Notorious_Marcc
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 2,598
- 6,147
Hoja zao si ushahidi wa kisayansi, ni attempt za ku-link logic na imani, lakini si lazima zikukolee. Ni sawa na kujaribu kuelezea ladha ya pilipili kwa mtu asiye na ulimi – unaweza ongea sana, lakini mtu hawezi kufeel.Una uhakika gani kwamba Mungu aliumba ulimwengu?
Au unatetea hoja za kihuni za kutungwa na kina Aquinas zisizo na uthibitisho wala ushahidi wowote ule.
Hao philosophers wako ulio wasoma wana uhakika na uthibitisho upi kwamba Mungu ndio aliumba ulimwengu?
Walimuona akiumba?
Au walifosi mawazo yao uchwara yasiyo na uhakika wala ushahidi?
Kuna sehemu nimekwambia nataka uthibitisho wa kisayansi?Unataka uthibitisho wa kisayansi kwamba Mungu ndiye aliumba dunia?
Ni kipimo gani cha kisayansi kinaweza kumpima Muumbaji wa kipimo?
That's like trying to use a thermometer to measure ambition. It doesn't work.
Science inafanya kazi ndani ya mfumo wa universe ,not beyond it. Kutaka "proof" ya Mungu kisayansi ni kama kuuliza kamera ya CCTV ikuonyeshe nani aliiunda CCTV.
Kama si Mungu, ni nani basi aliumba ulimwengu?
Matter ilijiumba yenyewe?
Energy iliamka asubuhi moja na kusema, "Leo nataka kuwa Galaxy"?
That’s like believing kamusi ilijandika yenyewe baada ya kurushwa hewani na upepo. Hii ni comedy ya quantum level.
Unasema tusitumie vitabu kama Biblia, Quran au Torati kwa sababu ni "uchwara".
Swali dogo:
Kama mtu asiyemuamini Mungu haamini vitabu vya dini, halafu anauliza kuhusu Mungu, si kama kufunga macho na kuuliza kama taa inawaka?
Hauwezi kuthibitisha kuwepo kwa Mungu kama unavyothibitisha uzito wa mawe.
Usipokubali uwepo wake, basi lazima ukubali kwamba dunia hii iliumbwa kwa bahati mbaya iliyo na mpangilio mkali kama msafara wa kijeshi.
That sounds more insane than believing there's a God.
“The absence of proof is not the proof of absence.”
Na kuamini kuwa hakuna Muumba kwa sababu huoni, ni kama kusema "nimefunga macho, hivyo jua halipo.
So before you throw away the idea of God, jiulize: ni busara gani kuamini kuwa “nothing” ilizaa “something” bila sababu, bila mwelekeo, bila nia — halafu ikatufikisha hapa ambapo wewe unataka “uthibitisho”?
Mambo mengine hayataki ushahidi wa maabara ,, yanahitaji unyenyekevu wa akili, sio ujeuri wa lugha.
Imani (faith) inaweza kuwa hata ya uongo.Hoja zao si ushahidi wa kisayansi, ni attempt za ku-link logic na imani, lakini si lazima zikukolee. Ni sawa na kujaribu kuelezea ladha ya pilipili kwa mtu asiye na ulimi – unaweza ongea sana, lakini mtu hawezi kufeel.
Kwa hiyo, kama unatafuta proof kama ya gravity au DNA, basi hapa uko wrong neighborhood bro. Hapa ni faith meets philosophy, si lab ya physics.
Ili jambo lithibitike kuwa ni ukweli linahitaji kuwa na sifa gani?Kwanza kabisa, hujathibitisha Mungu yupo.
Na kama hujathibifisha hilo, utajuaje Mungu yupo kweli na hizo habari za Mungu si hadithi za watu tu?
God doesn’t need your validation. He’s not campaigning for existence. Kama huamini Yeye yupo, it’s fine—He still believes you exist.Kuna sehemu nimekwambia nataka uthibitisho wa kisayansi?
Nimekwambia hivi, una uhakika na uthibitisho upi wa kwamba Mungu ndio aliumba ulimwengu?
Hivi una elewa swali wewe?
Una elewa kiswahili?
Very strategic question.Ili jambo lithibitike kuwa ni ukweli linahitaji kuwa na sifa gani?
If God exists let him come to speak for himself.God doesn’t need your validation. He’s not campaigning for existence. Kama huamini Yeye yupo, it’s fine—He still believes you exist.
But be careful, denying the sun while staring straight at its light only proves one thing: you've chosen to close your eyes.
Kikwazo cha kwanza kabisa kupita kuelekea kwenye uthibitisho ni jambo kuwa logically consistent.Ili jambo lithibitike kuwa ni ukweli linahitaji kuwa na sifa gani?
Kama unahitaji hundred percent certainty kabla ya kuamini kitu, basi huenda hata hujui kama mama yako ni mama yako kweli — unless uwe umewahi kufanya DNA test mwenyewe?Imani (faith) inaweza kuwa hata ya uongo.
Sasa una uhakika upi kwamba hiyo imani yako ya Mungu ni ukweli hundred percent?
Una uhakika upi kwamba Mungu aliumba ulimwengu?
Hao philosophers wako wana uhakika upi kwamba Mungu aliumba ulimwengu?
"God doesn't need anyone to speak for Him, but people share their understanding of Him based on faith, experience, and scripture. Just like love or justice, not everything true needs to appear physically to be real.If God exists let him come to speak for himself.
Why are you speaking on his behalf?
Did he beg you to speak for him?
Kumbe basi, mateso sio kitu (entity) tunachoweza kusema kipo kwa maana kwamba ni moja ya mambo ambayo Mungu aliyaumba ambayo labda yanapita uelewa wetu wa sasa. Lakini yapo kwa maana kwamba watu wanapitia mateso kwa sababu ya kukataa Mungu, kukataa kutambua kwa akili lipi jambo jema la kufanya.Mateso ni maumivu yanayomgusa mtu ndani au nje, yanayomtengeneza au kumvunja—depending on how he responds.
Unatuambia kuhusu "chanzo kisicho na mwanzo chenye akili" kana kwamba hilo ni jambo linaloeleweka, linajulikana au kuthibitishika—lakini je umepataje uelewa huo?Kabla ya kuuliza kama Mungu yupo, tujiulize—tunaposema "Mungu", tunamaanisha nini?
Mungu (kwa muktadha wa mantiki huru) nitaeleza ifuatavyo
Chanzo kisicho na mwanzo, chenye akili au nguvu ya hali ya juu, kinachosababisha kuwepo kwa mpangilio, sheria, na uwepo wa ulimwengu huu.
Hii haimaanishi Mungu wa dini fulani. Inamaanisha:
Chanzo (source) – kitu au hali iliyosababisha kila kitu kilicho hai au kisicho hai.
Kisicho na mwanzo (uncaused) – kwa sababu kila kitu tulichonacho kina chanzo, tunahitaji kujiuliza ikiwa kuna kitu ambacho hakikuanzishwa na kingine.
Chenye akili au nguvu ya mpangilio – si lazima kiwe "kiumbe", lakini kinaonekana kupitia muundo wa akili, sheria thabiti, na utaratibu wa maumbile.
Kwa hiyo, unaweza kuweka dhana hii mezani na kujiuliza:
Je, kuna ushahidi wa "mpangilio" unaoashiria chanzo chenye akili au nia fulani?
Ikiwa ndiyo—unaweza kuchunguza dhana hii zaidi. Ikiwa hapana—basi bado hatuna msingi wa kuendelea mbele.
Dhana ya Mungu inayoweza kuchunguzwa na akili yoyote ni:
“A necessary, possibly intelligent cause of existence and natural order.”
Si sahihi kusema kwamba mateso "hayapo" kama entity eti kwa sababu yanatokana na kumkataa Mungu.Kumbe basi, mateso sio kitu (entity) tunachoweza kusema kipo kwa maana kwamba ni moja ya mambo ambayo Mungu aliyaumba ambayo labda yanapita uelewa wetu wa sasa. Lakini yapo kwa maana kwamba watu wanapitia mateso kwa sababu ya kukataa Mungu, kukataa kutambua kwa akili lipi jambo jema la kufanya.
Kufuatia maelezo hayo mazuri, sasa turudi kwenye hoja yenyewe: neno "Mungu", kwa sabubu hatuwezi kuthibitisha jambo fulani ni ukweli au ni uongo bila kujua nini maana ya jambo hilo.Very strategic question.
Ili jambo lithibitike, linahitaji kuwa na sifa zifuatazo:
- Ukweli (Uhalisia) – Lile jambo linapaswa kuwa la kweli kwa msingi wa ushahidi au uhalisia. Lazima liwe linaendana na hali halisi au matokeo ya uchunguzi wa uhakika.
- Ushahidi – Kunapaswa kuwepo na ushahidi wa moja kwa moja au wa kisayansi (mfano: vielelezo, ushuhuda wa mashahidi, rekodi, au vipimo vya kisayansi) vinavyolithibitisha jambo hilo.
- Uthabiti (Consistency) – Lile jambo linapaswa kuwa na uthabiti wa hoja au matokeo; linapochunguzwa au kujaribiwa mara kwa mara, matokeo yanabaki sawa.
- Mantiki (Logic) – Lihusiane kwa namna ya kimantiki. Lisiwe jambo la kubahatisha au linalokwenda kinyume na kanuni za akili na mantiki.
- Uwezekano wa kuthibitishwa (Falsifiability/Testability) – Lihusiane na hali ambayo mtu anaweza kulichunguza na kuthibitisha au kulikanusha. Kama jambo haliwezi kuchunguzwa kwa njia yoyote, basi ni vigumu kulithibitisha kisayansi au kiakili.
Kwa mfano, katika sayansi, jambo halitakubaliwa kama halijaonyeshwa kwa njia ya majaribio na uthibitisho wa wazi. Vilevile katika sheria, jambo linathibitishwa kupitia ushahidi na ushuhuda unaokubalika kisheria.
Uelewa wa Mungu hautokani na utafiti wa kisayansi, kwani sayansi inachunguza vitu vinavyoonekana na kupimika. Mungu, kwa asili ya dhana hiyo, ni metaphysical—yani yuko juu au nje ya ulimwengu wa kimaumbile.Unatuambia kuhusu "chanzo kisicho na mwanzo chenye akili" kana kwamba hilo ni jambo linaloeleweka, linajulikana au kuthibitishika—lakini je umepataje uelewa huo?
Je, ni utafiti wa kisayansi? Je, ni dhana inayotokana na uchambuzi wa kielimu? au ni muunganiko wa nadharia na Mila ulizorithi?
Umejifunza wapi kuhusu dhana hiyo?
Maana Mungu si kitu kinachofunuliwa wazi wazi lakini kwa maelezo yako bado kiligunduliwa na Je ni nani aligundua?
Umejifunza wapi kuhusu ugunduzi huo?
I agree.Si sahihi kusema kwamba mateso "hayapo" kama entity eti kwa sababu yanatokana na kumkataa Mungu.
Suffering exists as a real experience—watu wanateseka hata wale wanaomwamini Mungu kwa dhati. Biblia yenyewe inaonyesha watu wa Mungu walipitia mateso (mfano, Ayubu). Therefore, mateso hayawezi kuelezwa tu kama consequence ya kumkataa Mungu, bali ni sehemu ya maisha katika dunia iliyoanguka—sometimes for growth, sometimes as a mystery.
Kwako:Habari ya kuwepo kwa Mungu, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote haina logical consistency.
Absolutely true,,God didn't create suffering as an entity,,mateso ni matokeo ya uchaguzi wa mwanadamu.I agree.
Though my point is that God didn't create sufferings or evils. Suffering exists not as an entity but as men results.
Hili limeniliza sanaMaisha ni shobo zako mwenyewe ,kiufupi maisha ni biashara ya upatu tena pyramid schemes au ponzi scheme ..Mtu anazaa ili wengine wanaendelea kuzaani huko chini kama wajinga bila hata kufirikia yule anayemzaa atakumbana na mitihani ila mwisho wa siku atakufa tu haina ubishi.
Kiufupi dunia kote hata kwa wanyama ni matatizo ,kuna jamii kama nyumbu kazi yao kuliwa ila bado wanazaa tena wako wengi zaidi hapa utajua hata binadamu ni wajinga ...Bado maisha ni magumu ila bado wanazaana kama wathenge.
Kiufupi Maisha yapo kwa sababu umeyapa maana ila maisha ni mateso na ujinga ,na aliyeleta huu mfumo wa maisha haya ya sasa ni Mthenge mkubwa kabisa ..