wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Ficha hizo akili, watakuja kukuteka na dini zao. Inatakiwa tukutafutie ulinzi chap.. Kwanza kabla hujaenda mafichoni tupunguzie hizo akili kidogo boss.Kwani wewe Kuna siku hutajuta?
Hivi wanaojuta wote Dunia hii ni watu wasioamini hizo dini zenu ?
Acha kutisha watu ng'ombe wewe
Sasa watoto na taratibu za kisheria za kusajili makanisa katika nchi husika kuna uhusiano gani bro?? mbona kama unatuvuruga hapo, hoja yako imebadilishwa gia angani mzee. Umesha pata redbull Au mimi ndo akili yangu ni ndogo sana mpaka nashindwa kuelewa.Zumaridi hajakatazwa kuhubiri TATIZO hapa ni kuwa hajafuata taratibu...
Kama unataka kuanzisha dhehebu lako tofauti na yaliyopo LAZIMA usajili ili ufahamike na upewe taratibu zinazofuatwa kwa nchi husika.
Tukiruhusu kila mtu akitoka usingizini aanze kuhubiri ndio tunaishia kwenye mauaji kama yale ya Mchungaji Kibwetere kule Uganda alivyo ua watu kwa mamia au mauaji ya hivi karibuni kule Kenya kwenye misitu ya Shakahola (mchungaji Mackenzie) ambaye ameua watu kwa mamia pia
Kuanza matusi ni kushindwa hoja jikite kwenye hoja hta ukiniita fisi lkn sibadiliki🤣🤣🤣🤒 pole sanaaaKwani wewe Kuna siku hutajuta?
Hivi wanaojuta wote Dunia hii ni watu wasioamini hizo dini zenu ?
Acha kutisha watu ng'ombe wewe
Dini gani?Zumaridi Si Mkristo
Ulitakaje? Ulitaka fatwa na kukutana vichwa kama mujahideen??Ukristoni kila mtu anafanya analolihisi yy ni sawa
Kuna waumini wengi wa Kikristo hawafurahii wakatoliki kuwa na baba mtakatifu, kumuomba Maria na kuabudu kwa sanamu, kuna Wasabato wengi hawafurahii wengine kula kitimoto.Katiba inagusa watu na wananchi husika.
Chochote unachofanya hata kama kikigusa kiimani na watu wengi wakafuata ila kikiwa hakikubaliki kikatiba ni Jinai.
Yeye kama amesema ni mungu kweli, amesemea kanisa gan? Limesajiliwa? Na je ametumiq Biblia ambao Roman, KKKT, TAG, SDA wanatumia,
Waumini wa haya makanisa watajisikiaje?
Na hili sasa ndio Kosa lake kijinai.
Kwasababu italeta taaluki kwa jamii.
Na katiba inakataza kufanya jambo ambalo litaleta taaruki.
Anaweza akisema yeye mungu hana kosa, ila matokeo ya mpokeo ndio yakaleta jinai
Mfano wako naona uko irrelevant kidogo.Kuna waumini wengi wa Kikristo hawafurahii wakatoliki kuwa na baba mtakatifu, kumuomba Maria na kuabudu kwa sanamu, kuna Wasabato wengi hawafurahii wengine kula kitimoto.
Nusu ya Biblia ni vitabu vya Wayahudi, Wakristo hawana hatimiliki na biblia.Mfano wako naona uko irrelevant kidogo.
Mm nimesema kuwa Zumaridi anatumia biblia na kudai yeye ni mungu ndio kosa.
Angeandika kitabu chake na kudai yeye ni mungu, anakuwa hajavunja sheria wala katiba.
Ila kutumia Biblia ambayo weng wanaiamini na kujiita ni mkuu wa hiyo biblia inaleta taharuki.
Pia hii haina uhusiano .Nusu ya Biblia ni vitabu vya Wayahudi, Wakristo hawana hatimiliki na biblia.
Weee sema kweli???? Namie naombapo ka clip ka miuno yake au ulipigapo🤨😁😁???
Siwezi kujuta kamwe.Ni maneno tu haya tushayazoea ila kuna siku utakuja kujuta sana na hayatokufaa majuto yko
Haiwezekani mtu mmoja akawaendesha dunia nzima kwa stori zake za kusadikika, binadamu kaumbwa kudadisi na kusaka uhalisia...Ukristoni kila mtu anafanya analolihisi yy ni sawa
KudadadekiPolisi huwa wanatia huruma huko mahakamani iwapo mshitakiwa ana mawakili watukutu.
DC Zomboko wa Ubungo na kamatakamata ya Dadapoa ile kesi itakuwa imefutwa kimyakimya.
"Wanauza miili yao halafu wao wanabaki na nini?"
"Wateja wao wako wapi?"