Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.

Ikiwa mwanamke wako mara aseme:
"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U, mara nyingine Arsenal, lakini ninaipenda Liverpool zaidi."

Hizo ni vilabu vya soka vya ma ex wake wa zamani. Ukiona hivyo amemkumbuka sana jamaa wake wa Liverpool. Ex wake wa Liverpool alikuwa akimpa amazing sex.

Sasa tumalizie hapa ukiona anajua kucheza PS au FIFA ujue alifundishwa na mabwana zake na timu aipendayo kuicheza ni ya mpenzi wake wa zamani.

Ukiona wewe na manzi wako mnashabikia timu tofauti najua ujibu unalo.

Ni sawa na ugundue manzi wako anatumia bangi, fegi au drugs know that a man introduced her to it.
 
Sasa kwani vibaya kujua girl friend wangu ni shabiki wa timu ya mpira au anajua kucheza PS. Asingeachwa huko ningekuwa nae? Vitu vingine anza kuangalia pale wewe ulipoanzisha nae mahusiano, mambo ya kujua ya kipindi cha nyuma kwa maisha ya sasa ni ujinga tu
 
X wangu wa kitambo hicho kuna mtimu ule ambao boss anatambulisha mpaka Dada zake alikua anaupenda humwambii kitu nikajagundua baadae kumbe alikua ametambulishwa na X wake, Wanawake again subiri nilikoke skanka langu vizuri narudi
Watabisha tu hapa ila ukweli ndio huo, asante kwa ushuhuda
 
Binafsi ni shabiki mkubwa wa soka na timu zangu ni Yanga na Arsenal.

Yanga nilianza kuishabikia nikiwa na miaka 9, Arsenal na miaka 13. Hivyo hoja yako sio kwa wanawake wote.
 
Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.

Ikiwa mwanamke wako mara aseme:
"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U, mara nyingine Arsenal, lakini ninaipenda Liverpool zaidi."

Hizo ni vilabu vya soka vya ma ex wake wa zamani. Ukiona hivyo amemkumbuka sana jamaa wake wa Liverpool. Ex wake wa Liverpool alikuwa akimpa amazing sex.

Sasa tumalizie hapa ukiona anajua kucheza PS au FIFA ujue alifundishwa na mabwana zake na timu aipendayo kuicheza ni ya mpenzi wake wa zamani.

Ukiona wewe na manzi wako mnashabikia timu tofauti najua ujibu unalo.

Ni sawa na ugundue manzi wako anatumia bangi, fegi au drugs know that a man introduced her to it.
vingine ni umasikini tu, watu wamezaliwa kwao ma-game yapo home ya kila aina ataacha kutofahamu?
 
Back
Top Bottom