Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Wabunge wapi unaosema wa KUFANYA hayo!!?
Hawa waliopo au wa 2100!!?
Tufanye KAZI tuache majungu !
Hawa waliopo au wa 2100!!?
Tufanye KAZI tuache majungu !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo yapo nchi hii kabla hata Baba na Mama yake hawajafikiria kumleta duniani na yatakuwepo baada ya kifo chake na changu.upuuzi wake uko wapi hapo? hakumsifu magufuli, anajuwa chanzo cha utawala huu mbovu ni magufuli, lkn bila magufuli samia milele asingeweza kuwa rais tz.
yeye anasema kutokana na matatizo mengi yanayoikabili nchi kwa sasa ni busara wabunge watumie katiba kumuondoa madaralani rais samia, kwa kuwa hana analoweza kulifanya likasaidi watanzania kuondokana na shida zinazowakabili..
Hayo yote yanapokuwa yanapatikana bado mleta mada atakuja na malalamiko mengine. Ni hulka ya kibinadamu kulalamika.Ni wale majangili wenzenu, kinyozi hanyoi, mchomeleaji hachomi, muuza juice baridi anauza na nini umeme hakuna? petrol imepaa, maji hakuna ni mgao kila kitu
We unaona ni sawa hali iliyopo?Hayo yote yanapokuwa yanapatikana bado mleta mada atakuja na malalamiko mengine. Ni hulka ya kibinadamu kulalamika.
Wabunge unaowazungumzia ni wapi? Maana kwa sasa tuna bunge linalotetea serikali na maovu yake, kama tungekua na bunge linalowakilisha wananchi hili lingewezekanaKila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Hiyo nikwel kabisa hatuna wabunge wa kutuwakilisha tunapowachagua wakifika huko wakiona asali tu wanawasahahuHilo ni bunge la ccm. Wananchi bado hatupata wabunge wakutuwakilisha.
Shughuli za kiuchumi zinaendelea kama kawaida. Huwezi kukwepa uwepo wa umaskini na maskini popote pale duniani.We unaona ni sawa hali iliyopo?
Bunge lipiKila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Hii ni kwa sababu hatufatilii namna ya mokataba na asilimia kubwa ya watanzania mala nyingi huwa wanpenda kusikia lakin si kufatilia wanachoambiwa. Na watu ama media mbalimbaliSasa mbona wananchi wanalia? Umeme hakuna, maji ya mgao, ufisadi na mikataba mibovu ...
Kuna kazi inaendelea huko mikoani sisi wa humu JF hatuwezi kuiona kwa mapana yake.Jpm alikua na ajenda zake binafsi kuhusu hilo bunge,kwa sasa hayupo wabunge waisimamie serikali.
Bunge gani la ngap ata kabla ya Magufuli liliwah ata kiweka nia ya kumwajibisha Rais?Mpuuzi wewe, mlaumu kwanza hayati JPM kwa kuwapambania wabunge wasio na tofauti na stempu za benki.
Aliyefeli wa kwanza ni JPM aliyependa kusikia akipigiwa makofi muda wote bila ya kupenda kukosolewa.
We ni mjinga sn, kinyozi ananyolea sufuria kama umeme hakuna? maji hakuna unatumia haja ndogo?Shughuli za kiuchumi zinaendelea kama kawaida. Huwezi kukwepa uwepo wa umaskini na maskini popote pale duniani.
Kumwajibisha Rais unayajua madhara yake au ni maongezi tu ya humu jukwaani?.Bunge gani la ngap ata kabla ya Magufuli liliwah ata kiweka nia ya kumwajibisha Rais?
Mpuuzi wewe, maisha siku zote yanaendelea. Kuna wale wafugaji wa Arusha na Singida mwaka mzima miti imekauka na bado mifugo yao inaishi, huwa wanawanywesha mikojo yao hao Ng'ombe?.We ni mjinga sn, kinyozi ananyolea sufuria kama umeme hakuna? maji hakuna unatumia haja ndogo?
Bahati mbaya hatuna wabunge wa wananchi, tunao wa MagufuliKila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania tusikwame kwa kila kitu tunapoishi hapa nchini, halafu sasa kila kitu hovyo. Maana yake Mkuu wa nchi amekwama kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Watanzania kila jimbo tuwatume Wabunge wetu waungane ili wapitishe Azimio la kumuondoa Rais Samia ili tusiteseke kama sasa.
Ibara ya 146A ilwekwa ya nini?Kumwajibisha Rais unayajua madhara yake au ni maongezi tu ya humu jukwaani?.
Nani aliyekwisha kuitumia tangu rais Nyerere mpaka huyu Samia?.Ibara ya 146A ilwekwa ya nini?
Nchi itakumbwa na mafuliko? Au kimbunga? Acheni dhana potofu yote ni mchakato ya kikatiba tu! Tunataka uwajibikaji sio kuleana kwa kutuletea nadhalia zakufikirika hapa!Kumwajibisha Rais unayajua madhara yake au ni maongezi tu ya humu jukwaani?.
Pumbavu, kama una kazi upo busy na haya ni majungu ulipost nini? Kwa nini usiendelee na kazi zako?Wabunge wapi unaosema wa KUFANYA hayo!!?
Hawa waliopo au wa 2100!!?
Tufanye KAZI tuache majungu !
Kwani tz kuna wabunge? I mean wawakilishi halali wa wananchi?.......Tuanzie hapo kwanza.Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.