Conscience ni nini na inathibitishaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo?Yes, conscience ndiyo inanithibitishia that God exists.
Are you not forcing the notion that justice exists on me?You never did. I'm not forcing anything on you.
Umeona ni kheri urudishe mpira kwa kipa mkuu?, mana maswali kuntu hayo.Believe what you believe
Conscience ni dhamiri ya ndani (hisia ya kutambua mema na mabaya hata bila kufundishwa). Inaonyesha kwamba kuna moral law (sheria ya maadili) ambayo haikutungwa na binadamu bali imewekwa ndani yetu. Hii ni dalili kwamba kuna Mtoa hiyo sheria—Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote, na upendo wote.Conscience ni nini na inathibitishaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo?
Na kama conscience hiyo ipo na Mungu huyo yupo, kwa nini haizuii mabaya kufanyika?
Better yet, kwa nini Mungu huyo kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kufanyika?
Uhakika ni nini?Unauhakika gani kwamba mwaka 2000 ujao upo?
Kwani ili viumbe wawe na hiyari ni lazima kuwe na mabaya?Conscience ni dhamiri ya ndani (hisia ya kutambua mema na mabaya hata bila kufundishwa). Inaonyesha kwamba kuna moral law (sheria ya maadili) ambayo haikutungwa na binadamu bali imewekwa ndani yetu. Hii ni dalili kwamba kuna Mtoa hiyo sheria—Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote, na upendo wote.
Lakini kwa nini Mungu huyo haruhusu mabaya?
Kwa sababu ya free will (uhuru wa kuchagua). Mungu hakutaka kutuumba kama robots. Alitupa uhuru wa kuchagua mema au mabaya,,na huo uhuru ndio unafanya upendo na wema kuwa wa kweli. Bila uhuru, hakuna upendo wa kweli.
Kwa nini hakutengeneza ulimwengu usio na mabaya?
Anaweza,,lakini ulimwengu huo ungekuwa na viumbe wasio na hiari. Kwahiyo Mungu aliumba ulimwengu ambapo wema wa kweli unaweza kuteseka na kung’ara hata katikati ya mabaya, na kwa njia hiyo, anaonyesha upendo wake mkuu.
Conscience proves a moral law exists—implying a Moral Lawgiver (God). Evil exists not because God is powerless, but because He gave us free will. And real love and goodness require freedom—even the freedom to choose wrong.
Special Pleading logical fallacy.Swali lako ni irrelevant.
Hatujafika kwenye yupo au hayupo.
Umesema sijui ninachojadili.
That is not the case.
Special pleading logical fallacy imeingiaje hapo?Special Pleading logical fallacy.
BINADAMU ni ka AI iliyoasi, namna BINADAMU alivyoitengeneza,...Mwanadamu ni mnyama aliye-Advanced, hatuna utofauti na wanyama.
Umenijibu unajua unachojadili Interm ya sifa za maelezo ya kiumbe huyo[Mungu], Nkakubali sababu kukataa kungeonyesha nataka maana ninayoijua mimi.Special pleading logical fallacy imeingiaje hapo?
Mungu ni kiumbe?Umenijibu unajua unachojadili Interm ya sifa za maelezo ya kiumbe huyo[Mungu], Nkakubali sababu kukataa kungeonyesha nataka maana ninayoijua mimi.
Tena nikasema kujua maana si sawa na kusema moja kwa moja kama yupo au hayupo sababu maana zinaweza kuwepo nyingi.
Ila nikatilia shaka kwamba huenda hujui kwa uhakika kiumbe unachokijadili ukiachilia mbali maana hiyo.
Ukasema kwanini nasema wewe hujui unachojadili?
Nikaona nikuulize kwanza "yupo au hayupo" maana kujibu kwako yupo au hayupo kungenitoa shaka, ningesema kumbe unakijua kiundani kiumbe unachokijadili.
Maana jibu lingeweza kuwa "sijui" pia.
Jibu lako lingetosha kumuelezea vizuri hata hali zake kama Anafikirika? Anahisika? Anasikika? Anaoneka? Anaonjeka? au Anashikika?
Matokeo yake umesema nimejibu irrelevant question – hiyo ni special pleading ya hali ya juu, maana unajitengenezea kanuni tofauti za kujilinda bila kutoa maana na majibu ya halali.
Hapo ndiyo umejibu swali la yupo au hayupo? kipo au hakipo?Mungu ni kiumbe?
Wewe umesema sijui ninachojadili lakini wewe ndiye unaonekana huwezi kujibu kama Mungu ni kiumbe au si kiumbe.Hapo ndiyo umejibu swali la yupo au hayupo, kipo au hakipo?
Ndiyo mimi sijui chochote kuhusu istilahi "Mungu".Wewe umesema sijui ninachojadili lakini wewe ndiye unaonekana huwezi kujibu kama Mungu ni kiumbe au si kiumbe.
Sasa kwa nini umesema sijui ninachojadili?Ndiyo mimi sijui chochote kuhusu istilahi "Mungu".
Lakini ninapokutana na watu wanaojua kama wewe niko tayari kuhoji ili kujifunza.
That's why nataka nifahamu kwa undani kukihusu kutoka kwako.
Hii ni circular resoning - tunarudi kule kule.Sasa kwa nini umesema sijui ninachojadili?
Hujaeleza kwa nini unasema sijui ninachojadili, hususan kama wewe mwenyewe pia hukijui.Hii ni circular resoning - tunarudi kule kule.
Suali lako ni critical mkuu but the World Would not make sense if every thing was to be perfectConscience ni nini na inathibitishaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo?
Na kama conscience hiyo ipo na Mungu huyo yupo, kwa nini haizuii mabaya kufanyika?
Better yet, kwa nini Mungu huyo kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kufanyika?
Kwani Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao una make sense and everything is perfect?Suali lako ni critical mkuu but the World Would not make sense if every thing was to be perfect
Kwa hakika hii mada ni ngumu sana
Hujaeleza kwa nini unasema sijui ninachojadili, hususan kama wewe mwenyewe pia hukijui.
Wewe una qualification gani kwenye jambo hili la kukupa credentials za kusema nani analijua hili jambo na nani halijui?
Where do you get to galls to tell me that?A