Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

Sawa, maana kuendelea kukujibu kwa hoja ili hali wewe hutoi hoja zenye mantiki zaidi ya kejeli, ni kupoteza muda wangu,, naku ignore kwa sababu , hoja zako ni za kijinga jinga sana.
 
Unajuaje kuwa dhana nzima ya "kutokea wapi na kwenda wapi" si anthropic bias tu?
Tafakari kuhusu hii hoja yako.

Katika mfumo wetu wa jua, au ulimwengu kwa ujumla unafikiri haiwezekani hakuna uhusiano, kwa mfano kati ya kitu kimoja na kitu kingine, sayari moja na nyingine au galaksi moja na nyingine?
 
Unajuaje hicho unachokiita fine tuning ni lazima kitokane na kuumbwa na Mungu na hakiwezi kutojea kwa njia nyingine yoyote ile?

Hujajibu swali hili.
 
Tafakari kuhusu hii hoja yako.

Katika mfumo wetu wa jua, au ulimwengu kwa ujumla unafikiri haiwezekani hakuna uhusiano, kwa mfano kati ya kitu kimoja na kitu kingine, sayari moja na nyingine au galaksi moja na nyingine?
Nimekuuliza hivii.

Unajuaje kuwa dhana nzima ya "kutokea wapi na kwenda wapi" si anthropic bias tu?

Umeelewa swali?
 
Unajuaje hicho unachokiita fine tuning ni lazima kitokane na kuumbwa na Mungu na hakiwezi kutojea kwa njia nyingine yoyote ile?

Hujajibu swali hili.
Kwanza nikurekebishe mkuu kuwa sijaweka neno ' lazima kwenye hoja zangu.

Fine-tuning (ule ni mpangilio wa hali ya juu sana na wa ajabu wa ulimwengu)

Wengi tuamini ni kazi ya Muumba (Mungu) kwa sababu inaonekana kila kitu kimepangwa kwa uangalifu ili maisha yawezekane. Lakini pia kuna explanations nyingine kama:

Multiverse theory – kwamba kuna mabilioni ya universes, na hii yetu ni bahati tu kuwa "imefine-tune."

Anthropic principle – Tunashangaa kwa nini universe yetu iko hivi kwa sababu kama haingekuwa hivyo, tusingekuwa hapa kuuliza.


Kwa hiyo, fine-tuning haithibitishi moja kwa moja uwepo wa Mungu, lakini inatafsiriwa hivyo na mtu wa imani.
 
Kwa nini unasisitiza kuamini ikiwa kuamini si jambo linalofungwa na uthibitisho, unaweza kuamini lolote?

Kwa nini tuamini na tusitafute uthibitisho?

Kama si lazima fine tuning inasababishwa na Mungu, unahakikishaje imesababishwa na Mungu?

Hujajibu swali hili.
 
Hakuna Mungu.

Maisha hayahitaji Mungu ili yapate maana.

Maadili na misingi ya binadamu yanaundwa na binadamu mwenyewe.

Maisha yanahitaji nini ili yapate maana ?

Wewe unayajuaje hayo maadili ya msingi kwa mwanadamu ?
 
Ukiwa kwenye Nuru halisi huwezi teseka kuteseka ni tafsiri tu
 
Kweli ugumu umeletwa na kuzaliana sana kiasi cha nafasi kuwa za kugombania. Watu tungekuwa wachache, kungekuwa na unafuu mkubwa sana.
 
Kama Mungu ni wa haki kwa nini anaruhusu kuteseka kwa mwanadamu? Swali linalotafutiwa majinu mpaka mwisho wa dunia

Hapa shida inaanzia katika kulifasiri neno haki. Wengi wanachukulia suala la haki ni matamanio na anachokitaka mwanadamu ilimradi tu hata kama kina madhara, yeye hajali hilo. Huku ni kufikiri kitoto.

Haki ni kustahiki kwa jambo na kukaa mahala mapake.

Katika uwezo wa Mola ni kufanya mambo ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuyadiriki.

Kuna mateso au dhiki anazo zipata mwanadamu kama mtihani, kama adhabu na kwa lengo la kusamehewa makosa aliyo yafanya mwanadamu husika.

Leo hii utashangaa mtu analalamika kuteseka au kupatwa na maradhi, huku akisahau kuna mabaya mengi amewafanyia wenzake, aidha amdhulumu, au amedhuru mtu na mfano wake.
 
Kuamini si sawa na kuamini bila sababu. Siyo kwamba ninaamini chochote, bali ninaamini kile ambacho kina mashiko ya kutosha, hata kama si uthibitisho wa moja kwa moja. Faith is not blind — it's reasoned trust where full proof isn't possible.

Fine-tuning ya ulimwengu inaelezwa kwa njia mbalimbali — naturalistic multiverse theories or intelligent design. Lakini swali ni: ipi inaelezea vizuri zaidi na kwa urahisi (Occam’s Razor)?

Wengine huona kuwa Mungu ni causal explanation yenye nguvu kwa sababu ya intentionality na purpose, kitu ambacho sayansi haina uwezo wa kuelezea kikamilifu.

Kwahiyo sisemi Mungu lazima ndiye sababu — ninasema ni penye nguvu kubwa ya uwezekano na maana, kuliko alternative zisizo na intentional cause. It's a rational leap, not an irrational guess.

Kuamini haimaanishi kutokutafuta ushahidi, bali kuchagua imani inayoungwa mkono na mantiki pale ushahidi kamili unapokosekana.
 
Sawa, maana kuendelea kukujibu kwa hoja ili hali wewe hutoi hoja zenye mantiki zaidi ya kejeli, ni kupoteza muda wangu,, naku ignore kwa sababu , hoja zako ni za kijinga jinga sana.
Huna hoja zaidi ya kufosi imani zako uchwara ulizo aminishwa na kupumbazwa.

Unataka kufosi hekaya zenu za maandiko ziwe facts kumbe ni myths tu.

You need to restore your brain to factory settings.
 
Kama si lazima fine tuning inasababishwa na Mungu, unahakikishaje imesababishwa na Mungu?

Hujajibu swali hili.
 
Kama si lazima fine tuning inasababishwa na Mungu, unahakikishaje imesababishwa na Mungu?

Hujajibu swali hili.
Fine-tuning doesn't prove God, but it's consistent with a Creator hypothesis. Bila Mungu, inakuwa ngumu kuelezea kwa nini universe iko finely tuned namna hii bila random chance au multiverse, ambazo hazina ushahidi madhubuti pia.
 
Jambo linaweza kuwepo au kutokuwepo si kwa sababu linafikirika au halifikiriki; au kama ulivyoorodhesha hapo juu. Bali maarifa ndio hututhibitishia ikiwa jambo hilo lipo - ni ukweli au halipo- ni uongo.
Nitajie mfano wa jambo ambalo lipo ila halifikiriki?

Kisha niambie ni maarifa gani hayo utayoyatumia kulithibitisha ikiwa halifikiriki.
 
Haki nayozungumzia mie ni ya kwamba tunda kala hawa na adam...adhabu ya kifo napata mie mzabzab hapo inakuwaje sasa?

Haya wanasema ukifa na ulikuwa mpenda mbususu kama mzabza hapa....nitachomwa moto wa milele. Yaani mie mbuususu nimeanza kula nina mia 25. Sasa nina miaka 46 na 2027 nakufa. Yaani kula mbususu miaka 25 ndio nichomwe milele jamani na hapo sio kwamba nilikuwa nala mbususu every day
 
Fine-tuning doesn't prove God, but it's consistent with a Creator hypothesis. Bila Mungu, inakuwa ngumu kuelezea kwa nini universe iko finely tuned namna hii bila random chance au multiverse, ambazo hazina ushahidi madhubuti pia.
Unasema fine tuning si ushahidi madhubuti ila unaukubali kwa sababu inakupa jibu unalolitaka la Mungu kuwapo, lakini hukubali random chance au multiverse ambazo pia hazina ushahidi madhubuti, kwa sababu hazikupi jibu unalolitaka la Mungu kuwapo?

Huoni kuwa hapo unafanya selection bias ya kuchagua nadharia isiyo na ushahidi madhubuti inayokubaliana na jibu unalolitaka na kuikataa nadharia isiyo na ushahidi madhubuti isiyokubaliana na jibu unalolitaka?
 

Niliuliza "Mungu ni nani au ni nini?", Sijasema "Andika insha ya hisia kuhusu ugumu wa kuulizwa maswali".

Mkuu labda nikukumbushe hapa sio TIikTok ni swali rahisi tu - Mungu ni Mtu, roho, nguvu, wazo — au ni nini? Usiniletee fumbo halafu unishtaki kwa kukosa jibu la fumbo lako mwenyewe".

Nataka tafsiri ya Mungu kwa njia ambayo nitaweza kuithibitisha si kwa imani za dini pekee wala hisia za hofu, bali kwa namna ambayo inaweza kushikika, kuonekana, kusikika au kuhusiana na hali halisi ya mwanadamu.

Kama hawezi kufikika kwa njia yoyote ya kawaida ya uelewa wa binadamu, basi kwa nini tumwamini? Au hata tumjadili?"
 
Si selection bias, ni epistemic preference based on explanatory power. Fine-tuning inatoa coherent explanation ya why constants of nature are so precisely set — unlike random chance or multiverse ambazo either hazielezeki (random) au hazithibitishiki (multiverse).

Sikubali fine-tuning kwa sababu nataka Mungu awepo, bali kwa sababu ina seems more intellectually satisfying kuliko alternatives ambazo hazina predictive power wala testability. Mungu kama cause ya fine-tuning at least ana philosophical grounding (e.g., necessary being, intentionality) — si tu speculation ya “maybe kuna trillion universes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…