Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hujaelewa nini? Katika umri huo sikuwa nimeingia kwenye mapenzi ambayo ndiyo hoja yako.Ulianzaje kushabikia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaelewa nini? Katika umri huo sikuwa nimeingia kwenye mapenzi ambayo ndiyo hoja yako.Ulianzaje kushabikia?
Me mbona namshabikia Messi making sio kidume kilimtambulisha kwangu?X wangu wa kitambo hicho kuna mtimu ule ambao boss anatambulisha mpaka Dada zake alikua anaupenda humwambii kitu nikajagundua baadae kumbe alikua ametambulishwa na X wake, Wanawake again subiri nilikoke skanka langu vizuri narudi
Mwanamke hawezi kujua soccer au video games bila ya mwanamme?Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.
Ikiwa mwanamke wako mara aseme:"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U, mara nyingine Arsenal, lakini ninaipenda Liverpool zaidi."
Hizo ni vilabu vya soka vya ma ex wake wa zamani. Ukiona hivyo amemkumbuka sana jamaa wake wa Liverpool. Ex wake wa Liverpool alikuwa akimpa amazing sex.
Sasa tumalizie hapa ukiona anajua kucheza PS au FIFA ujue alifundishwa na mabwana zake na timu aipendayo kuicheza ni ya mpenzi wake wa zamani.
Ukiona wewe na manzi wako mnashabikia timu tofauti najua ujibu unalo.
Ni sawa na ugundue manzi wako anatumia bangi, fegi au drugs know that a man introduced her to it.
vingine ni umasikini tu, watu wamezaliwa kwao ma-game yapo home ya kila aina ataacha kutofahamu?
Mwanamke hawezi kujua socer au video games bila ya mwanamme?
Uko kijiji gani ambacho bado kina ujima huu?
Itakuwa ulimsikia X wako anamuongelea.. subconsciously akakuingia kwenye ubongo 😄Me mbona namshabikia Messi making sio kidume kilimtambulisha kwangu?
Hapana mkuuItakuwa ulimsikia X wako anamuongelea.. subconsciously akakuingia kwenye ubongo 😄
Demu anaweza kuikubali Simba au Yanga kutokana na influence ya kaka, baba au ndugu zake wengine.
Ila dem shabiki wa Liverpool kaitoa kwa X wake..
Me mbona namshabikia Messi making sio kidume kilimtambulisha kwangu?
Na wanaume nani anawaintroduce kwenye upenzi wa vitu?Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.
Ikiwa mwanamke wako mara aseme:"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U, mara nyingine Arsenal, lakini ninaipenda Liverpool zaidi."
Hizo ni vilabu vya soka vya ma ex wake wa zamani. Ukiona hivyo amemkumbuka sana jamaa wake wa Liverpool. Ex wake wa Liverpool alikuwa akimpa amazing sex.
Sasa tumalizie hapa ukiona anajua kucheza PS au FIFA ujue alifundishwa na mabwana zake na timu aipendayo kuicheza ni ya mpenzi wake wa zamani.
Ukiona wewe na manzi wako mnashabikia timu tofauti najua ujibu unalo.
Ni sawa na ugundue manzi wako anatumia bangi, fegi au drugs know that a man introduced her to it.
Hujaelewa nini? Katika umri huo sikuwa nimeingia kwenye mapenzi ambayo ndiyo hoja yako.
Hapana kwakwelBwana wako ndiye aliyekufanya uanze kumjua Messi