtoto ambaye hayajui maishaSio mtoto.
Huyu ni mpumbavu tu.
Bora ya wazungu wanatumia kipimo, ila wewe unatumia hisia zako alafu unataka watu wakuamini maisha sio marahis hivyo
Unasafari ndefu sana kifikra sababu unaishi kwenye fantasy world
Haya maskini wenzangu mmesikia matajiri wanavyotusimanga?? 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23]Upo Dar ? Unakaa nyumba ya kupanga au umejenga ?
Ni kweli bado huyajui maisha ila kwenye maisha kuna-kujifurahisha inarusiwa tumia haki yako ya kujifurahisha
Wagonjwa wa akili kumbe mko wengi hiviMilioni tano kwa mwezi ni kama 160,000 kwa siku, huwezi kumudu milo mitatu Serena Hotel, bado ni masikini wa kutupwa
Huo ni ukweli mtupu. Una 5M kwa mwezi halafu unaishi kwenye hotel ya nyota tano kwa maana unakula, unalala na unakunywa katika hoteli hiyo. Hapo unautafuta umasikini kwa kuishi maisha ambayo yapo juu ya kipato chako. Lakini kwa wale ambao wanaishi maisha ya kawaida hutwo tuela tunatosha kwa kubadilisha mboga, malazi na kinywaji bila wasiwasi.Milioni tano kwa mwezi ni kama 160,000 kwa siku, huwezi kumudu milo mitatu Serena Hotel, bado ni masikini wa kutupwa
Tena na chenji inabaki kabisaSerena hotel sio SI unit ya mlo, pale unalipia na majengo, ila kwa 160K unaweza nunua vitu ukapika home milo mitatu mizuri sana, + kuajiri mpish special wa familia mwenye cheti kabisa hahaha
Wew ndio hujui, lini tumeshuka ? Latest gdp per Capital ya Tz ni ngapi ?Zinaitwa maskini kwa kutumia gdp per capita income kipindi cha magufuli gdp per capita ilipanda tukaondoka kwenye nchi maskini kipindi cha samia gdp per capita imeshuka tumerudi tena kwenye kundi la nchi maskini
Nimeshangaa sana na hiki ulikua hukijui hivi huko shuleni mnasomaga au mnasukuma siku ziende
Hujui gdp per capita ndo kipimo cha kujua nchi ni maskini au tajiri na bado hujui aiseeee
Nyuzi zako nyingi zinaonyesha bado ni mtotoNani anayajua maisha sasa?
Au wewe kujua gdp yako ndio unaita maisha unayajua?
Kipindi cha magufuli tulipanda sahivi tumeshuka na hili tena hulijui pole sanaWew ndio hujui, lini tumeshuka ? Latest gdp per Capital ya Tz ni ngapi ?
Hapana mkuu wapo wengi sana wanapata zaidi ya hiyo, wanasiasa wenye vyeo, wanajeshi wenye vyeo, watumishi wa kwenye mashirika na mamlaka za serikali kwenye vyeo, watumishi wa taasisi na kampuni kubwa binafsi wenye vyeo, wafanyabiashara wenye mitaji mikubwa, nk
[emoji23][emoji23][emoji23] watu mna ushushushu sana Hadi mmechungulia avatar mkajua imetoka kwe Nye simu gani[emoji23][emoji23]Wenye hela hawawezi weka avatar kama aliyoweka yeye.. hizo editing za picha zinapatikana infinix sijui [emoji1787]
Ni maskini mwenzetu, aje tupeleke CV kwa Boss la DP World
Nyuzi zako nyingi zinaonyesha bado ni mtoto
Bado uyajui maisha bwana mdogo Ukikua utaacha unaishi kwenye fantasy worldKwa uelewa wako mtu mwenye kipato cha 300,000 utamweka kundi la maskini au Fukara?
Unaelewa tofauti ya hayo Maneno
Ukweli mchungu. Mungu atufikishe kwenye viwango hivyo vya juu