Kama mfalme Zumaridi sio Mungu basi jeshi la polisi limpeleke Mungu halisi mahakamani kuthibitisha uongo wa mfalme Zumaridi

Polisi huwa wanatia huruma huko mahakamani iwapo mshitakiwa ana mawakili watukutu.

DC Zomboko wa Ubungo na kamatakamata ya Dadapoa ile kesi itakuwa imefutwa kimyakimya.

"Wanauza miili yao halafu wao wanabaki na nini?"

"Wateja wao wako wapi?"
 
Nchi hii mara ni secular state, mara hawataki watu wajiite miungu yaani haieleweki!

Na Kabudi alipomuita Magufuli 'mheshimiwa mungu' hakuna aliyemsumbua yeye wala huyo mungu wake
Inaonekana ni nchi isiyojua inachokisimamia, ipo ipo tu.
 
Polisi huwa wanatia huruma huko mahakamani iwapo mshitakiwa ana mawakili watukutu.

DC Zomboko wa Ubungo na kamatakamata ya Dadapoa ile kesi itakuwa imefutwa kimyakimya.

"Wanauza miili yao halafu wao wanabaki na nini?"

"Wateja wao wako wapi?"
Ni aibu sana kuwa na watu mbumbumbu aina ya zombokoko.
 
Hivi kujiita Mungu ni kosa kisheria? Kwa kifungu gani?
sio kosa hata kidogo maana serikali haina dini. Na mungu ni kitu cha kufikirika hakuna ajuae kama ni huyu au ni yule. So hata wewe ukijiita mungu ni sawa tu maana miungu yenyewe ipo kibao. Nashangaa sana watu mitaani wanaitana makamanda lakidi wanadunda tu toad, akati ni cheo cha wanajeshi wetu.
 
Muacheni mama wa watu apige pesa za wapumbavu, au mnataka mama wa watu akajiuze wakati ameona fursa nyepesi bila kutumia jasho
Hua ananifurahisha sana anavokata mauno. Anaonekana moto sana yule dada.. Anaekula pale anafaidi aiseee
 
Naona kosa la msingi ni pale alivyokuwa anawaambia watoto wamtambue kuwa ni Mungu. Hapo ni Kosa kwa sababu hiyo kauli inaweza kupelekea makosa mengine mengi pale watoto watakapo muamini na kuanza kufuata kila anacho waelekeza wakijua ni maagizo ya Mungu hivyo hawastahili kupinga.

Kwa maana hiyo angekuwa anaongea na watu wazima wenye akili timamu halingechukuliwa kama Kosa kwani wanauwezo wa kujua mbivu na mbichi au niseme wanaweza kuwajibishwa kwa chochote watakachofanya kinyume na utaratibu bila kujali kama wameagizwa na mtu anayejiita mungu
LAKINI muhimu zaidi hajasajili ili atambulike rasmi na kupewa taratibu zinazofutwa katika nchi husika
 
Kwa hiyo hayo mambo ya Mungu inatakiwa wafundishwe watu wazima tu siyo watoto?
 
Waumini wanavomuelewa sasa nawaza angekua wakiume alafu atake kuwatembezea Mbolibo angeutembeza anavotakaa
 
Wewe ni mpuuzi

Nani kakwambia Biblia ni kitabu cha wakristo peke Yao...

Yesu mwenyewe hakuwa Mkristo unasemaje ni kitabu cha wakristo.

Kwenye Biblia Kuna vitabu vya Karne na Karne kabla ya ujio wa yesu.

Huwa tukiwaambia wafundisheni watu Logic reasoning mnatuona wapumbavu. Hakuna mtu alieiva kisawasawa anaweza kuwa muumini wa hizi dini zenu za takataka iwe uislam au ukristo. Mtu unaambiwa kula nyasi na unakula. Wengine dini Yao inawaambia kuoa mtoto wa miaka 12 ni sawa.

Hiyo Biblia inasema Mungu alituumba Kwa mfano wake Mwenyewe Sasa Kuna ubaya Gani nikitumia hiyo Biblia kusema Mimi ni Mungu.

Kama Binadamu amemzaa binadamu Kwa mfano wake Mwenyewe, huyo aliezaliwa anashindwaje kuwa binadamu. Natamani sana hiyo kesi iende viral tuone examination za wanasheria Vs Jamhuri
we
 
Nashangaa watanzania kujadili.wagonjwa wa akili...tumekua wapumbavu kiasi hiki
 
Ni maneno tu haya tushayazoea ila kuna siku utakuja kujuta sana na hayatokufaa majuto yko
Kwani wewe Kuna siku hutajuta?

Hivi wanaojuta wote Dunia hii ni watu wasioamini hizo dini zenu ?

Acha kutisha watu ng'ombe wewe
 
Kwa hiyo hayo mambo ya Mungu inatakiwa wafundishwe watu wazima tu siyo watoto?
Watu wote wanafundishwa wakiwemo watoto
LAKINI kama unataka kuanzisha dhehebu lako tofauti na yaliyopo LAZIMA usajili ili ufahamike na upewe taratibu zinazofuatwa kwa nchi husika.
Tukiruhusu kila mtu akitoka usingizini aanze kuhubiri ndio tunaishia kwenye mauaji kama yale ya Mchungaji Kibwetere kule Uganda alivyo ua watu kwa mamia au mauaji ya hivi karibuni kule Kenya kwenye misitu ya Shakahola (mchungaji Mackenzie) ambaye ameua watu kwa mamia pia
 
Hakuna tatizo lolote, kunatofauti gani watoto kumfuata mungu wanaemuona (zumaridi), na kumfuata mungu wasie muona (wa kwenye vitabu vya wazungu na waarabu)???
 
Hakuna tatizo lolote, kunatofauti gani watoto kumfuata mungu wanaemuona (zumaridi), na kumfuata mungu wasie muona (wa kwenye vitabu vya wazungu na waarabu)???

Zumaridi hajakatazwa kuhubiri TATIZO hapa ni kuwa hajafuata taratibu...
Kama unataka kuanzisha dhehebu lako tofauti na yaliyopo LAZIMA usajili ili ufahamike na upewe taratibu zinazofuatwa kwa nchi husika.
Tukiruhusu kila mtu akitoka usingizini aanze kuhubiri ndio tunaishia kwenye mauaji kama yale ya Mchungaji Kibwetere kule Uganda alivyo ua watu kwa mamia au mauaji ya hivi karibuni kule Kenya kwenye misitu ya Shakahola (mchungaji Mackenzie) ambaye ameua watu kwa mamia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…