Kama mnamuona Rais Samia ameshindwa kusimamia Katiba na kulinda rasilimali zenu muwaombe Wabunge wamuondoe kwa Ibara ya 46A ya Katiba

Matatizo yapo nchi hii kabla hata Baba na Mama yake hawajafikiria kumleta duniani na yatakuwepo baada ya kifo chake na changu.

Yapo mengi sana ya maana yanayofanyika huyo hawezi kuyaona ni wale wale watiifu kwa awamu ya JPM.
 
Wabunge unaowazungumzia ni wapi? Maana kwa sasa tuna bunge linalotetea serikali na maovu yake, kama tungekua na bunge linalowakilisha wananchi hili lingewezekana
 
Hilo ni bunge la ccm. Wananchi bado hatupata wabunge wakutuwakilisha.
Hiyo nikwel kabisa hatuna wabunge wa kutuwakilisha tunapowachagua wakifika huko wakiona asali tu wanawasahahu
 
Bunge lipi
 
Sasa mbona wananchi wanalia? Umeme hakuna, maji ya mgao, ufisadi na mikataba mibovu ...
Hii ni kwa sababu hatufatilii namna ya mokataba na asilimia kubwa ya watanzania mala nyingi huwa wanpenda kusikia lakin si kufatilia wanachoambiwa. Na watu ama media mbalimbali
 
Mpuuzi wewe, mlaumu kwanza hayati JPM kwa kuwapambania wabunge wasio na tofauti na stempu za benki.

Aliyefeli wa kwanza ni JPM aliyependa kusikia akipigiwa makofi muda wote bila ya kupenda kukosolewa.
Bunge gani la ngap ata kabla ya Magufuli liliwah ata kiweka nia ya kumwajibisha Rais?
 
We ni mjinga sn, kinyozi ananyolea sufuria kama umeme hakuna? maji hakuna unatumia haja ndogo?
Mpuuzi wewe, maisha siku zote yanaendelea. Kuna wale wafugaji wa Arusha na Singida mwaka mzima miti imekauka na bado mifugo yao inaishi, huwa wanawanywesha mikojo yao hao Ng'ombe?.
 
Bahati mbaya hatuna wabunge wa wananchi, tunao wa Magufuli
 
Kumwajibisha Rais unayajua madhara yake au ni maongezi tu ya humu jukwaani?.
Nchi itakumbwa na mafuliko? Au kimbunga? Acheni dhana potofu yote ni mchakato ya kikatiba tu! Tunataka uwajibikaji sio kuleana kwa kutuletea nadhalia zakufikirika hapa!
 
Kwani tz kuna wabunge? I mean wawakilishi halali wa wananchi?.......Tuanzie hapo kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…