Kama mfalme Zumaridi sio Mungu basi jeshi la polisi limpeleke Mungu halisi mahakamani kuthibitisha uongo wa mfalme Zumaridi

Simple!
Zumalidi hajaonewa amekamatwa kwa haki kigezo cha cha Uungu ni Kutoonekana dhahiri sasa kama yeye amekamatwa na Watu aliowaumba huyo ni Tapeli tu kama wale wanaosema yesu ni mungu kwa maana na yeye alikamatwa na watu aliowaumba na wakampa kisago wakamdhihaki (si ajabu walimshika na makalio)na ndio maana waislam tunapinga tukio hilo.
Mtume wa Mungu hawezi kudhalilishwa namna hiyo!

Waandishi wa Bible walisimuliwa Habari za Babu yake zumalidi wakaja kumpakazia Yesu.
 
Mzungu akusema yeye ni mungu sawa ila muaf6ika hastihili kuwa mungu. Hawa wametumwa, kwanza serikali haina fini wanamkamata wa nin8? Au wametamani yale makalio.
 
Nitajibu Yesu alifahamu kila hatua ambayo angepitia je Wao wanafahamu hatua wanazopitia kukabiliana na umauti?
Kwani mkuu kikawaida binaadamu hadi kufikia kifo chake si anapitia hizo hatua?
 
Mawakili wa jamhuri na mashahidi wao wanaingiaga mahakamani na mawazo kama haya, matokeo yake wakikutana na mawakili kama akina Kibatala wanajikuta wao wenyewe hawakielewi wanachokizungumza
 
Sidhani kuna kosa kujiita mungu. kwa wasiojua toka zamani mpaka sasa ilikuwepo na ipo miungu mingi sana.Ila pia yuko Mungu wa hiyo miungu yote.Yaani kuna dagoni Mungu aliye hai.


Polisi wanachojaribu kufanya ni kupunguza taharuki kwa wale wenye imani changa.
 
Hapa pagumu sana
 
Polisi huwa wanatia huruma huko mahakamani iwapo mshitakiwa ana mawakili watukutu.

DC Zomboko wa Ubungo na kamatakamata ya Dadapoa ile kesi itakuwa imefutwa kimyakimya.

"Wanauza miili yao halafu wao wanabaki na nini?"

"Wateja wao wako wapi?"
😁maswali ya Kibatala hayo.

Unaweza kujikuta unarusha makonde
 
Allah alimdharirisha sana mzee Mohamad. Alimpa Quran akashindwa kumfundisha kujua kusoma na kuandika.
Mpaka anakufa kwa kunyweshwa sumu, allah hakuwa kuja kumfundisha kujua kusoma na kuandika wala hakuwahi kuja kumuokoa dhidi ya sumu.
Ni mjinga na mpumbav atakayemuamini mtume ambaye hajui kusoma na kuandika.
Yesu alikuwa anajua kusoma na kuandika hiyo ni BC mpaka inafika AD Mohamad hajui kusoma na kuandika. Hii jinga mudi ni ya kupiga mpaka ijue kusoma na kuandika.
Mimi na elimu yangu, mtu ambaye hajui hata kuandika jina lake anataniambia nini?
Hapo ulipo ushawahi kumuona Allah au ni porojo tu za mtu ambaye hajui hata kuandika jina lake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…