Wewe una distinction gani ya kukuhalalishia wewe kusema mimi sijui ninachojadili? Kipi kinakupa haki hiyo, hususan ikiwa umesema hata wewe hujui?Labda swali halikutakiwa liwe nani ana credentials hiyo itakua ni Ad hominem.
Kwani hapa tunajadili hoja au sifa za watoa hoja?
Kama huwezi kuelezea unachosema, kuelezea Mungu ni nani, yukoje, anapatikanaje, na yuko katika hali ipi yaani anaonekana? anasikika? anashikika? ananusika? anaonjeka? au hata kuthibitika kwa njia yoyote ya uhalisia basi unajichanganya unapodai unajua unachokijadili.
Unapodai kitu kipo au hakipo bila uwezo wa kukieleza kwa kina wala kukionyesha kwa njia yoyote halisi, kimsingi unapinga hewa yaani hakuna kilichotokea.
Hoja ya Mungu, kwa msingi kama huo imebaki kuwa wazo tu na kuendelea kulazimisha kuijadili bila hata kuelewa hali ya hicho unachokijadili je, hiyo siyo dalili wazi ya kutokujua unachokijadili?
Mimi nikisema sijui, shida iko wapi? Ni msimamo sahihi wenye uelekeo wa kutaka kufundishwa, kwanini niseme najua kitu wakati sikijui?
Kama wewe unajua na una credentials za kutosha basi fafanua ili wote tuelewe vinginevyo hoja yako inavunjika huku ikifunikwa na jazba.
Mungu ni kiumbe?
That is great, Mungu aliweza kuumba chochote as well as PERFECT world…dunia ambayo opposite hai -exist.Kwani Mungu angeshindwa kuumba ulimwengu ambao una make sense and everything is perfect?
Parameters za kitu ku make sense Mungu alilazimika kuzifuata au aliziweka yeye mwenyewe?
Huyo Mungu yupo kweli au tumemtunga sisi tu?
Na ndio sababu zikaibuka dini just to comfort our fear on EarthHii dhana ya maisha na Mungu huwa fikirishi Sana Tangu enzi
You are making a fundamental flaw that aims to explain the existence of God but ends up belittling God.That is great, Mungu aliweza kuumba chochote as well as PERFECT world…dunia ambayo opposite hai -exist.
Activation ya Opposite and dualism created what is called Searching for Truth
. Up and down, bad and good , saddness Vs Happyness, pleasure Vs pain, peace Vs War …… hii opposite Mungu aliruhusu ili tupate kuutafuta Ukweli and in search of identity
Imagine, the World ambayo ina peace tu , only pleasure , only good , only Happyness—— kwa maana hiyo, kungekuwa na maana gani ya kujua kama kuna higher energy inayo monitor everything ?
But while others experiencing pleasure and peace ….. some are suffering ….. cancer , diabetes, . Some kids are born with debilitatîng damage and disease such as schizophrènie, mental disesease, Leukemia etc etc …..that gives us question to wonder and search for the truth, to reason and think ….
It is a cycle that no one is going to be punished for being that ….. The believer, the non believer….. theist and atheist, muslims, Xtian, Jews, Budha, Hindu and all that are the branches of the same tree….. hizi branches zinasumbuliwa na EGO CONSTRUCT iliyopekekea kuja na claims za Adhabu kaburini, moto, pepo and all that
Existance of God is more metaphorically and non physical beyond flesh comprehension
What about physical death and diminution ? Why the World seems to balanced, and the ecosystem ? The death and the living are all balanced…… imagine no death and birth continues……we would have been populated, true or false ?
Then who is controlling the whole thing ? I cant say God for sure ; but who ?
There must be a higher self energy beyond …..that is balancing the universe
Kusema sijui ni uadilifu wa kiakili ila wewe kudai unajua bila kueleza wala kuthibitisha si maarifa, ni kujidanganya kwa ujasiri.Wewe una distinction gani ya kukuhalalishia wewe kusema mimi sijui ninachojadili? Kipi kinakupa haki hiyo, hususan ikiwa umesema hata wewe hujui?
Hiyo superiority unaitoa wapi?
Nielezee mara ngapi? Unajua kusoma kwa ufahamu?Kusema sijui ni uadilifu wa kiakili ila wewe kudai unajua bila kueleza wala kuthibitisha si maarifa, ni kujidanganya kwa ujasiri.
Hakuna superiority hapa, kuna tofauti kati ya mtu anayesema ukweli na anayeigiza kufahamu.
Mimi nimesema sijui, wewe unadai unajua. Shida iko wapi? Kama unajua elezea basi sifa za hiyi dhana Mungu unayotaka tuijadili inaonekana? Inasikika? Inashikika? Inaonjeka? Inanusika? au inaweza kuthibitishwa kwa njia yoyote halisi?
Kama huwezi kuelezea hiyo dhana basi unachodai unajua ni ndoto tu.
You are making Sense Chief; but life challenges, evil and suffering make us grow Morally and SpiritualYou are making a fundamental flaw that aims to explain the existence of God but ends up belittling God.
Umemdogosha Mungu awe kama anahitaji kuumba katika parameters fulani tu, wakati dai ni kwamba Mungu ana uwezo wote.
Fundamentally, an all knowing, all capable and all loving God does not need to create a universe in which evil is possibke for that universe to make sense.
Because that God fundamentally defines what making sense is.
That is, that God, in principle, could have decided a perfect world without evil is what mkes sense, and evil cannit exist.
In such a universe, you wouldn't be able to even think that a universe without evil does not make sense, because you would not be able to think of evil, because evil would not exist.
You are only able to think that a world without evil does not make sense because evil exists in a universe that allows evil to exist.
Would you be able to ask to buy a red car in a world where red does not exist, is not perceivable in any way and you cannot even think of it?
So you missed the point.
The point is, if God is all that, then he could have created a universe in which evil does not exist and is imperceivable (if God couldn't have done that, then that Gid is not all capable).
So, if God is all capable, all knowing and all loving and could have created that universe, why did God not do so?
You are making Sense Chief; but life challenges, evil and suffering make us grow Morally and Spiritual
. God created balanced world évil and Good ….. then he gave us Free will to choose and Shape our path
Mkuu mbona unarudia rudia hayohayo, nilishakubaliana na sifa za Mungu wako uliyemtaja toka awali.Nielezee mara ngapi? Unajua kusoma kwa ufahamu?
Sijaelezea hapa kwamba nimeanza kwa kumjadili Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?
Kwani tunaposema 1 +1 = 2, moja yenyewe - si representation ya moja katika namba, moja yenyewe- inaonekana? Inasikika? Inashikika? Inaonjeka? Inanusika?
Unaposema inaweza kuthibitishwa kwa njia yoyote halisi unamaanisha nini? Na unajuaje hicho unachokiita halisi ni halisi si mawazo yako potofu tu?
Unapimaje uhalisi?
Unajuaje ninachodai ni ndoto na si wewe unachodai ninadai ninajua ni ndoto ni ndoto?
Kwa nini unaona ndoto haina maana?
Kifo ni haki ya kila kiumbe hai.Kifo ni adhabu kulingana na smulizi ya bwana adam na hawa....ukila tunda hakika utakufa
I admit. It is tough discussion ambayo uhalisia wake unakuwa affected na faith we holdKwanza freewill is just an illusion and it contradicts Gods perfect knowledge.
Lakini poa unazunguka palepale.
Una focus kwenye ulimwengu uliopo na kushindwa ku imagine ulimwengu usio na mabaya ambao Mungu mwenye uwezo wote angeweza kuuumba.
Na hiki jambo, la ku u imagine huo ulimwengu bila kufikiria sana huu, ni tatizo kubwa sana.
Kwa sababu ushauzoea ulimwengu huu.
You fail to imagine what is possible because you are too used to what is the actual.
Kwanza kabisa, sifa si za Mungu wangu.Mkuu mbona unarudia rudia hayohayo, nilishakubaliana na sifa za Mungu wako uliyemtaja toka awali.
Kama sifa tu anazo lakini bado hujaonyesha yukoje, wapi, au vipi anapatikana?
Kusema "Ana uwezo wote" ni kama kusema dragon ana mapembe ya dhahabu, Ni nzuri ukiisikia, lakini hatujamuona kwa macho dragon.
1+1 inaeleweka na kuthibitika ni mbili, haya ithibitishe na hiyo dhana "Mungu" kama ipo na inaeleweka.
Na ukiuliza ninajuaje kama uhalisi ni halisi? umejitoa kwenye hoja na kuingia kwenye mental games na hii inaitwa evading yaani kukwepa mzigo wa kutoa majibu kwa kurundika maswali kibao.
Hivyo hainiondoi kwenye mada.
Sababu ukidai kitu kipo, kazi ya kukielezea siyo ya kwangu ni yakwako.
Umetangaza kuwa una mkate, halafu unashindwa kuuonyesha tuuone kwa kivuli cha mnajua nazungumzia mkate gani?
Hiyo inakua hadithi na maigizo, siyo hoja.
Hiyari (uhuru wa kuchagua) maana yake ni uwezo wa kuchagua kati ya chaguo zaidi ya moja. Ikiwa viumbe wangeweza kuchagua mazuri tu, basi hiyo haingekuwa hiyari ya kweli,,,ingekuwa sawa na roboti zilizoprogramiwa kufanya mema tu.Kwani ili viumbe wawe na hiyari ni lazima kuwe na mabaya?
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao watu wana hiyari ya kuchagua mazuri na mazuri tu bila mabaya kuwapo?
Kwanza kabisa opinion yangu si muhimu sana, muhimu sana ni ukweli objective, ukweli tunaoweza kuupima kimantiki.I admit. It is tough discussion ambayo uhalisia wake unakuwa affected na faith we hold
I am interested to Know nini kinaku convinve kuwa kuna uwezekàno kuwa hakuna Mungu ?
What about death , invisible things that we feel but we canot touch, invisible things that we hear but we çant see….. hivi vyote havi ku convince kuwa kuna supernatural power ? -
I jnderstand kuwa hakuna atakaeweza kuja ku prove existence of God, no saint , no prophets. No seers …. But kuna some things vina trigger the believe
What is your opinion
?
Ni haki kivipi? Mbona kule kwenye maandishi ilikuwa presented kama adhabu. Nasema hivyo kwa sababu, tunaelezwa kuwa lengo la mwanadamu kuumbwa ilikuwa ili aweze kuishi milele kwenye bustani ya eden na akaijaze dunia under the condition kuwa asile lile tunda la pale kati. Akifanya hivyo basi hakika atakufa. Sasa inakuwaje kufa ni haki?Kifo ni haki ya kila kiumbe hai.
Nilikupa mfano wa baba anayempa mwanawe uchaguzi wa maziwa au sumu, ukamuita baba huyo mzembe, ingawa baba huyo hana ujuzi wote, upendo wote wala uwezo wote.Hiyari (uhuru wa kuchagua) maana yake ni uwezo wa kuchagua kati ya chaguo zaidi ya moja. Ikiwa viumbe wangeweza kuchagua mazuri tu, basi hiyo haingekuwa hiyari ya kweli,,,ingekuwa sawa na roboti zilizoprogramiwa kufanya mema tu.
Mungu angeweza kuumba viumbe wanaochagua mazuri tu, lakini hapo wangekuwa hawana hiyari ya kweli. Kwa hiyo, uwepo wa mabaya si kwamba Mungu alitaka mabaya, bali aliruhusu uwezekano wake ili uhuru wa kweli wa kuchagua uwepo. Bila uwezekano wa mabaya, hiyari inakuwa haina maana.
Hiyari ya kweli huwepo tu pale ambapo mtu anaweza kuchagua mema au mabaya. Mungu hakushindwa, bali alichagua kuumba viumbe huru hata kama huo uhuru unaweza kuleta mabaya.
Hii inafikirisha sana. Like tunaambiwa tunahitaji roho mtakatifu na wokovu kwanza ndio tumuelewe Mungu!Kwanza kabisa opinion yangu si muhimu sana, muhimu sana ni ukweli objective, ukweli tunaoweza kuupima kimantiki.
Tukianzia na hoja ya kifo, habari ya kifo inaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo. Mungu huyo angekuwepo asingekuwa mkatili kiasi cha kutenganisha watu wapendanao sana kwa kifo ambacho ni cha lazima.
Vitu kuwa invisible au visible hai prove lolote kama vipo au havipo. Kuna vitu vipo havionekani na kuna vitu vinaonekana ila havipo.
Point yako inaonekana logical superficially, but it misses a key distinction,, freedom without the possibility of evil isn’t freedom,,it's programming.Nilikupa mfano wa baba anayempa mwanawe uchaguzi wa maziwa au sumu, ukamuita baba huyo mzembe, ingawa baba huyo hana ujuzi wote, upendo wote wala uwezo wote.
Ila Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aliyekuwa na uwezo wa kumpa mtoto wake uchaguzi wa maziwa au juisi, ila hakumpa uchaguzi huo, kampa uchaguzi wa maziwa au sumu, unamsifia.
Huoni tatizo hapo?
Kati ya mtu anayefanya ubaya kwa sababu ubaya unawezekana kifanyika, na Mungu aliyeumba ulimwengu ambao unaruhusu ubaya kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezi kufanyika, nani kafanya ubaya mkubwa zaidi hapo?