Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Duniani Kuna falme mbili; Giza na Mwanga, kila falme Ina kazi yake, Wakati Mungu anaumba ulimwengu hakutaka kumlimit mwanadamu kwenye namna ya Kuishi, kufikiri, na kuchagua. Kila unachokiona Leo kwako au familia yako ni matokeo ya maamuzi ambayo ulichukua, au familia yako ilichukua. Hakuna wa kumlaumu, Ingawa Ipo ahadi ya kuwa mshindi endapo utakuwa royal kwenye ufalme wa Mwanga, wa Giza sijui.
Mungu anatupa uhuru wa kuchagua (free will), lakini pia anatufundisha consequences za choices zetu. Kama mzazi anavyomwambia mtoto "Chagua unavyotaka, lakini kumbuka, kila uchaguzi una matokeo yake."pia unasema katupa uhuru wa kuchagua?
unapatiaje uhuru mtu wakuchagua afu umuhukumu tena wakati ushampa uhuru wakuchagua?
Hakuna freewill kama hata kuzaliwa huchagui.Hoja ya kusema "freewill ni illusion" haikamiliki kwa sababu uhuru wa kuchagua huanza pale unapojitambua na kuchagua jinsi ya kuishi kulingana na hali zako.
Mandela hakuweza kuchagua kuzaliwa mweusi South Africa — lakini alichagua kupigania haki badala ya kunyamaza, alichagua kusamehe badala ya kulipiza kisasi.
Huo ni ushahidi tosha wa Freewill, kuchagua jinsi ya kuitikia mambo usiyoyachagua.
Mungu hajamlimit binadamu kwa kumpa uhuru wa kuchagua — free will,, Amri Kumi ni kama moral compass, si kizuizi, bali mwongozo wa jinsi ya kuishi kwa haki mbele za Mungu na wanadamu.Kama hajamlimit binadamu zile Amri kumi za Mungu logic yake ni nini ?
Na kama hajamlimit kwanini binadamu akifanya mambo mengine Ambayo hajawa limited Huyo Mungu anasema ni dhambi
sio sahihi hapo kwamba umpatie mtu uhuru achague chakufanya then umpe hukumu kwanini isiwe tu moja kwa moja kuwa ni sheria lazima uifate?Mungu anatupa uhuru wa kuchagua (free will), lakini pia anatufundisha consequences za choices zetu. Kama mzazi anavyomwambia mtoto "Chagua unavyotaka, lakini kumbuka, kila uchaguzi una matokeo yake."
So God doesn't force, but He holds us accountable because He gave us guidance and conscience. Freedom to choose haimaanishi freedom from consequences.
Hauchagui kuzaliwa, lakini ukishazaliwa, unapata uwezo wa kuchagua jinsi ya kuishi. Freewill si lazima ianze kabla ya kuzaliwa — inaonekana kwenye maamuzi unayofanya sasa.Hakuna freewill kama hata kuzaliwa huchagui.
Huelewi wapi?
Hauchagui kuzaliwa, lakini ukishazaliwa, unapata uwezo wa kuchagua jinsi ya kuishi. Freewill si lazima ianze kabla ya kuzaliwa — inaonekana kwenye maamuzi unayofanya sasa.
Choice exists within constraints,, nadhani wewe ndo huelewi.
iyapo ndio free will sasa
Mungu alitoa amri, lakini pia aliruhusu uchaguzi. Mwanzo 2:16-17: “And the Lord God commanded the man, ‘You are free to eat from any tree in the garden; but you must not eat from the tree of the knowledge of good and evil...”sio sahihi hapo kwamba umpatie mtu uhuru achague chakufanya then umpe hukumu kwanini isiwe tu moja kwa moja kuwa ni sheria lazima uifate?
usitumie ile neno free will
Kila kitu unachokutana nacho baada ya kuzaliwa ni matokeo ya kuzaliwa, na kama huna uchaguzi kuhusu kuzaliwa, huna uchaguzi kuhusu hayo mengine yote.Hauchagui kuzaliwa, lakini ukishazaliwa, unapata uwezo wa kuchagua jinsi ya kuishi. Freewill si lazima ianze kabla ya kuzaliwa — inaonekana kwenye maamuzi unayofanya sasa.
Choice exists within constraints,, nadhani wewe ndo huelewi.
Concept ya free will nadhani itakuwa inakupiga chenga mkuu 😎iyapo ndio free will sasa
Thibitisha Mungu alitoa amri.Mungu alitoa amri, lakini pia aliruhusu uchaguzi. Mwanzo 2:16-17: “And the Lord God commanded the man, ‘You are free to eat from any tree in the garden; but you must not eat from the tree of the knowledge of good and evil...”
Kama Mungu angemlazimisha mwanadamu, basi dhambi isingekuwa dhambi, bali matokeo ya mpango wa Mungu. Lakini kwa sababu uchaguzi upo, ndipo haki ya hukumu inakuwa halali.
Kweli hatuchagui kuzaliwa wala mazingira ya mwanzo, lakini hiyo haimaanishi hatuna freewill kabisa. Ukweli ni kwamba ingawa hatuchagui boundaries zote, lakini tunao uwezo wa kuchagua jinsi ya kuishi ndani ya hizo boundaries.Kila kitu unachokutana nacho baada ya kuzaliwa ni matokeo ya kuzaliwa, na kama huna uchaguzi kuhusu kuzaliwa, huna uchaguzi kuhusu hayo mengine yote.
Unaweza kufikiri unapoangalia movie ya Netflix wewe ndiye unachagua movie, kumbe kuna watu wamekuchagulia movie unazoweza kuchagua na hivyo wewe unafanya maigizo ya kuchagua wakati kuna watu washakuchagulia wewe cha kuona unachagua.
That is not freewill.
You are merely operating within some set boundaries you did not choose.
Nin maana ya Mungu kwa uelewa wako ?Mungu yupi hapa mnamuongelea jamani kati ya 5000 wanaoabudiwa🤔 duniani kote . Mtu anayetetea mungu yupo ni muoga anaogopa kuchomwa moto😂 . Wote tumezaliwa tukaaminishwa hizo mambo ni kama tamaduni tu na maziwa, ungezaliwa India ungekua mhindu , china ungekua atheist au Buddhist Japan ungekua Shinto and so on and on
I cannot physically prove God gave the command kama unavyo hitaji , lakini tuna ushahidi kupitia maandiko (kama Biblia au Quran), historia ya dini, na mabadiliko ya maisha ya watu.Thibitisha Mungu alitoa amri.
Tulia weweee hakuna kitu unajua unajiongelesha Tu free will free willConcept ya free will nadhani itakuwa inakupiga chenga mkuu 😎
hicho ndio kitu unajua maandiko si vinginevyo basi TuliaI cannot physically prove God gave the command kama unavyo hitaji , lakini tuna ushahidi kupitia maandiko (kama Biblia au Quran), historia ya dini, na mabadiliko ya maisha ya watu.
Faith (imani) plays a central role,, huwezi kuthibitisha kila kitu kwa macho, lakini unaweza kuona matokeo ya amri hizo kwa matendo ya watu wanaozifuata.
Ukiwa huna ichaguzi kuhusu kuzaliwa au kuzaliwa habari nzima ya freewill inakuwa maigizo tu.Kweli hatuchagui kuzaliwa wala mazingira ya mwanzo, lakini hiyo haimaanishi hatuna freewill kabisa. Ukweli ni kwamba ingawa hatuchagui boundaries zote, lakini tunao uwezo wa kuchagua jinsi ya kuishi ndani ya hizo boundaries.
Yes, Netflix ina-algorithm, lakini bado unaweza kuchagua kuangalia documentary badala ya comedy,, chaguo hilo linaakisi mapendeleo yako, si mapendeleo ya system
Freewill haimaanishi uhuru wa kila kitu, bali ni uhuru wa kufanya maamuzi fulani ndani ya mfumo uliopo. Na huo uhuru mdogo unatosha kuleta tofauti kubwa sana kwenye maisha yako.